Je vipi tafsiri za waliosikia ujumbe huo zikaandikwa ndivyo sivyo? Je Kuna namna zinaweza kubadilishwa?Najua Mungu huwa haandiki jumbe bali huwa anaongea kwa matendo ili wenye hekima wayatafsiri kama neno lake
Mmedanganywa sana kuhusu ukristo wenu na Sasa wajanja wenu wanakudanganyeni kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule ya kikristoQuran ya Uthman imetunzwa wapi? Manuscript za kale za Quran ni zinazojulikana ni Topkapi,Yemen na Birmingham. Hakuna ya uthman dunia nzima.
Maajabu zaidi nchi yenye chimbuko la uislamu haina nakala za kale za Quran,haina artefacts za kale. Medina na Mecca archaeologists wamechimba miaka hawajawahi pata masalia ya kale yenye historia ya uislamu wala Quran.
Punguza ubishi, Cairo edition Quran sio ya Uthman, Quran ya uthman haijawahi kuonekana hata page 1 . Zaidi ya story ya kwamba kuna copy zilisambazwa kwenye miji ya Medina, Makka, Baghdad na Damascus ni hakuna kitu .
Kukusaidia zaidi ni kwamba kabla ya Cairo edition kuna Quran nyingine zilichapwa na wazungu ambazo ni
Venice 1537, Hamburg (1694 ya Abraham Hinkelman),kisha ikaja kuchapwa nyingine mwaka 1834.
Quran ya mwaka 1834 ilichapishwa na msomi wa kijerumani Gustav Leberecht Flugel . Hii ilikuwa Quran rasmi kwa wasomi wa ulaya kwa miaka karibia 100 kwa ajili ya kujifunza na kuuchunguza uislamu.
Baada ya hizo 3 ndipo mfalme Fuad naye akatoa amri mwaka 1907 kwamba itengenezwe Quran moja kwa ajili ya waislam wote kwenye himaya ya ottomans. Qur'an hiyo ilikamilika mwaka 1924,kisha likaja toleo lililo boreshwa zaidi mwaka 1936.
Wewe acha ubishi wa kamba hii Cairo edition ni ya Uthman,ukitaka kujua story nzima ya ukusanyaji wa Cairo edition mpaka kukamilika kwake nitakuletea😊.
K
Kwahiyo unataka kusema Kuna baadhi ya vitabu viliandikwa na Muhammad (saw).? 🤔🤔🤔
Mmedanganywa sana kuhusu ukristo wenu na Sasa wajanja wenu wanakudanganyeni kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule ya kikristo
Kilwa waislam wameanza kusoma Quran karine 10 na Quran hiyo hiyo ndio wamewarisha kuwafundisha vizazi vyao Hadi Leo hii
Hiyo vashion unayoisema sijui ya mwaka 1920 ipo wapi?
1920 si juzi tu hapa hata Nyerere ameshazaliwa
Tena Zanzibar na Lamu uislam ulifika wakati mtume akiwa bado yupo hai
Wagalatia Huwa mnadanywa ila wewe umezidi kudanganywa
Wanasema guided by GodGuided by who?
Usichoelewa ni kwamba hata kama walikuwa wanasoma Quran toka karne ya 10 bado haikuwa Quran moja kwenye ulimwengu wa kiislam. Unajua sababu iliyomfanya mfalme Fuad wa pili kutoa amri kutengeneza Quran moja kwenye ottomans empire?Mmedanganywa sana kuhusu ukristo wenu na Sasa wajanja wenu wanakudanganyeni kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule ya kikristo
Kilwa waislam wameanza kusoma Quran karine 10 na Quran hiyo hiyo ndio wamewarisha kuwafundisha vizazi vyao Hadi Leo hii
Hiyo vashion unayoisema sijui ya mwaka 1920 ipo wapi?
