He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Mohamed kuna muda kuna aya alikuwa anazisahau, Sahih Bukhari 50:38. Hii habari ya kusema ilihifadhiwa vifuani perfectly haina mshiko,kama muasisi wa dini yenu alikuwa anasahu sembuse wafuasi wake!!
Hakuna aya aliyoisahau bali Allah kwa hekima zake alizibadilishia hukumu zake kwa kilicho bora zaidi kwa waja wake au kuwapunguzio uzito katika utekelezaji wake.Kwa fiqhi ya kiislamu juu ya Quran aya hizo zinaitwa naasikh wa mansukh ambayo kijuu juu wasioelewa kiarabu wanasema alizisahau.Hata kweny SahiH bUkhari haikusemwa hivyo.Aya hizo mpaka leo zipo na Mtume hakuweza kubadilisha kitu
Naasikh ni kwa ajili ya kuwapunguzia umma huu mambo mazito kwa mambo mepesi au mambo ya madhara kwa mambo ya faida au manufaa kwao. Ingawa hukumu za aya hizo zimefutwa lakini aya za Qur-ani Tukufu bado zipo ndani ya Qur-ani na mpaka hivi sasa zinasomwa na watu.
Hayo ni matakwa yake na si ya Muhammad saw.Ndio maana mwisho wa yote Jibril akateremka kumsikiliza kuhakikisha hakukuwa na makosa na akarudisha majibu kuwa kila kitu kiko sawa.
Sasa mbona unabadilisha maana na kuzusha uongo.
 
HII COMMENT YANGU IMEFUTWA NA NANI HAPA JF.

Muhammad kasema 💥 yeye ndiye mtume na nabii wa mwisho hakuna mtume wala nabii tena baada yake ...kisha Muhammad anaendelea kuwa panga wapuuzi kuwa 💥kila nafsi itaonja mauti ...kisha Muhammad anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa Yesu (issa) akufa alipalizwa mbinguni ....kisha mudi boy anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa 💥kwa kuwa issa akufa na kila nafsi ni lazima ionje mauti basi huyo Issa ni lazima atarudi duniani na kuingia msikitini na kuwaongoza waislamu kumwamini mtume Muhammad ...SWALI ISSA NI NANI ? JIBU NI MTUME SWALI KWA MUJIBU WA MUHAMMAD KUWA HAKUNA TENA MTUME ATAKAYE KUJA DUNIANI BAADA YA YEYE MUHAMMAD SASA HUYO ISSA ATAKAPO KUJA ITAKUWAJE JE ATAKUWA KAPOTEZA UTUME ? HAPA UNAGUNDUA KUWA MUDI BOY AJUI UTUME NI NINI WALA UNAPATIKANA VIPI NA UNAPOTEA VIPI ? ILI SWALI WALILIKIMBIZA MASHEKH WANAFIKI NA UISLAMU WAO...HATA MUHAMMAD AWEZI KULIJIBU ILI SWALI.
ILI SWALI LINA MUENDELEZO HAPA NIMELIFUPISHA SANA .... FaizaFoxy adriz Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Bwana Utam
Mkuje huku kupata Ilimu kutoka kwa ulama wenu lwiva the great genius.
Rabbon DR Mambo Jambo zebri
 
Kitu cha kwanza kabisa ,old quraish Arab language haikuwa na vowels ,hii yenu ya leo ina vowels, diacritical marks nk. Sasa kama hii Quran (Hafs ya 1924) ina vowels na diacritical marks za kutosha basi haiwezi kuwa Quran ya uthman. A single diacritical mark au vowel ina badilisha maana ya neno, sentensi au context nzima ya ujumbe.
Tupe mfano tuone jinsi vowel inavyobadilisha maana ya neno au ujumbe
 
Siku moja moja uangalie hata Ex kisha upige nyeto kama unanyege nibora kwako kuliko kuelekeza nyege zako kuandika mada za kipuuzi
 
Kitu cha kwanza kabisa ,old quraish Arab language haikuwa na vowels ,hii yenu ya leo ina vowels, diacritical marks nk. Sasa kama hii Quran (Hafs ya 1924) ina vowels na diacritical marks za kutosha basi haiwezi kuwa Quran ya uthman. A single diacritical mark au vowel ina badilisha maana ya neno, sentensi au context nzima ya ujumbe.
Vowels sio Qur"an waQuraish wanaweza kusoma kiarabu bila vowels ila North African Arabsa en non Arabs hawawezi kupatia matamshi saahihi, kwahiyo hoja yako ndo hiyo mkuu? Kama ndo hiyo mkuu samahani you ur to myopic
 
HII COMMENT YANGU IMEFUTWA NA NANI HAPA JF.

