He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

"Ni kitabu kipya" unamanisha nini yaani unaandika kama illiterate lay man.......naomba udhibitishe ma badiliko yoyote from the original copy, script kama unao usitangulize mhemuko na chuki mkuu.......leta ushahidi, otherwise shut-up your big mouth
Acha papara na kufokafoka
 
Maandishi yote yametungwa na binadamu tu , hakuna cha kuteremshwa ni ujanja ujanja tu ila uishi kwa kuamini.
 
Biblia ndo imezushwa kabisa wala hata Yesu hajui kama kuna kitabu kilifata baada yake kinachoitwa Biblia, kama kuna mtu anabisha alete andiko linalotambua kitu kinachoitwa Biblia
 
kwenye suala la pombe kuna ayah mbili zipo moja ilianza kushuka na ilikuwa inakataza kufanya ibadan ukiwa umelewa na nyingine ikashuka kukataza pombe mazima kuwa ni haramu,
Allah anasema wenye hekima wanajua utamu wa pombe

Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
"Ni kitabu kipya" unamanisha nini yaani unaandika kama illiterate lay man.......naomba udhibitishe ma badiliko yoyote from the original copy, script kama unao usitangulize mhemuko na chuki mkuu.......leta ushahidi, otherwise shut-up your big mouth
Kwa nini yeye athibitishe? Burden of proof iko kwenu. Mtuoneshe hiyo Quran ya karne ya 7 aliyosawazisha Uthman😂
 
Biblia ndo imezushwa kabisa wala hata Yesu hajui kama kuna kitabu kilifata baada yake kinachoitwa Biblia, kama kuna mtu anabisha alete andiko linalotambua kitu kinachoitwa Biblia
Wakristo msingi wetu Mkuu ni Imani katika Yesu pamoja na kufa na kufufuka kwake. Sisi tunaamini Yesu ndiye atakuja kufufua wafu pamoja na kuhukumu siku ya mwisho. Biblia imeandikwa na watu waliokuwa inspired na roho mtakatifu,haikushushwa kutoka mbinguni.

Waislam mnaamini katika kitabu,hiki kitabu chenu kipo mbinguni. Alishushiwa Mohamed kwa miaka 23 na kipo sawa neno kwa neno toka enzi za Mohamed na mbinguni pia. Sio hivyo tu ,kitabu hiki kitakuja kuwa shahidi siku ya qiyama kwa kuwasemea wale waliokuwa wakikisoma ile waende Jenna (Sahih Muslim (804).

Issue ya kuprove ubora wa kitabu iko kwenu waislam,nyie ndiyo mnakuja na madai ya kwamba kitabu hakijabadilika,kimeshushwa toka juu nk.
 
Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.

Hapa ni ufafanuzi wa kile kilichofanywa:
Kilichofanywa na Khalifa Uthman:

1. Usawazishaji wa lahaja (qira’at):
Qur’an ilikuwa inasomwa kwa lahaja tofauti tofauti (sababu ya kuruhusiwa kwa "Ahruf Saba’a" – njia saba za kisomaji zilizoruhusiwa na Mtume Muhammad). Uthman alichagua lahaja ya Kikuraishi (lahaja ya Mtume) kama ya msingi, na kuandika Qur’an kulingana na hiyo.
Nani alimruhusu achague lahaja moja wakati yeye hakuwa nabii? Kwanza hata hizo ahruf saba'a kila mtu anazielezea kivyake vyake hakuna anayejua Kwa uhakika zikoje.
 
Hakuna kuteremshwa shekhe ushahidi unasema iliandikwa na baadae ku-edit-wa na Uthman,

mwisho kabisa Yale Machapisho waliyoona Yana maswali mengi yalichomwa moto.🤔🤔🤔
Kuna baadhi ya aya zililiwa na kondoo Kwa mujibu wa Aisha😜
 
Ndio maana nimekuambia wewe ni mpumbavu
Hao makhalifa wa 4 ni waongofu ambao mtume saw ameagiza " SHIKAMANENI NA SUNNAH ZANGU NA SUNNAH ZA MAKHALIFA WANGU WAONGOFU"

Mtume (saw) hakuikusanya Quran kwa kuwa klla siku ilikuwa inashuka taratibu mpaka akafariki

Baada ya kuwa tayari ishashuka yote Imekusanywa pamoja ili MAKAFIRI kama wewe msipate kuharibu mkaleta maandiko yenu ya uongo uongo
Ibn Masoud naye ni kafir? Mbona aliigomea hiyo Qur'an yenu yenye Sura 114?
 
