He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Pia hii Quran (hafs) inayotumia sasa sio ile ya uthman,ile ya uthman hakuna ushahidi kwamba iliwahi kuwepo. Hakuna manuscript za kale zenye kuthibitisha hata sehemu ndogo tu ya Quran ya uthman.

Hii Quran ya leo ni kazi ya mfalme Fuad wa Misri,mwaka 1907 alitoa amri ka chuo kikuu cha Al Azhar nchini mwake watengeneze Quran moja kwa nchi nzima.

Kabla ya hapo wamisri na uarabuni nzima walikuwa na Quran zao local na kukawa na mkanganyiko wa kiimani . Mwaka 1924 Hafs version ya Quran ikarasmishwa na serikali ya Misri,kisha ikatolewa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilichomwa moto,kuzamishwa mto nile nk.

Saudi Arabia wamekuja kuikubali hiyo Quran ya Misri mwaka 1985,hiki bado ni kitabu kipya kabisa na sio kile cha Mohamed .
 
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Qur'an na Biblia ni kuwa Quran imehifadhiwa kwa njia za wahyi yaani muongozo kutoka Kwa Allah aliyeiteremsha.
Kabla ya kufa kwa Mtume Saw malaika Jibril alikuwa anashuka na kumsikiliza mtume anavyoisoma kwa usahihi na mpangilio wake maka akaridhika kuwa hakukuwa na tofauti.
Kazi hiyo ilifanywa mbele ya makhalifa hao uliowataja na ambao nao waliihifadhi pamoja na wenzao.Kazi waliyoifanya kuikushanya pamoja pia nayo ilikuwa ni ya kiwahyi ndio maana waliifanya na kujiridhisha kabla ya kufariki kwao wakiwa wameacha nakala ambazo ndizo hizi tulizonazo leo.
Kwa upande wa biblia utamalizia mwenyewe kwa kuwaangalia waliotia mikono yao wenyewe tu bila kizuizi.
Nani aliyeshuhudia ukitelemshwa, acheni usanii bwana.🤣🤣🤣🤣

kwenye paragraph ya pili, hifadhi kubwa ya Quran ni kupitia watu.

Kwenye paragraph ya tatu, Muhammad ni wa kwanza then ikafuata Quran kwa sababu Muhammad ndio ameteremshiwa Quran, ko haiwezekani ianze Quran halafu ije Quran, sijui umenielewa we mbumbumbu much knower.

Kama utafanikiwa kukifahamu kiarabu au omba kwa mtu akueleweshe, kwenye kurasa za mwanzo kabisa za kila mas'hafu kuna maelezo ya chapa ya Quran kuwa imenakiliwa kutoka katika maandishi ya uthman, mas'hafu zote zipo hivyo iwe imechapishwa kutoka misr, saudia, uhindi, Qatar, Ethiopia na kwingineko.

We huwa unatoa wapi huu ujinga!
Usijifiche kwenye kiarabu chief,ndiyo maana kuna kitabu kimetafsiriwa kwa lugha tofauti,siyo hivyo tu pia kuna tafsiri za wana zuoni wenu kama Ibn Kathir.

Huu sio ujinga bali ni valid arguments dhidi ya standard narrative ya dini yenu ambayo haiko sawa . Nani alimpa mamlaka Uthman ya kuamua kuandika Quran 1 kwa ajili ya waislam wote .

Shida nyingine ni kwamba kuna maswahaba wa Mohamed ambao walimpinga. Kubwa kuliko hiyo Quran ya Uthman haipo sehemu yeyote kwenye nchi za kiislam,hata masalia yake hakuna.

Wasomi wenu tu wanasema standard narrative kuhusu Quran ina mashimo. Yassir Qadhi alipobanwa na Mohamed hijab alishindwa kujibu hili swali. Yassir Qadhi ni professor wa islam and Quran studies Harvard university.

Kama kweli una nia ya kujifunza ukweli tazama hii interview ya Yassir Qadhi. Hii ishu usiichukulie personal, ukweli utakuweka huru .

View: https://youtu.be/m39PQrnkqGw?si=S5_nInl_r_DNigHj
 
Hawawezi kukuelewa hawa ndugu zetu wabishi sana,wamemezeshwa quran ni perfect na haijabadirishwa lakini ukweli hauko hivyo.
Ndio mana hata kwenye hadith,wakiona inawaumbua tu wanakimbilia kuiita ni dhaifu .
 