Muhammad kasema 💥 yeye ndiye mtume na nabii wa mwisho hakuna mtume wala nabii tena baada yake ...kisha Muhammad anaendelea kuwa panga wapuuzi kuwa 💥kila nafsi itaonja mauti ...kisha Muhammad anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa Yesu (issa) akufa alipalizwa mbinguni ....kisha mudi boy anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa 💥kwa kuwa issa akufa na kila nafsi ni lazima ionje mauti basi huyo Issa ni lazima atarudi duniani na kuingia msikitini na kuwaongoza waislamu kumwamini mtume Muhammad ...SWALI ISSA NI NANI ? JIBU NI MTUME SWALI KWA MUJIBU WA MUHAMMAD KUWA HAKUNA TENA MTUME ATAKAYE KUJA DUNIANI BAADA YA YEYE MUHAMMAD SASA HUYO ISSA ATAKAPO KUJA ITAKUWAJE JE ATAKUWA KAPOTEZA UTUME ? HAPA UNAGUNDUA KUWA MUDI BOY AJUI UTUME NI NINI WALA UNAPATIKANA VIPI NA UNAPOTEA VIPI ? ILI SWALI WALILIKIMBIZA MASHEKH WANAFIKI NA UISLAMU WAO...HATA MUHAMMAD AWEZI KULIJIBU ILI SWALI.
ILI SWALI LINA MUENDELEZO HAPA NIMELIFUPISHA SANA .... FaizaFoxy adriz Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Bwana Utam
Mkuje huku kupata Ilimu kutoka kwa ulama wenu lwiva the great genius.
Rabbon DR Mambo Jambo zebri
Wewe sijui ukatibiwe wapi ili upone, labda nikurudishe chekechea 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 assume 9 ni Muhammad (s.a.w) then anakwambia mimi ndio namba ya mwisho hakuna namba nyingine baada yangu, Ungesema kuna namba nyingine itaitwa labda 'p' nisingemlaumu mwalimu wako wa hesabu wewe unatwambia itakuja nane unaakiri kweli ??
 
Wewe ni mpumbavu unajua unacho sema kweli ? Uislamu umesema na waislamu wanasema hakuna mtume anaye kuja baada ya muhammad duniani ilo jibu ulilo toa ni kitanzi kibaya sana umejipiga maana hapo ndiyo umevuruga kila kitu kwa ilo jibu lako utabishana na waislamu wenzako sasa hivi ....kama unacho sema kipo ndani ya uislamu kwanini isiandikwe kuwa issa ndiyo mtume wa mwisho kuja kuwa lingania watu duniani ....😁😁😁 au unataka tuanze kuleta Aya za msahafu kuhusu hii hoja ?
 
Kumbe lahaja (dialect) inaweza kutofautisha maana ya neno Moja?

Mfano Msukuma akasema "Embe"

Mpemba akasema "Embe"
Wanamaanisha vitu viwili tofauti? 🤔🤔🤔
Wapi niliposema mpemba. Mzaramo na msukuma wakitaja embe maana inabadirika?
 
HII COMMENT YANGU IMEFUTWA NA NANI HAPA JF.

Muhammad kasema 💥 yeye ndiye mtume na nabii wa mwisho hakuna mtume wala nabii tena baada yake ...kisha Muhammad anaendelea kuwa panga wapuuzi kuwa 💥kila nafsi itaonja mauti ...kisha Muhammad anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa Yesu (issa) akufa alipalizwa mbinguni ....kisha mudi boy anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa 💥kwa kuwa issa akufa na kila nafsi ni lazima ionje mauti basi huyo Issa ni lazima atarudi duniani na kuingia msikitini na kuwaongoza waislamu kumwamini mtume Muhammad ...SWALI ISSA NI NANI ? JIBU NI MTUME SWALI KWA MUJIBU WA MUHAMMAD KUWA HAKUNA TENA MTUME ATAKAYE KUJA DUNIANI BAADA YA YEYE MUHAMMAD SASA HUYO ISSA ATAKAPO KUJA ITAKUWAJE JE ATAKUWA KAPOTEZA UTUME ? HAPA UNAGUNDUA KUWA MUDI BOY AJUI UTUME NI NINI WALA UNAPATIKANA VIPI NA UNAPOTEA VIPI ? ILI SWALI WALILIKIMBIZA MASHEKH WANAFIKI NA UISLAMU WAO...HATA MUHAMMAD AWEZI KULIJIBU ILI SWALI.
ILI SWALI LINA MUENDELEZO HAPA NIMELIFUPISHA SANA .... FaizaFoxy adriz Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Bwana Utam
Mkuje huku kupata Ilimu kutoka kwa ulama wenu lwiva the great genius.
Rabbon DR Mambo Jambo zebri
Nafuatilia mjadala huu.🙏
 
