Yesu yupi nayemsema? Issa bin Mariam au Yesu mnazareti wa kwenye Biblia? Maana hawa ni watu wawili tofauti. Imani yetu wakristo ime base kwa Yesu wetu mwenyewe,kitabu ni maelezo na maelekezo tu.
Huyu Yesu yuko hai sio kama Mohamed ambaye alifariki,Yesu wetu hajawahi kutenda dhambi na sio kama Mohamed ambaye Allah alikuwa ana mhalalishia dhambi.
Mkinipendq mtazishika amri zangu (Yohana 14:15) ndiyo dira yetu, Tunampenda Yesu na kuzishika amri zake .
Amri kuu ni hizi ,(1)mpende Mungu wako kwa moyo wako wote na nguvu zako zote,(2) mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe (Mathayo 22:34-40).
Nyie imani yenu ni kitabu,sisi imani yetu ni kwa Yesu kristo, hatuwezi kufanana. Unapoleta point ya kwamba Yesu haja endorse Biblia ni point ambayo haina mashiko.