1920 si juzi tu hapa hata Nyerere ameshazaliwa
Tena Zanzibar na Lamu uislam ulifika wakati mtume akiwa bado yupo hai
Wagalatia Huwa mnadanywa ila wewe umezidi kudanganywa
Mudi boy againMuhamad alikua akimtaka mwanamke inashuka aya,alimtaka mke wa mwanae zaid uikashuka aya akampokonya akaoa .dah ila naamini alikua haandiki yeye
Nilichogundua wewe kama mgalatia hata kama ukisoma kilichofanyika hiyo 1924 hauwezi kuelewaUsichoelewa ni kwamba hata kama walikuwa wanasoma Quran toka karne ya 10 bado haikuwa Quran moja kwenye ulimwengu wa kiislam. Unajua sababu iliyomfanya mfalme Fuad wa pili kutoa amri kutengeneza Quran moja kwenye ottomans empire?
Kulikuwa na changamoto ya raia kukariri/ kuhifadhi Quran zilizo tofauti. Hata wanafunzi wa Al Azhar university walikuwa na changamoto hiyo. Serikali ikaona kutakuwa na mnyukano wa mawazo na tafsiri.
Ndiyo maana ilipokamilika mwaka 1924 serikali ilitoa amri Quran nyingine zote ziharibiwe kwa kuchomwa moto au kuzamishwa mto Nile. Mwaka 1936 ikatolewa chapa iliyoboreshwa zaidi,ikabidi tena ile ya mwaka 1924 nayo iharibiwe .
Hata nchi zingine za kiislam walio adopt Quran ya mwaka 1924 ilibidi waachane na Quran zao nyingine shehe . Saudi Arabia wamekuja kuirasmisha Quran ya Cairo mwaka 1985.
Mzee nilichogundua ni kuwa unajaribu kuifananisha Quran na biblia wakati ni vitu viwili tofauti na haviwezi kuwa sawa.Unajua kwamba sisi wakristo tuna manuscript zaidi ya 5800 za agano jipya? Manuscript 10000 za kilatini pamoja na manuscript 9800 za lugha nyingine za kale.
Hizi manuscript zote zinafungamana na vitabu vya injili vya luka, Marko, Mathayo na Yohana. Ndiyo maana mkileta story za kupinga kufa na kufufuka kwa Yesu tuna nashangaa sana. Source ya taarifa zenu ni nini? Quran ya 1924!!??
Qur'an nayo ina manuscript za kale mpaka miaka 168 baada ya Mohamed. Katika hizi zote hakuna manuscript za Quran ya Uthman, Quran ambayo ni muhimu kuliko zote .
Tuanzie na maana ya kitabu na istilahi yake kwenye muktadha wa mada hii.Naomba tukubaliane kitu kimoja ..ukiniambia Muhammad aliacha kitabu it means Allah alishusha kitabu si ndio?
Naomba tukubaliane kitu kimoja ,ukiniambia Mtume aliacha kitabu cha quran it means Allah alishusha kitabu cha Quran si ndio?
Shida nyingine ni kuwa jamaa anaichora hiyo manuscript ya Quran ya uthman kwenye akili yake.Sikuwahi kujua Kuna maswali magumu hivi kwa uislamu Hadi mtu anatukana na kutoa mapovu yote hayo
Umempiga maswali magumu sana
Kwanini manuscript zisiwepo shehe? Hii ni document muhimu sana na ndiyo maana ilitumwa kwenye miji yote mikubwa ya wakati huo (Baghdad, Mecca, Medina na Damascus).Shida nyingine ni kuwa jamaa anaichora hiyo manuscript ya Quran ya uthman kwenye akili yake.
Na pia analazimisha uwepo wa kitu ambacho kiakili ya kawaida hakiwezi kuwepo kutokana na mila na tamaduni za watu husika juu ya uhifadhi wa written material.
Mi kwa kuwa najua na kufahamu hivyo siwezi kuhoji kuhusu the original manuscript ya injili ya yesu au biblia ya agano la kale itakuwa ni kupoteza muda kujadili unreasonable points ili uonekane una hoja za msingi!
Sifananishi Quran na Biblia,shida iliyopo ni kwamba hamna manuscript ya Uthman sehemu yoyote ile kwenye nchi za kiislam. Kitabu ambacho kilitumwa kwenye miji yote mikubwa ya wakati huo (Baghdad, Mecca, Medina na Damascus).Mzee nilichogundua ni kuwa unajaribu kuifananisha Quran na biblia wakati ni vitu viwili tofauti na haviwezi kuwa sawa.
