Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.Kichwa cha habari hakiendani na ulicho andika, Quran haijawahi kua edited rather published, kipi unachotaka kumaanisha.?
"Ni kitabu kipya" unamanisha nini yaani unaandika kama illiterate lay man.......naomba udhibitishe ma badiliko yoyote from the original copy, script kama unao usitangulize mhemuko na chuki mkuu.......leta ushahidi, otherwise shut-up your big mouthPia hii Quran (hafs) inayotumia sasa sio ile ya uthman,ile ya uthman hakuna ushahidi kwamba iliwahi kuwepo. Hakuna manuscript za kale zenye kuthibitisha hata sehemu ndogo tu ya Quran ya uthman.
Hii Quran ya leo ni kazi ya mfalme Fuad wa Misri,mwaka 1920 alitoa amri ka chuo kikuu cha Al Azhar nchini mwake watengeneze Quran moja kwa nchi nzima.
Kabla ya hapo wamisri na uarabuni nzima walikuwa na Quran zao local na kukawa na mkanganyiko wa kiimani . Mwaka 1924 Hafs version ya Quran ikarasmishwa na serikali ya Misri,kisha ikatolewa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilichomwa moto,kuzamishwa mto nile nk.
Saudi Arabia wamekuja kuikubali hiyo Quran ya Misri mwaka 1985,hiki bado ni kitabu kipya kabisa na sio kile cha Mohamed .
Sasa nilifahamu kuwa ulishushwa!Msahafu ni kijikitabu cha kuungaunga tu, hata waislamu wenyewe wanajua ni tofauti na vitabu vya biblia ....ndiyo maana ni rahisi waislamu kudanganywa na mashekh wao ....ila kwa wakristo wakidanganywa ni kwa kujitakia wenyewe au kwa upumbavu wa kujitakia..... ukristo upowazi nini ni nini...
Kweli Allah ndiye alimfundisha binadamu kuandika?
Unajua binadamu aligundua maandishi Karne ya ngapi na Quran iligunduliwa Karne ya ngapi?.
Ok tuachane na hayo Mimi ndiyo naanza kusoma Quran hivyo sijaiva kihivyo sana nipatiwe muda kidogo.
Asante.Umefanya vizuri sana ndugu yangu. Watu wengi huwa wanaukashifu Uislamu au Quran bila ya kuusoma na kuujua kwa undani. Wewe unafanya vema kuisoma Quran. Mimi nakupa hongera na ninakuomba usiache kuisoma na ukipata swali lolote wewe liandike sehemu utayapata majibu ya maswali yako yote humo humo kwenye Quran.
Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia iliyo sahihi
Basi shekh wangu nisamehe sana tafadhari nimekosa mimi nimekosa sana ....ila kwa mafundisho ya yesu aliwajibu mafarisayo kuwa wenye afya awaitaji tabibu (daktari) bali walio wagonjwa ...hivyo umbumbumbu wetu ndiyo ugonjwa hivyo tunakuitaji utujibu tupate kupona ....Wakiristo wa jf ndio wanaotoa hoja humu jf ndio nawaona watupu vichwani ktk swala la dini, wa facebook utajua wewe unaojadiliana nao huko
Kwanza kabisa Qur'an ni Kitabu kimoja , unaposema vitabu vya Qur'an ni makosa ya wazi kabisa labda useme aya za Qu'ran.Shalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.
Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:
1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.
2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Huyo anajulikana kwa ujinga wake na upungufu wake wa akili , watu kama hao ni WA kuwapuuza tu hawastahili kujibiwa Wala kufanya nao mijadala.Mkuu mbona hasira nyingi sanaa kulikoni?
Ungeuliza Ili ufundishwe alichofanya saidina OthumanShalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.
Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:
1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.