Wewe ni mpumbavu unajua unacho sema kweli ? Uislamu umesema na waislamu wanasema hakuna mtume anaye kuja baada ya muhammad duniani ilo jibu ulilo toa ni kitanzi kibaya saba umejipiga maana hapo ndiyo umevuruga kila kitu kwa ilo jibu lako utabishana na waislamu wenzako sasa hivi ....kama unacho sema kipo ndani ya uislamu kwanini isiandikwe kuwa issa ndiyo mtume wa mwisho kuja kuwalingania watu duniani ....😁😁😁 au unataka tuanze kuleta Aya za msahafu kuhusu hii hoja ?
Sijui aje doctor yupi ataekutibu upone.
Haya mfano wa mwisho usipoelewa basi.

Assume kwenu mmezaliwa watoto watatu. John, Deo na Jiga nikitinda mimba. Assume Deo anaishi South Afrika, Jiga na John wanaishi Tanzania.

Jiga aseme kwa jamaa zake "Kwenye familia yetu ni mimi mtoto wa mwisho hakuna ataezaliwa baada yangu, nikifa mimi siku za mbele atakuja Deo kuendeleza harakati zangu".

Je, Deo akija utaamini km ni mtoto mpya kaziliwa kwenye familia hivyo Jiga nimuongo??
 
Icho ulicho eleza nakijua sana sema tatizo lako ujui msahafu unasema nini kuhusu muhamadi kuwa mtume wa mwisho kuja duniani ? Msahafu unasema kuwa baada ya muhammad mungu hata tuma mtume tena duniani ..pia unasema yoyote atakaye jiita mtume baada ya muhammad huyo ni kafiri.nataka sasa nianze kukuletea aya ili ujue kwanini nakuita mpumbavu...kwanza ujui maana ya mtume wa mwisho kuja duniani ...pia nijibu kwa maelezo yako ni nani aliye mtume wa mwisho kuja duniani ?
 
Icho ulicho eleza nakijua sana sema tatizo lako ujui msahafu unasema nini kuhusu muhamadi kuwa mtume wa mwisho kuja duniani ? Msahafu unasema kuwa baada ya muhammad mungu hata tuma mtume tena duniani ..pia unasema yoyote atakaye jiita mtume baada ya muhammad huyo ni kafiri.nataka sasa nianze kukuletea aya ili ujue kwanini nakuita mpumbavu...kwanza ujui maana ya mtume wa mwisho kuja duniani ...pia nijibukwa maelezo yako ni nani aliye mtume wa mwisho kuja duniani ?
Daaah aisee embu kakojoe ukalale usiku ushaingia
 
Unajua kwa nini waislamu nilio watag hakuna anaye kuja kujibu ? Sababu wanajua maswali yatakayo kukuta ....kwanza logic yako ni potovu kama unavyo sema ni kweli basi mitume na manabii wanaendelea au wanaweza kuendelea kuja duniani kwa kujirudia hii ipo hata kwenye biblia mfana nabii Eliya alikuja mara ya pili duniani na kuitwa yohana mbatizaji ...sasa kama katika uislamu ni hivyo usemavyo basi inatakiwa,uwakemee mashekh wanao sema yoyote anaye jihita mtume au nabiini ni muongo maana wao hoja yao inakuwa ni hiyo ya mtume na nabii wa mwisho kutumwa na mungu duniani ni mtume muhammad.....swali je mtu akisema msikitini kuwa mungu bado analeta mitume wa kale duniani watu wa msikitini mtamkubali ..kama ni hivyo kwanini neema ya kuletwa nitume msiendelee kuiomba kwa mungu iliawalete tena mitume wa kale kama unavyo sema ....hapa ninakuvuta tu maana nimekuona una majibu ya kutunga...usikimbie nitakuja na maswali na fafanuzi ndipo utajua kuwa muhammad alikuwa ajui hata mtume na nabii ni kitu gani ?
 
Shalom, Salam alaikum.

Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).

Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).

Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.

Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:

1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.

2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.

3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.

Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Ulikuwa hujui? Je wajua kuwa Muhammad hata hakuacha hiki kinachoitwa quran sawa na Yesu na biblia?
 
Satanic verses.
 
Back
Top Bottom