He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Ni andiko lakini la kutungwa lisilotambulika hata na Yesu
Kwahiyo ulitaka kwa vile Muhammad aliita kitabu chake Quran na Yesu naye angeita jumla ya vitabu vyote 66 vya Biblia au atabilia kwenye vitabu vyake (Gospel) kwamba jumla ya vitabu vyote viitwe Biblia 😀😀😀😀.

Kumbuka alikufa ata kabla ya Biblia kuandika kama ilivyokuwa kwa Quran na Muhammad.
 
Kwahiyo ulitaka kwa vile Muhammad aliita kitabu chake Quran na Yesu naye angeita jumla ya vitabu vyote 66 vya Biblia au atabilia kwenye vitabu vyake (Gospel) kwamba jumla ya vitabu vyote viitwe Biblia 😀😀😀😀.

Kumbuka alikufa ata kabla ya Biblia kuandika kama ilivyokuwa kwa Quran na Muhammad.
Kumbe unajua yesu hajui kitu kinachoitwa Biblia hadi anakufa

Safi sana hilo ndo jibu nililokua nataka.
 
Shida ni kwamba hivi vitu vipo nje ya upeo wenu Ili uvijue unatakiwa ukae chini ufundishwe

Ila kwakuwa Mimi ni mualimu wa kufundisha wajinga kama wewe utanielewa tu

Scholar Ibin Kathiri alitafsiri Quran karine ya 13 it means Ibin Kathiri alitumia Quran iliyoandikwa na Othman

Mpaka Leo hi tafsiri ya Ibin Kathiri inatumika na waislam kote Duniani Kwa sababu Quran ya karine ya 13 ndio hiyo hiyo Quran iliyopo Leo

Yani surati Bakara aliyoitafsiri Ibin Kathiri na kupablishi katika kitabu chake karine ya 13 ndio hiyo hiyo surat Bakara iliyopo katika Quran ya Cairo ya 1922

Mambo ya vashion na kuedit maandiko ya Mungu yapo katika Bibilia

1) King James Version

2) English Standard Version

3) New International Version

4) New American Standard Bible

5) Catholic bible

6) New Revised Standard Version
7)
8)
9)
10)

Na Kila Bibilia hapo Lina Idadi tofauti ya vitabu na Aya

Na bado Kuna vitabu vingine wajanja wenu walioanzisha ukristo wameificha Ili nyinyi wagalatia msivisome muendelee kuwa misukule yao

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Hizo ndio version na hao akina Luka ndio waliozitengeneza hizo version tena huyo Luka ni mpagani

Yani mpagani akuandikie wewe kitabu Cha kumjua Mungu?
 
NIITE MAALIMU WAKO ...
Yesu anatambua torati injili zaburi nk sasa unataka andiko gani tena ....biblia ni muunganiko wa vitabu vya injili zaburi torati nk ...kuwa kitabu kimoja...
MSAHAFU NI SAWA NA NENO BIBLIA JE YESU NA MUHAMMAD WANATAMBUA HIVYO VITABU ?

Msahafu ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu kuwa kitabu kimoja.katika dini ya kiislamu

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu kuwa kitabu kimoja .katika dini ya kikristo

adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Rabbon Malaria 2 Bwana Utam
Msahafu sio mkusanyiko wa vitabu bali ni Kitabu kimoja ila baadhi ya mambo ya vitabu vilivyopita yamo.
 
Tunaambiwa kitabu cha quran kipo mbinguni ..Tujiulize kidogo maswali.
1.Ni nani aliyekiandika na kwa nini akiandike?
2.je kile alichoshushiwa Muhammad kilikuwa hakitoki kinywani mwa Allah bali kilikuwa kinatoka kwenye hiko kitabu kilichohifadhiwa?
3.Na kama hakitoki kinywani mwa Allah kwa nini waseme quran ni maneno ya Allah?
Naomba majibu hapa.
 
Imam Hussain na kijana wake Imam Ali ni mpango mzima, mudy govi Haoni ndani Kwa hii miamba maamae.

Shia Islam forever maamae
You have crossed a demarcation line , soon you will be returned to the wrost place .

Warning ⚠️ : If you want to stay longer and peaceful here you shouldn't insult and ridicule my religion , Prophets and its pride .

This is first and last warning, If you ignore and persist upon what I have warned you , prepare for a devastating consequences . Maarass!!!!🗡️💼⏰⚔️🚭
 
Tunaambiwa kitabu cha quran kipo mbinguni ..Tujiulize kidogo maswali.
1.Ni nani aliyekiandika na kwa nini akiandike?
2.je kile alichoshushiwa Muhammad kilikuwa hakitoki kinywani mwa Allah bali kilikuwa kinatoka kwenye hiko kitabu kilichohifadhiwa?
3.Na kama hakitoki kinywani mwa Allah kwa nini waseme quran ni maneno ya Allah?
Naomba majibu hapa.Mbona mnalikwepa hili swali?
 