Samahani, nikuulize kitu

Kwenye hizo Hadith za Kunyonyesha umeelewa nini?

Maana binafsi sioni kitu chochote cha kupinga, natamani uelezee ulichoeelwa ndio nikuelezee hiyo hadith na utajishangaa mwenyewe.

Conclusion​

  • The hadith refers to verses that were abrogated in recitation, and thus not part of the final Qur’an.
  • The mention of the paper being eaten by a sheep is not a flaw in Qur’anic preservation, because the Qur’an was memorized and preserved in many other copies and hearts.
  • This narration, even if taken as authentic, is understood in the context of abrogation and divine instruction, not accidental loss.

Kumuelewesha mtu ambaye hata herufi za kiarabu hajui, halafu uanze kumuelezea aya zilizofutwa, zilizofuta ni kazi inayohifaji mshahara kabisa
😜😜😜 Upupu tupu, hizo Aya za kunyonyesha mtu mzima mara kumi zilikuwa abrogated na kunyonyesha mara tano, haya tuoneshe Aya za kunyonyesha mtu mzima mara tano kwenye Qur'an, Tuoneshe za kupiga mawe maana Aisha anasema zilikuwa kwenye kopi ya Qur'an iliyokuwepo kipindi hicho kabla ya kuliwa na kondoo. Qur'an ime-editiwa na huo ni ukweli usio na kificho.
 
Kuna sababu nyingi za kufutwa aya kwa aya au Hadith

Moja tu nadhani rahisi kuelewa kwako

1. Gradual Development and Easing of Shari’ah​

Islam came to reform deeply rooted practices in society. Sudden, strict rulings would’ve overwhelmed people.

Example: Alcohol prohibition

  • First, discouraged drinking (Surah Al-Baqarah 2:219)
  • Then, prohibited before prayer (Surah An-Nisa 4:43)
  • Finally, completely prohibited (Surah Al-Ma'idah 5:90)
Hilo ndio lengo, kufanya wepesi wa mabadiliko na hapa pia tunapata somo hata kwenye kumlingania mtu mtenda maovu tunaanza polepole

Hata waathirika wa madawa hawaachishwi ghafla tu bali slow but sure
Umeandika nini hapa mbona sijakuelewa..Hilo agizo la kufuta kalitoa nani?
 
Nashukuru umeweza kuona hayo.
Cha kutakafarisha iweje nakala zingine zilizoshushwa na Mungu zikachomwa moto?

Inakuwaje wafuasi wa mtu mmoja wauane wao kwa wao?

Ukiangalia kwa makini unaoma kina mushkeli katika Qur'an.

Ukiangalia Biblia- ndiyo, walikusanya vitabu na kuweka vigezo vya vitabu vinavyokubalika.
Kwenye Agano la Kale Wayahudi ndiyo walihusika na ilikuwapo miaka mingi kabla ya mtume Muhamad au ya Uislamu.
Agano jipya vitabu vilivyokusanywa na kukubalika na wale walioshi pamoja na Yesu au wale walikuwepo pamoja wafuasi wa Yesu, ukimwondoa Paulo ambaye Mungu alimshukia kwa namna yake na kuitwa mtume
Vitabu vilivyokubalika vilikuwepo hata kabla ya mtume Muhamad kuzaliwa na tayari vilikuwa vinatumika. Hata Qur'an haijawahi kiponga kuwa vina makosa, bali husema wanapotosha wanaoelezea..
Sehemu nyingine waulize watu wa kitabu (Al' Kitabu).
Wewe ndio mbumbu wa mambumbu na ndio maana mmepotea maana wachungaji wenu wamekudanganyeni sana

1) Kitabu Cha Mathayo na Matendo ya mitume vimeandikwa na Paulo tapeli wa kidini aliyetumwa na Roma kupoteza watu

2) kitabu Cha Luka kimeandikwa na mpagani Luka tena mengene kaongezea yeye mwenyewe

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

3) Aliyeandika kitabu Cha Yohana Hadi Leo hii hajulikani ni nani hizo nyaraka ziliokotwa Misri miaka 15 Baada ya Yesu kupaa

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel.

