He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Shida ya kujifungia chumbani halafu ukajihesabia unasoma, uislamu hausomwi kwa dizaini hiyo

Quran haijafanyiwa edition yoyote ya kimaana au usomaji.

Modification imefanywa kwenye maandishi (sijui kama utaelewa)

Waarabu wenyewe wanawaza kusoma Quran (maandishi ya kiarabu) bila irabu ( a, e, I, o, u)

Modification ni kuyaweka maandishi vizuri ili yaweze kusomwa na hata asiye mwarabu kwa usahihi .

Mfano : Baada ya kuweka irabu
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
ٱهْدِنَا ٱلصِّرَاطَ ٱلْمُسْتَقِيمَ
صِرَاطَ ٱلَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ ٱلْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا ٱلضَّالِّينَ

Bila ya irabu
بسم الله الرحمن الرحيم
الحمد لله رب العالمين
الرحمن الرحيم
مالك يوم الدين
إياك نعبد وإياك نستعين
اهدنا الصراط المستقيم
صراط الذين أنعمت عليهم غير المغضوب عليهم ولا الضالين

NB
HAKUNA TOFAUTI YA USOMAJI NA MAANA, TOFAUTI NI KWAMBA HIYO YA KWANZA NI RAHISI KUSOMA HATA KWA ASIYEJUA KIARABU VIZURI
Kwahiyo unaniaminisha kuwa Uthman alikuwa anaweka irabu ndani ya Quran?
 
Biblia ndo imezushwa kabisa wala hata Yesu hajui kama kuna kitabu kilifata baada yake kinachoitwa Biblia, kama kuna mtu anabisha alete andiko linalotambua kitu kinachoitwa Biblia
Neno la Kiingereza Bible linatokana na Kigiriki cha Koinē: τὰ βιβλία, romanized: ta biblia, maana yake " vitabu " (umoja βιβλίον, biblion). Neno βιβλίον lenyewe lilikuwa na maana halisi ya "kitabu" na likaja kutumika kama neno la kawaida la "kitabu".
 
Tunaambiwa kitabu cha quran kipo mbinguni ..Tujiulize kidogo maswali.
1.Ni nani aliyekiandika na kwa nini akiandike?
2.je kile alichoshushiwa Muhammad kilikuwa hakitoki kinywani mwa Allah bali kilikuwa kinatoka kwenye hiko kitabu kilichohifadhiwa?
3.Na kama hakitoki kinywani mwa Allah kwa nini waseme quran ni maneno ya Allah?
Naomba majibu hapa.
 
Ndiyo, ni kweli kwamba Mtume Muhammad (s.a.w) alihusishwa na uandishi wa Quran ya sasa. Quran ilipokelewa kwake na Mungu kupitia malaika Jibril katika kipindi cha miaka 23. Wakati wa maisha yake, alihifadhiwa na wafuasi wake, na baada ya kifo chake, ilikusanywa na kuandikwa rasmi katika fomu ya kitabu.

Kuran ya sasa inachukuliwa kuwa ni ile ile aliyopokea Mtume Muhammad na inahifadhiwa kwa usahihi na Waislamu duniani kote. Ikiwa una maswali zaidi kuhusu Quran au historia yake, niko hapa kusaidia!
 
Hehehe shukrani sana hawa jamaa hutaka kuaminisha dunia kuwa hiki kitabu chao kilishuka kutoka kwa Mungu, nilikuwa najiulliza hivi iweje Mungu asubiri miaka 500 baada ya Yesu kuondoka halafu ashushe kitabu chenye maujuha kama yote na kinachoenda kinyume na mafundisho ya Yesu.
 
Muhamad alikua akimtaka mwanamke inashuka aya,alimtaka mke wa mwanae zaid uikashuka aya akampokonya akaoa .dah ila naamini alikua haandiki yeye
Waliandika wasaidizi wake (hakujua kuandika), ila baadae raia wakaja kukusanya Aya zote na kufanya Yao kutoka kwa mitume mbali mbali.
 
Usichoelewa ni kwamba hata kama walikuwa wanasoma Quran toka karne ya 10 bado haikuwa Quran moja kwenye ulimwengu wa kiislam. Unajua sababu iliyomfanya mfalme Fuad wa pili kutoa amri kutengeneza Quran moja kwenye ottomans empire?

Kulikuwa na changamoto ya raia kukariri/ kuhifadhi Quran zilizo tofauti. Hata wanafunzi wa Al Azhar university walikuwa na changamoto hiyo. Serikali ikaona kutakuwa na mnyukano wa mawazo na tafsiri.

Ndiyo maana ilipokamilika mwaka 1924 serikali ilitoa amri Quran nyingine zote ziharibiwe kwa kuchomwa moto au kuzamishwa mto Nile. Mwaka 1936 ikatolewa chapa iliyoboreshwa zaidi,ikabidi tena ile ya mwaka 1924 nayo iharibiwe .

Hata nchi zingine za kiislam walio adopt Quran ya mwaka 1924 ilibidi waachane na Quran zao nyingine shehe . Saudi Arabia wamekuja kuirasmisha Quran ya Cairo mwaka 1985.
Kuna la kujifunza hapa....🤔🤔
 
Neno la Kiingereza Bible linatokana na Kigiriki cha Koinē: τὰ βιβλία, romanized: ta biblia, maana yake " vitabu " (umoja βιβλίον, biblion). Neno βιβλίον lenyewe lilikuwa na maana halisi ya "kitabu" na likaja kutumika kama neno la kawaida la "kitabu".
Kwahiyo kitabu cha physics nacho ni Biblia? Na tumekubaliana Biblia haimaanishi kitabu cha mungu?
 
Kinaitwa kitabu cha physics
Safi kumbe kitabu cha Pysics hakiitwi Biblia kinaitwa kitabu Kwahiyo Biblia ni kitabu cha mungu au siyo cha mungu?
Kama ni cha mungu kwanini yesu hakifahamu wala hakitambuliki kwenye maandiko?
 
Safi kumbe kitabu cha Pysics hakiitwi Biblia kinaitwa kitabu Kwahiyo Biblia ni kitabu cha mungu au siyo cha mungu?
Kama ni cha mungu kwanini yesu hakifahamu wala hakitambuliki kwenye maandiko?
Inaitwa Biblia takatifu, Holy Bible (Kitabu kitakatifu)
 
Kwanini walikuwa na malengo ya kugawa watu?
Kugawa watu ni lazima uwatofautishe kifikra, kutofautisha watu kifikra maana yake ni kumjengea mtu fikra za kiimani kuona kwamba yeye ni Bora au ni mkweli kuzidi mwingine.

Sababu mojawapo ya kufanya hivi ni kuendeleza ukoloni Kwa njia ya fikra.
Kila mtu anafahamu kwamba, the day of reckoning will always come, kwahyo kila utakacholipwa kitatokana na kila ulichokifanya. Ukitenda wema haiwezi uwe Muslim au christian utalipwa Kwa ulichokipanda, Kuna umuhimu gani wa kuwepo Kwa dini na kuweka makundi?
 
Shalom, Salam alaikum.

Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).

Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).

Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.

Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:

1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.

2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.

3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.

Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Wewe huna hoja na huna elimu yoyote kichwani mwako
 
Back
Top Bottom