You have crossed a demarcation line , soon you will be returned to the wrost place .

Warning ⚠️ : If you want to stay longer and peaceful here you shouldn't insult and ridicule my religion , Prophets and its pride .

This is first and last warning, If you ignore and persist upon what I have warned you , prepare for a devastating consequences . Maarass!!!!🗡️💼⏰⚔️🚭
Mikwara mbuzi
 
You have crossed a demarcation line , soon you will be returned to the wrost place .

Warning ⚠️ : If you want to stay longer and peaceful here you shouldn't insult and ridicule my religion , Prophets and its pride .

This is first and last warning, If you ignore and persist upon what I have warned you , prepare for a devastating consequences . Maarass!!!!🗡️💼⏰⚔️🚭
Kiingereza cha AI

Imam Hussain, Ali and Shia Islam forever

Maamae

Nyau de adriz
 
Mimi mbona najua Quran zipo kama 30+
Una uhakika gani ni moja?
Kwanza hiyo moja ilianza kuwa Moja lini?
Maana hadi mtume anakufa hakukuwa na Quran moja.Hata kipindi chake zilikuwa nyingi.

Mtume mwenyewe hakuwa ameikariri quran yote, kuna aya zingine alikuwa akisikia watu wanazikariri anashtuka kama ndo anazisikia kwa mara ya kwanza (je kama walikuwa wanazitunga?)
Na pia mtume mwenyewe alikuwa anaiedit quran, yani ameshakaririsha watu aya fulani halafu baadae tena anaibadilisha na kuongezea mambo mengine.

Umar(kalifa wa kwanza) ndio wa kwanza kutaka kuziunganisha aya kuwa kitabu kimoja, Muhamad aliacha maaya tu watu wamekariri bila mpangilio..
baadae zikawepo Quran kibao, Uthman (kalifa wa 3) alikusanya quran kibao na kuchagua moja, zingine akazichoma moto. Kitendo ambacho kilimuuzi swahaba aitwaye abdullah ibn Masud kwasababu hakuikubali ile Quran iliyopitishwa (Huyu Abdula ibn masud, muhamad enzi za uhai wake alishawahi kusema ndio anaijua Quran kuliko wote)

Ukiachana hivyo tu Aisha alisema umar kuna aya hakuziingiza kwenye Quran kipindi Umar anaambia watu wakusanye Aya, Zile aya Ambazo aisha alikuwa amekariri ameandika sehemu alizitupa akasingizia karatasi zimeliwa na mbuzi.

Kuna hadith nyingi zinasema Quran aliyopitisha Umar inamiss Aya kibao.

Hata iyo quran moja aliyoipitisha Umar sio hii inayotumika leo ambayo ilipitishwa mwaka 1924 tu hapo Misri(Hafs). Maana zinazookotwa na wanahistoria huko Syria zinatofautiana na Quran ya leo.

ila Quran zinazotumika sasa kwa wingi Kuna Quran ya Hafs(iliyopitishwa Misri) na Quran ya Warsh, hapa bongo mnatumia ya Hafs ila ukienda Ethiopia wanatumia ya Warsh na ukizisoma zinatofautiana (sio lahaja tu kama baadhi ya mashehe wanavyodanganya)
 
Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.

Hapa ni ufafanuzi wa kile kilichofanywa:
Kilichofanywa na Khalifa Uthman:

1. Usawazishaji wa lahaja (qira’at):
Qur’an ilikuwa inasomwa kwa lahaja tofauti tofauti (sababu ya kuruhusiwa kwa "Ahruf Saba’a" – njia saba za kisomaji zilizoruhusiwa na Mtume Muhammad). Uthman alichagua lahaja ya Kikuraishi (lahaja ya Mtume) kama ya msingi, na kuandika Qur’an kulingana na hiyo.
Kama kawaida kila kitu kimechakachuliwa tiyari
 
Message sent, from now you should watch your steps If you consider about your safety ..
Mzee don't take this issue personal,a good Muslim matusi na kutishia mtu maisha ili iweje. Kisasi na adhabu ni kazi ya Allah 🥂.
 
Wewe huna elimu yoyote wala hoja, na hii ndio msingi wa ukafiri , bali mna chuki, roho mbaya na nyeusi, yaani huna hata haya USONI eti Quran ime editiwa ?, wewe ni kichaa wa vichaa,

Hivi ukienda china (si lazima uende physical, ingia hata kwa YouTube tu), ktk ibada ya swala, wa islamu wa china waki soma surat Fatah ina utofauti gani na surat Fatah ya masjid mtoro?, au ina utofauti gani na surat Fatah aliyosoma Mtume Muhammad (s.a.w)?,


Yaani wewe hata uchukue ukristo, Buddha, Judaism, Atheism, Hinduism nk zooooote za Duniani dhidi ya Quran huto pata hata point siyo moja bali theluthi ya ushindi, never