Hamna original copy shehe, ndiyo maana mfalme aliamua itengenezwe hii copy (Hafs). Wale wasomi hawakuchukua manuscript yeyote ya kale bali kutoka kwenye Quranic fragments zilizokuwepo Misri wakati huo.

Ndiyo maana hii pointi ya same Quran toka kipindi cha Mohamed wasomi wa kiislam hawaitumii siku hizi. Imebakia kwenu waumini wa kawaida. Your standard narrative has holes in it (Yassir Qadhi).
Kaka Unajua vitu vingi, aisee naomba nipe elimu ,hakika hii kwangu ni mpya nilikuwa sijui hili aisee
 
Kitu cha kwanza kabisa ,old quraish Arab language haikuwa na vowels ,hii yenu ya leo ina vowels, diacritical marks nk. Sasa kama hii Quran (Hafs ya 1924) ina vowels na diacritical marks za kutosha basi haiwezi kuwa Quran ya uthman. A single diacritical mark au vowel ina badilisha maana ya neno, sentensi au context nzima ya ujumbe.
Kaka nazidi kupata elimu Aisee, hakika elimu ni Bahari , wewe ni zaidi ya maulamaa
 
Hapana wewe ndio umeshindwa kuelewa ,mi hoja yangu hapa ni kuwa Muhammad mpaka anakufa hajaacha kitabu kinachoitwa quran
Mi nakuambia kuwa Muhammad ameacha kitabu kinachoitwa Quran ila hakuacha mas-hafu ambayo ni mjumuiko wa sura zote za Quran katika kitabu kimoja.

Sasa tulia nikuelekeze, ni hivi Quran ilianza kuandikwa tangu enzi za Muhammad na iliandikwa kwenye magome ya miti n.k lakini mara nyingi ilikuwa inahifidhiwa na wafuasi wa Muhammad (memorising) kwenye vifua vyao(kama inavyoelezwa na kujulikana)

Mas-haf ni mjumuiko wa sura zote za Quran kwenye kitabu kimoja, aina hii ya uhifadhi ilianza wakati wa ukhalifa(utawala) wa Abu bakr ambae alirithi uongozi wa dola ya kiislamu baada ya kufa kwa mtume Muhammad (s.a.w) na sababu iliyopelekea kukusanya na kuandika Quran kwenye kitabu kimoja ni kuihifadhi, kuisambaza na kirithisha Quran kwa vizazi vijavyo ikiwa moja tofauti na njia ya kufundisha kupitia kumbukumbu ya kichwani.
 
Shida ni kuwa nawe unaenda YouTube kupakua sehemu uitakayo kwa kuandika mfano "the what and what from....." halafu unaposti, sa kwa namna hiyo we utapata majibu ya ukitakacho tu, nadhani kama ulienda chuoni basi haukuwa msomi wa maana, ulihudhuria vipindi ilimradi siku ziende utunukiwe kikaratasi chako nawe uonekane msomi, YouTube hakuna elimu ya kutosha, nenda maktaba mzee!

Usitumie mitandao kama google na you tube kumaliza vitu vya kihistoria ambavyo hujui source na reality yake utakuwa unajidanganya.

Sasa unataka kulazimisha uwepo decayed material ya karibu karne 10+ zilizopita yawepo hadi sasa, wakati kuna karatasi za Quran zilizoandikwa mwaka 2005 hazipo tena duniani.
Hivi we unatumia nini kwenye kufikiri, maana nsijekuwa nasumbuka kumjibu mtu asiyejua anachokitaka.

na ulivyoboksi unaamini kuwa wote ni wapumbavu kama wewe!
Usijifiche kwenye kiarabu chief,ndiyo maana kuna kitabu kimetafsiriwa kwa lugha tofauti,siyo hivyo tu pia kuna tafsiri za wana zuoni wenu kama Ibn Kathir.

Huu sio ujinga bali ni valid arguments dhidi ya standard narrative ya dini yenu ambayo haiko sawa . Nani alimpa mamlaka Uthman ya kuamua kuandika Quran 1 kwa ajili ya waislam wote .

