Surah ya Tano uislamu umekamilikaUkiwa mjinga na kujitoa ufahamu kiasi hiki itabidi nikupuuze tu like your fellow Pathetic Scumbags.
Mbona watu kwenye makabati Yao nguo hawapangilii kutoka ya Zamani mpaka mpya bali wengi hupanga randomly ?
Aya hiyo ya kukumilishwa dini kuwa katika sura za Mwanzo sio hoja kama haikutakiwa kupangiliwa hivyo sawa mtu adai Mwenyezi Mungu hayupo au kumtoa dosari kisa uwepo wa Maradhi na umasikini lakini kumbe kuwepo kwa vitu hivyo sio alama ya udhaifu kwa Mwenyewezi Mungu ni katika hekima zake ila ukiwa na akili finyu kama zako utawaza negatively.
Ukisema imepangwa tofauti weka ushaudi , sio kwa tu Aya hiyo kuwa mwanzo kwani umbeambiwa ni makosa au yeye hawezi kupanga hivyo? ukisema jambo weka na ushahidi .
Ujinga uliopo kwenye mfano wako ni sawa na Mimi Leo nimuone Rais Samia anatembea kwa miguu niseme sio yeye Rais hawezi kutembea vile lazima abebwe na magari ya kifahari , sasa wapi Kuna makosa kutembea kwa miguu , wapi kasema hawezi kufanya hivyo au alipokatazwa ?
Kama una ona hiyo Aya kuwa hapo ni shida yako kutokana na ujinga wako au ubishi Wala hakuna tabu yeyote kwa Wasomi na Wenye akili.
Surah mia mbele ni za nini?