Hivi kuna dini ya haki, ukweli,thabiti na kamilifu,, hiyo dini moja tu uislamu
 
Nyinyi wakristo mna madhehebu kibao, sijui roma, Anglican, Adventist, Orthodox, pentecost nk lakini hata ktk ibada tu hamchangamani,
Papa ni kiongozi wa roma (ndio kanisa kuu mnavyo dai) , lakini uma mkubwa wa wakristo hawamtambui 😂😂😂 hadi na cheka kwa sauti
Haya makao makuu ya kanisa yapo roma lakini yesu alizaliwa na kufia islael, yaani hiyo roma hata haijui ipoje kichekesho kingine hiki

Huyo yesu mwenyewe hakuacha mafanikio yoyote, kichekesho kikuu ni hichi

Ukija huku kwa mtume Muhammad na uislamu , kila hatua ni mafanikio na kafa kaacha mafanikio kila kitu kipo completely


Hakuna madhehebu ktk uislamu bali madhehebu yameletwa na sisi waislamu wenyewe hasa waumini na si maimamu,

Maimamu wakuu wapo 4 na hakuna aliye msema mwenzake kwa ubaya, ispokua ni mazuri tu

Na usilo lijua hao maimamu wamefundishana (na kila mmoja ana msifia mwenzie, mwalimu ana sema huyu ni Mwanafunzi wangu bora na Mwanafunzi ana sema huyu ni mwalimu wangu bora)


Wewe ni juha na huna ulijualo
 
Kwamba Quran iliposhushwa ilikuwa na lahaja mbali mbali ila akatokea raia mmoja mwenye nguvu kuliko Allah (mleta lahaja mbalimbali) na Muhammad (saw) msimuliaji akaamua itengenezwe Quran yenye lugha na lahaja Moja.?🤔🤔🤔
Kiarabu kina maneno mengi yenye mizizi sawa lakini mitindo tofauti ya kutamkwa na kujengwa. Hiyo ndiyo inaitwa Lahaja.

Hivyo Qur'an ikisomwa inasomwa kwa mtindo mwengine wa kiusomaji, yaani maana ya kilochoongelewa ni moja lakini inakuwa na mtindo tofauti wa kutamkwa. Hii hali inaitwa Qira'at. Ikiwa na maana ya aina ya usomaji.

Mfano: Kwenye lugha yetu ya Kiswahili tuna lahaja pia, yenye mzizi sawa lakini mtindo tofauti wa kutamkwa, kama:

Lahaja - Kiswahili Sanifu
Uthia - Udhia
Junia - Gunia
Ndia - Njia
Mzumbe - Mjumbe

Hizo zote ni lahaja za lugha za Kiswahili kutoka maeneo tofauti ya wazungumzao hiyo lugha na zote zikiwa na maana moja ijapokuwa matamshi yanatamkwa tofauti. Kwenye lugha ya kiarabu hizo nazo zipo.

Ili kuondoa hitilafu ambazo zilikuwa zimeshaanza kujitokeza baadhi ya maeneo ya waislamu, Khalifa Uthman ambaye ni sahaba wa Mtume kwa wakati huo alikuwa ndiye kiongozi wao akaamuru Qur'an iandikwe kwa lahaja moja, ambayo ni ya kikuraishi.

Ni kama sisi, mfano katiba ingeliachwa kila maeneo watumie lahaja zao, yaani lahaja ya Kipemba, Kimtangata, Kivumba, Kiunguja, Kimgao inatumika Kilwa, ingelitengeneza room ya kutekea ikhtilafu nyingi baina ya wakazi wa hayo maeneo mengineyo, ijapokuwa maana ingelibakia kuwa ni moja lakini kila mmoja angelisema Kiswahili chake ndiyo sahihi na inatakiwa itamkwe hivyo.

Sasa ili kuua hii ikhtilafu ambayo ingeweza kuzua fitna, serikali ikasema tutatumia Kiswahili cha lahaja ya Dar es Salaam ambacho ndicho Kiswahili Sanifu.

Ndicho alichokifanya sahaba wa Mtume Khalifa Uthman. Kwa kuchelea pengine fitna inaweza ikatokea baada ya vuguvugu za watu kuweka mjadala kwenye lahaja kila mtu anasema ya kwake ndiyo sahihi, akaamuru Qur'an iandikwe kwa kiarabu cha lahaja ya kikuraishi.

Hivyo, hakuna version ya Qur'an hapo, bali ni lahaja. Lahaja siyo version. Ukisema ni version ina maana details zilizomo ni tofauti baina ya Qur'an moja na nyengine. Lakini hizo ni lahaja, hususani ni lahaja ya lugha kuu moja hivyo tofauti ya maana haiwezi kuwepo.

Mfano kwenye Qur'an: Kuna sehemu ya aya lahaja ya ki kuraishi wanatamka "wadhuhaha", lahaja nyengine za waarabu wanatamka "wadhuhehe".
 
Back
Top Bottom