Shida nyingine ni kwamba kuna maswahaba wa Mohamed ambao walimpinga. Kubwa kuliko hiyo Quran ya Uthman haipo sehemu yeyote kwenye nchi za kiislam,hata masalia yake hakuna.

Wasomi wenu tu wanasema standard narrative kuhusu Quran ina mashimo. Yassir Qadhi alipobanwa na Mohamed hijab alishindwa kujibu hili swali. Yassir Qadhi ni professor wa islam and Quran studies Harvard university.

Kama kweli una nia ya kujifunza ukweli tazama hii interview ya Yassir Qadhi. Hii ishu usiichukulie personal, ukweli utakuweka huru .

View: https://youtu.be/m39PQrnkqGw?si=S5_nInl_r_DNigHj

Na
 
Mzee nahisi kama shule ulienda kuzuga tu, kuna baadhi ya vitu vinadecay na kupotea mazima kama magome ya miti na material yanayofana nayo, ko ni ngumu kuihifadhi vitu namna hiyo hasa kwa jamii za wakati huo na kingine hiyo Quran inashauriwa kuzika aina yoyote ya material yaliyotumika kuhifadhia Quran kimaandishi ili isije kudhalilishwa kwa kukanygwa, kutapakaa mitaani na mwishowe ikapatwa na uchafu.

We endelea kugoogle maelezo kutoka kwenye vyanzo vyako, mi nipo tayari kupoteza mida kudibunk hoja zako za kitoto mpaka utakapomaliza kugoogle.
Kaka mbona kama jamaa kakuzidi hoja ,Kuna hoja kaibua hapo kuhusu je manuscript ya Quran ya Uthman kuwepo kabla ya 1924

Je hata mecca na Madina kukosa hata page moja ya hizo manuscript

Kuna hoja za msingi hapo jamaa kaibua , nilitegemea sisi kama wafuatiliaji uzijibu ila ni kama umeanza kuleta porojo
 
Document ya muhimu kama Quran ya Uthman haiwezi kupotea bila kubakia hata traces kidogo kama kweli ilikuwepo.

Quran ni centre ya maisha ya watu wa uarabuni,ni kila kitu kwao . How come walishindwa kuitunza na kubakisha hata baadhi ya copies pages? Kutoka Baghdad, Mecca, Medina mpaka Damascus ni bila bila.

Unaongelea documents kuoza mbona Yemen manuscript ya Quran ni ya zamani kuliko Mohamed na imepatikana ikiwa buried kule Yemen?

Unaweza nitukana lakini ukiuliza maswali magumu ni kwamba uthman Quran haijawahi kuwepo. Jinsi ilivyokuwa ya muhimu waislam wasingeshindwa kuitunza katika miji yote hiyo mikubwa . Qur'an ya mwaka 1924 kutoka Cairo sio ya Uthman.
Sikuwahi kujua Kuna maswali magumu hivi kwa uislamu Hadi mtu anatukana na kutoa mapovu yote hayo

Umempiga maswali magumu sana
 
Kaka mbona kama jamaa kakuzidi hoja ,Kuna hoja kaibua hapo kuhusu je manuscript ya Quran ya Uthman kuwepo kabla ya 1924

Je hata mecca na Madina kukosa hata page moja ya hizo manuscript

Kuna hoja za msingi hapo jamaa kaibua , nilitegemea sisi kama wafuatiliaji uzijibu ila ni kama umeanza kuleta porojo
Tufanye sijamuelewa huyo jamaa anatka nini hasa, wewe nieleweshe zaidi nikupe majibu.

Sioni hoja zaidi ga link za goole tu!
 
Sikuwahi kujua Kuna maswali magumu hivi kwa uislamu Hadi mtu anatukana na kutoa mapovu yote hayo

Umempiga maswali magumu sana
Waswahili wanasema usitupe mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo😊.
 
Mi nakuambia kuwa Muhammad ameacha kitabu kinachoitwa Quran ila hakuacha mas-hafu ambayo ni mjumuiko wa sura zote za Quran katika kitabu kimoja.