Sa hiyo agano jipya si ya miaka ya 1800+ huku Quran ni ya kabla ya miaka hiyo.
Angalizo, hapo haijatajwa biblia ya agano la kale na wala Injili ya Issa (a.s) ko ukija kujibu njoo ukiwa umeelewa usijeukaskip mada.
Sawa lete maana ya kitabuTuanzie na maana ya kitabu na istilahi yake kwenye muktadha wa mada hii.
Usijeleta kiswahili cha mtaani kwenye masuala ya kisomi.
Waislamu badala wajibu hoja hizi wanaleta kashfa na maneno ya kebehiUsichoelewa ni kwamba hata kama walikuwa wanasoma Quran toka karne ya 10 bado haikuwa Quran moja kwenye ulimwengu wa kiislam. Unajua sababu iliyomfanya mfalme Fuad wa pili kutoa amri kutengeneza Quran moja kwenye ottomans empire?
Kulikuwa na changamoto ya raia kukariri/ kuhifadhi Quran zilizo tofauti. Hata wanafunzi wa Al Azhar university walikuwa na changamoto hiyo. Serikali ikaona kutakuwa na mnyukano wa mawazo na tafsiri.
Ndiyo maana ilipokamilika mwaka 1924 serikali ilitoa amri Quran nyingine zote ziharibiwe kwa kuchomwa moto au kuzamishwa mto Nile. Mwaka 1936 ikatolewa chapa iliyoboreshwa zaidi,ikabidi tena ile ya mwaka 1924 nayo iharibiwe .
Hata nchi zingine za kiislam walio adopt Quran ya mwaka 1924 ilibidi waachane na Quran zao nyingine shehe . Saudi Arabia wamekuja kuirasmisha Quran ya Cairo mwaka 1985.
CHATGPT itakupoteza ,mmenyimwa elimu mmefungiwa ndani ya kiboxNilichogundua wewe kama mgalatia hata kama ukisoma kilichofanyika hiyo 1924 hauwezi kuelewa
Na ndio maana mnalishana matango poli
Hichi ndicho kilichofanyika mwaka 1924 hakuna aliyeongeza neno Wala kupunguza neno kutoka katika manuscript
King Fu'ad (Cairo) Edition (1924):
Standardization:
The primary goal of this edition was to establish a standardized text for the Quran, particularly in terms of annexes and verse numbering, which had varied in previous printings and manuscripts.
Oral Tradition:
The committee claimed that the text was derived from the oral tradition of recitation (qira'a), rather than solely from existing manuscripts.
Hafs Reading:
This edition is based on the Hafs reading of the Quran, which is the most widely used reading in the Muslim world.
Verse Numbering:
It adopted the Kufan tradition of separating and numbering verses, establishing a standard system.
Napia kabla yapo Quran zilikuwa zinaandikwa Kwa mkono ila Baada ya hapo ndio zikaanza printing
Na hiyo manuscript ipo ambayo ndio Quran aliyoandika Othman na wasomi pia Kuna mda Huwa wanaitumia Kwa study zao mbali mbali
Scholarly Use:
Scholars often use manuscripts to study the history and development of the Quran and to understand the variations in different readings, which can be compared to the 1924 Cairo edition as a reference.
Au labda nyinyi wagalatia hatuelewani sisi waislam tunaposema Quran Haina mabadiriko tunaamanisha kuwa hakuna aliyeongeza neno Wala kupunguza neno katika Aya za Quran
Ni kichaa tu atakayeamini kwamba quran ilishushwa vinginevyo kuna atari ya udini kwa mwenye utimamu wa akili akiamini hivyo.Shalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.
Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:
1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.
2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.
Hapa ni ufafanuzi wa kile kilichofanywa:
Kilichofanywa na Khalifa Uthman:
1. Usawazishaji wa lahaja (qira’at):
Qur’an ilikuwa inasomwa kwa lahaja tofauti tofauti (sababu ya kuruhusiwa kwa "Ahruf Saba’a" – njia saba za kisomaji zilizoruhusiwa na Mtume Muhammad). Uthman alichagua lahaja ya Kikuraishi (lahaja ya Mtume) kama ya msingi, na kuandika Qur’an kulingana na hiyo.