hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Hoja hapa ni simple tu, ila unaleta porojo, kabla ya 1924 Cairo Edition,Quran haikuwa moja ,Mmedanganywa sana kuhusu ukristo wenu na Sasa wajanja wenu wanakudanganyeni kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule ya kikristo
Kilwa waislam wameanza kusoma Quran karine 10 na Quran hiyo hiyo ndio wamewarisha kuwafundisha vizazi vyao Hadi Leo hii
Hiyo vashion unayoisema sijui ya mwaka 1920 ipo wapi?
1920 si juzi tu hapa hata Nyerere ameshazaliwa
Tena Zanzibar na Lamu uislam ulifika wakati mtume akiwa bado yupo hai
Wagalatia Huwa mnadanywa ila wewe umezidi kudanganywa
Hoja nyingine ,je Manuscript za Uthman zipo wapi mbona hakuna Ushahidi wowote wa kisayansi,kiakolojia kuwepo kwa hizo manuscript za Uthman kuanzia Baghdad,Mecca Hadi Madina
Hii Quran ya Leo ni ya juzi tu hapo 1924-1936 ilikukusanywa hapo misri kwenye chuo cha Al Azhar University
Na Saudia Arabia waliikubali 1985 ,
Hoja za msingi ni hizo,