2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Hamna mudi kenge wewe ,unaleta shobo kwa watu wala hawnaa time na ujinga wako.Mudi boy kasema 💥 yeye ndiye mtume na nabii wa mwisho hakuna mtume wala nabii tena baada yake ...kisha mudi boy anaendelea kuwa panga wapumbavu kuwa 💥kila nafsi itaonja mauti ...kisha mudi boy anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa Yesu (issa) akufa alipalizwa mbinguni ....kisha mudi boy anaendelea kuwa panga mazuzu kuwa 💥kwa kuwa issa akufa na kila nafsi ni lazima ionje mauti basi huyo Issa ni lazima atarudi duniani na kuingia msikitini na kuwaongoza waislamu kumwamini mtume mudi boy ...SWALI ISSA NI NANI ? JIBU NI MTUME SWALI KWA MUJIBU WA MUDI BOY KUWA AKUNA TENA MTUME ATAKAYE KUJA DUNIANI BAADA YA MUDI BOY SASA HUYO ISSA ATAKAPO KUJA ITAKUWAJE JE ATAKUWA KAPOTEZA UTUME ? HAPA UNAGUNDUA KUWA MUDI BOY AJUI UTUME NI NINI WALA UNAPATIKANA VIPI NA UNAPOTEA VIPI ? ILI SWALI WALILIKIMBIZA MASHEKH WANAFIKI NA UISLAMU WAO...HATA MUDI BOY AWEZI KULI JIBU...... ILI SWALI LINA MUENDELEZO HAPA NIMELIFUPISHA SANA .... FaizaFoxy adriz Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Bwana Utam
Mkuje huku kupata Ilimu kutoka kwa ulama wenu lwiva the great genius.
Rabbon DR Mambo Jambo zebri
Wewe ni muislamu nataka kukupa somo moja matata sanaHamna mudi kenge wewe ,unaleta shobo kwa watu wala hawnaa time na ujinga wako.
Tatizo dogo muoga sana
Koran imepangwa tofauti na Muhammad alivyoipangaKwanza kabisa Qur'an ni Kitabu kimoja , unaposema vitabu vya Qur'an ni makosa ya wazi kabisa labda useme aya za Qu'ran.
Mwisho kabisa hakuna ubaya juu ya kukusanywa kile kilichomo na kukipangilia vizuri ilimradi hakuna kilichotolewa Wala kubadilishwa sawa na kuweka Jalada katika Kitabu kama njia ya kuhakikisha usalama na kupendezesha hilo halibadilishi Contents
Kumbe lahaja (dialect) inaweza kutofautisha maana ya neno Moja?Ungeuliza Ili ufundishwe alichofanya saidina Othuman
Wewe mgalatia hauwezi kuelewa Kwa sababu Lugha gongana
Mlima Kilimanjaro
1) جبل كليمنجارو
2) جَبَل كِليَمَاجَارُو
Hayo Maneno mawili hapo ya kiarabu yote maana yake ni mlima Kilimanjaro
Neno namba moja halina lahaja / matamshi Kuna uweze Kano kama litasomwa na watu 1000 matamshi Yao yakatofautiana japo maana itakuwa ni Ile ile
Rejea
Kiswahili Cha kipemba
Kiswahili Cha mzaramo
Kiswahili Cha msukuma
Neno namba mbili limewekwa rahaja ukilipeleka ulimwenguni kote litasomwa Kwa rahaja moja
Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....Huyo anajulikana kwa ujinga wake na upungufu wake wa akili , watu kama hao ni WA kuwapuuza tu hawastahili kujibiwa Wala kufanya nao mijadala.
Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....Ungeuliza Ili ufundishwe alichofanya saidina Othuman
Huyo malaria unaezana nae WEWE ndugu,Hata mimi mbumbumbu ? Leo ni ajabu umejitaidi hata kucommenti ...tupe majibu ...tuone logic ya hayo niliyo uliza ....pia umesema wakristo wa JF ni mbumbumbu je wakristo wa FACEBOOK NDIYO SIYO MBUMBUMBU AU WAKRISTO WA WAPI 😅😅😅 SHEKH UNAANZA KUPUYANGA MAPEMQ KABLA YA HATA KUJIBU SWALI ....NAKUSHAURI KABLA YA KUJIBU SWALI LANGU LOLOTE NI VYEMA KWANZA ULISOME MARA 10 KABLA YA KUJA NA JIBU ... Rabbon DR Mambo Jambo