Sidhani kama kitabu hiki kinaukamilifu haswa pale ninapovuta picha kwamba Kuna baadhi ya vitabu viliondolewa na binadamu Uthman aliondoa baadhi ya vitabu (editing) na kubakisha anavyovipenda ye 🧐🧐🧐
Shida ya kujifungia chumbani halafu ukajihesabia unasoma, uislamu hausomwi kwa dizaini hiyo
Quran haijafanyiwa edition yoyote ya kimaana au usomaji.
Modification imefanywa kwenye maandishi (sijui kama utaelewa)
Waarabu wenyewe wanawaza kusoma Quran (maandishi ya kiarabu) bila irabu ( a, e, I, o, u)
Modification ni kuyaweka maandishi vizuri ili yaweze kusomwa na hata asiye mwarabu kwa usahihi .
Mfano : Baada ya kuweka irabu
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
ٱهْدِنَا ٱلصِّرَاطَ ٱلْمُسْتَقِيمَ
صِرَاطَ ٱلَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ ٱلْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا ٱلضَّالِّينَ
Bila ya irabu
بسم الله الرحمن الرحيم
الحمد لله رب العالمين
الرحمن الرحيم
مالك يوم الدين
إياك نعبد وإياك نستعين
اهدنا الصراط المستقيم
صراط الذين أنعمت عليهم غير المغضوب عليهم ولا الضالين
NB
HAKUNA TOFAUTI YA USOMAJI NA MAANA, TOFAUTI NI KWAMBA HIYO YA KWANZA NI RAHISI KUSOMA HATA KWA ASIYEJUA KIARABU VIZURI