Sasa wewe kama unamjua aliyeandika kitabu Cha Yohana mtaje Ili Dunia ikupe zawadi

4) Injili ya Barinaba walioanzisha ukristo wameificha Ili nyinyi wagalatia msiisome na ndio Injili pekee iliyopo Duniani ambayo imeandikwa na mkono wa mwanafunzi wa Yesu

5) pia Kuna vitabu vya manabii wa zamani vimefichwa Ili nyinyi wagalatia msivisome wamevipa jina vitabu vya Apokrifa

Story zote zilipo ndani ya Quran ambazo nyinyi mnasema ni hadithi za abunuwasi zipo katika vitabu vya Apokrifa ikiwepo story ya nabii Suleiman na majini yake na story ya watu wa mapangoni waliolazwa usingizi Kwa muda wa miaka 300

Haya ndio mambo nyinyi wagalatia mnatakiwa msome Ili mjue jinsi gani Wazungu walivyo kudanganyeni
 
Biblia ndo imezushwa kabisa wala hata Yesu hajui kama kuna kitabu kilifata baada yake kinachoitwa Biblia, kama kuna mtu anabisha alete andiko linalotambua kitu kinachoitwa Biblia
Biblia ni kama neno msahafu ....biblia maana yake ni maktaba ya vitabu vya mungu vilivyo kusanywa kwenye maktaba moja ya kitabu hiyo maktaba ndiyo biblia hivyo biblia siyo kitabu kipya ...tumia akili ...ukiona mtu hoja yake ni kupinga neno biblia jua huyo ni mpumbavu moja kwa moja. Ndani ya msahafu kuna injili torati zaburi na kuruani nk
 
😜😜😜 Upupu tupu, hizo Aya za kunyonyesha mtu mzima mara kumi zilikuwa abrogated na kunyonyesha mara tano, haya tuoneshe Aya za kunyonyesha mtu mzima mara tano kwenye Qur'an, Tuoneshe za kupiga mawe maana Aisha anasema zilikuwa kwenye kopi ya Qur'an iliyokuwepo kipindi hicho kabla ya kuliwa na kondoo. Qur'an ime-editiwa na huo ni ukweli usio na kificho.
Sishangai kuhusu kunyonyeshana maana kuna kisa shekh alikisimulia cha mama mtu mzima kumnyonyesha mtoto wake mtu mzima aliye kuwa mke wa mtu...tena kama Maswahaba walikuwa wanalilia kunyonywa mate na muhammad je kunyonyeshwa si swala dogo sana ilo au unabisha ?
 
Biblia ni kama neno msahafu ....biblia maana yake ni maktaba ya vitabu vya mungu vilivyo kusanywa kwenye maktaba moja ya kitabu hiyo maktaba ndiyo biblia hivyo biblia siyo kitabu kipya ...tumia akili ...ukiona mtu hoja yake ni kupinga neno biblia jua huyo ni mpumbavu moja kwa moja. Ndani ya msahafu kuna injili torati zaburi na kuruani nk
Leta andiko linalotambua Biblia, maana hata yesu haitambui biblia, ni kitabu kilichozushwa baada yake
 
Leta andiko linalotambua Biblia, maana hata yesu haitambui biblia, ni kitabu kilichozushwa baada yake
Yesu anatambua torati injili zaburi nk sasa unataka andiko gani tena ....biblia ni muunganiko wa vitabu vya injili zaburi torati nk ...kuwa kitabu kimoja...
MSAHAFU NI SAWA NA NENO BIBLIA JE YESU NA MUHAMMAD WANATAMBUA HIVYO VITABU ?

Msahafu ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu kuwa kitabu kimoja.katika dini ya kiislamu

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu kuwa kitabu kimoja .katika dini ya kikristo

adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Rabbon Malaria 2 Bwana Utam
 
Yesu anatambua torati injili zaburi nk sasa unataka andiko gani tena ....biblia ni muunganiko wa vitabu vya injili zaburi torati nk ...kuwa kitabu kimoja
Yesu haitambui Biblia tunakubaliana?
 
Soma vizuri kilichoandikwa

Hawa jamaa kitu chochote kilicholetwa na waarabu hawakujadili au kukikosoa au kulipinga.
Wanafikiri Mungu ni waarabu peke yao na Ukuu wake wote umeishia ndani ya mashairi yaliyoandikwa kwenye kitabu kimoja tu na hivyo vitabu vingine vyote vya Sayansi, utawala,utabibu, noten za muziki ,teknolojia n,k. ni vya shetani .
Ajabu sana .
 
Yesu haitambui Biblia tunakubaliana?
NIITE MAALIMU WAKO ...

Back
Top Bottom