Sasa tulia nikuelekeze, ni hivi Quran ilianza kuandikwa tangu enzi za Muhammad na iliandikwa kwenye magome ya miti n.k lakini mara nyingi ilikuwa inahifidhiwa na wafuasi wa Muhammad (memorising) kwenye vifua vyao(kama inavyoelezwa na kujulikana)

Mas-haf ni mjumuiko wa sura zote za Quran kwenye kitabu kimoja, aina hii ya uhifadhi ilianza wakati wa ukhalifa(utawala) wa Abu bakr ambae alirithi uongozi wa dola ya kiislamu baada ya kufa kwa mtume Muhammad (s.a.w) na sababu iliyopelekea kukusanya na kuandika Quran kwenye kitabu kimoja ni kuihifadhi, kuisambaza na kirithisha Quran kwa vizazi vijavyo ikiwa moja tofauti na njia ya kufundisha kupitia kumbukumbu ya kichwani.
Naomba tukubaliane kitu kimoja ..ukiniambia Muhammad aliacha kitabu it means Allah alishusha kitabu si ndio?
Mi nakuambia kuwa Muhammad ameacha kitabu kinachoitwa Quran ila hakuacha mas-hafu ambayo ni mjumuiko wa sura zote za Quran katika kitabu kimoja.

Sasa tulia nikuelekeze, ni hivi Quran ilianza kuandikwa tangu enzi za Muhammad na iliandikwa kwenye magome ya miti n.k lakini mara nyingi ilikuwa inahifidhiwa na wafuasi wa Muhammad (memorising) kwenye vifua vyao(kama inavyoelezwa na kujulikana)

Mas-haf ni mjumuiko wa sura zote za Quran kwenye kitabu kimoja, aina hii ya uhifadhi ilianza wakati wa ukhalifa(utawala) wa Abu bakr ambae alirithi uongozi wa dola ya kiislamu baada ya kufa kwa mtume Muhammad (s.a.w) na sababu iliyopelekea kukusanya na kuandika Quran kwenye kitabu kimoja ni kuihifadhi, kuisambaza na kirithisha Quran kwa vizazi vijavyo ikiwa moja tofauti na njia ya kufundisha kupitia kumbukumbu ya kichwani.
Naomba tukubaliane kitu kimoja ,ukiniambia Mtume aliacha kitabu cha quran it means Allah alishusha kitabu cha Quran si ndio?
 
Shida ni kuwa nawe unaenda YouTube kupakua sehemu uitakayo kwa kuandika mfano "the what and what from....." halafu unaposti, sa kwa namna hiyo we utapata majibu ya ukitakacho tu, nadhani kama ulienda chuoni basi haukuwa msomi wa maana, ulihudhuria vipindi ilimradi siku ziende utunukiwe kikaratasi chako nawe uonekane msomi, YouTube hakuna elimu ya kutosha, nenda maktaba mzee!

Usitumie mitandao kama google na you tube kumaliza vitu vya kihistoria ambavyo hujui source na reality yake utakuwa unajidanganya.

Sasa unataka kulazimisha uwepo decayed material ya karibu karne 10+ zilizopita yawepo hadi sasa, wakati kuna karatasi za Quran zilizoandikwa mwaka 2005 hazipo tena duniani.
Hivi we unatumia nini kwenye kufikiri, maana nsijekuwa nasumbuka kumjibu mtu asiyejua anachokitaka.

na ulivyoboksi unaamini kuwa wote ni wapumbavu kama wewe!

Na
Unajua kwamba sisi wakristo tuna manuscript zaidi ya 5800 za agano jipya? Manuscript 10000 za kilatini pamoja na manuscript 9800 za lugha nyingine za kale.

Hizi manuscript zote zinafungamana na vitabu vya injili vya luka, Marko, Mathayo na Yohana. Ndiyo maana mkileta story za kupinga kufa na kufufuka kwa Yesu tuna nashangaa sana. Source ya taarifa zenu ni nini? Quran ya 1924!!??

Qur'an nayo ina manuscript za kale mpaka miaka 168 baada ya Mohamed. Katika hizi zote hakuna manuscript za Quran ya Uthman, Quran ambayo ni muhimu kuliko zote .
 
Umechelewa sana kujua. Una miaka mingapi? Mtume mwenyewe aliandika hivyo vitabu kwa uelewa wake, fikra zake na uzoefu wake wa maisha. Halafu akawaambia watu kuwa vimeshushwa kutoka kwa mwezi mungu. Jambo ambalo si kweli
Kumbe kuna dalili ya ukweli.!
 
Back
Top Bottom