He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Aliacha kitabu kinachoitwa nini?

Haya kasome Sura Ash-Shu'ara (26:192–195)*
“Na hakika hii ni Qur’an iliyoletwa na Mola wa walimwengu. Imeletwa chini na Roho mwaminifu Jibril, juu ya moyo wako Ewe Muhammad, uwe miongoni mwa waonyaji.

Unamsema Muhammad gani ambae hakuacha Quran?
Mohamed hakuacha kitabu,wazo la kuandika kitabu halikuwa lake. Sio hivyo tu hata majina ya hizo sura za Quran hakupendekeza yeye. Swali la mwisho Quran ipi? Hii ya mwaka 1924?
 
Hicho kitabu cha injili ya Yesu kiko wapi? Maana waislam mnasema hatuna injili ya yesu. Injili ya yesu kwetu sisi ni Mathayo,luka,Marko na Yohana.

Hii habari ya kusema manabii walipewa vitabu ni yenu waislam sio yetu . Yesu hakupewa kitabu, Musa haikuwahi kupewa kitabu kwa imani yetu sisi. Injili ya Yesu inaelezea maisha yake pamoja na mafundisho yake duniani.
Unaniuluza mimi kitabu cha injili ya yesu kiko wapi? Si kimeshafichwa mkaletewa kitabu cha kutungwa kinachoitwa Biblia ambacho hakitambuliki hata kwenye maandiko wala yesu hakijui

Hayo ni maswali ya kujiuliza wewe na uanze kuitafuta hiyo Injil japokua hutaipata maana ilishabadilishwa mkaletewa vitu ambavyo yesu havijui ndo maana mnakula hadi nguruwe wakati alikataza na aliwatupia hao nguruwe mapepo
 
Unajua maana ya quran ..?
Ndiyo najua maana ya Quran na kwenye maandiko imeelekeza Quran ni nini
Surat Al-Baqarah – Aya ya 2 inasema
"Hiki ni Kitabu kisicho na shaka ndani yake; ni mwongozo kwa wachamungu ”

Haya nieleze hiyo Biblia unayoiamini ni nini? Leta andiko linalotaja kitu kinachoitwa Biblia
 
Mohamed hakuacha kitabu,wazo la kuandika kitabu halikuwa lake. Sio hivyo tu hata majina ya hizo sura za Quran hakupendekeza yeye. Swali la mwisho Quran ipi? Hii ya mwaka 1924?
Leta andiko linaloonyesha Muhammad hakuacha Quran .

Ukimaliza jibu hoja unayoikimbia, Biblia mmeitoa wapi na wakati hata Yesu haitambui wala hakuna andiko linalotaja kitu kinachoitwa Biblia?

Unajaribu kuchomoka ila hutatoka bila kujibu hili swali , tena usilijibu kwa utashi wako jibu kwa maandiko, ni nani kaileta Biblia?
 
Qur'an ya Uthman inasemekana kuandikwa miaka 20 baada ya kifo cha Mohamed. Bahati mbaya hakuna mtu amewahi kuiona,kule Damascus, Baghdad, Mecca, na medina hakuna hata page 1 iliyoonekana. Ndiyo maana nimekuuliza hiyo Quran unayo quote ni ya uthman au hii ya Cairo (edition 1924)?

Biblia mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vilivyo andikwa na manabii/mitume tofauti kwa nyakati tofauti. Wewe unataka Biblia uletwe na nani? Kutoka wapi? Yetu haikushushwa kutoka mbinguni kama Quran shehe.
 
Kwahiyo umekubali Biblia ni kitabu kilichotungwa tu wala Yesu hakifahamu?

Kama haukubali jibu hili swali
kila kitabu cha dini alipewa nabii
Yesu alikuja kuhubiri injili
Musa alileta Taurati
Daud alileta Zaburi

Haya hiyo Biblia yenu alileta nani? Na nani aliewahi kufundisha bibli wakati hata yesu haijui Biblia? Wala kwenye maandiko haipo?
Biblia siyo kitabu wewe zuzu nimekupa maana ya biblia kuwa ni mkusanyiko wa vitabu ya mitume na manabii kwa pamoja .... hivyo vitabu ndiyo biblia au kasome ndani ya biblia utakuta vitabu vyote
 
Ndiyo najua maana ya Quran na kwenye maandiko imeelekeza Quran ni nini
Surat Al-Baqarah – Aya ya 2 inasema
"Hiki ni Kitabu kisicho na shaka ndani yake; ni mwongozo kwa wachamungu ”

Haya nieleze hiyo Biblia unayoiamini ni nini? Leta andiko linalotaja kitu kinachoitwa Biblia
Unajua maana ya kitabu?
 
Biblia siyo kitabu wewe zuzu nimekupa maana ya biblia kuwa ni mkusanyiko wa vitabu ya mitume na manabii kwa pamoja .... hivyo vitabu ndiyo biblia au kasome ndani ya biblia utakuta vitabu vyote
Kwahiyo Biblia siyo kitabu? Unaakili timamu?

Haya ni nani aliewaletea hiyo Biblia? Na ni andiko gani lilielekeza mfate kitu kinachoitwa Biblia wakati Yesu wenu hajafundisha hicho kitu?
 
Qur'an ya Uthman inasemekana kuandikwa miaka 20 baada ya kifo cha Mohamed. Bahati mbaya hakuna mtu amewahi kuiona,kule Damascus, Baghdad, Mecca, na medina hakuna hata page 1 iliyoonekana. Ndiyo maana nimekuuliza hiyo Quran unayo quote ni ya uthman au hii ya Cairo (edition 1924)?

Biblia mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vilivyo andikwa na manabii/mitume tofauti kwa nyakati tofauti. Wewe unataka Biblia uletwe na nani? Kutoka wapi? Yetu haikushushwa kutoka mbinguni kama Quran shehe.
Kumbe inasemekana? Haya leta ushahidi

Usihamishe mada eleza Biblia mmeitoa wapi? Wakati hata Yesu haijui?
 
NIITE MAALIMU WAKO ...
Yesu anatambua torati injili zaburi nk sasa unataka andiko gani tena ....biblia ni muunganiko wa vitabu vya injili zaburi torati nk ...kuwa kitabu kimoja...
MSAHAFU NI SAWA NA NENO BIBLIA JE YESU NA MUHAMMAD WANATAMBUA HIVYO VITABU ?

Msahafu ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu kuwa kitabu kimoja.katika dini ya kiislamu

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu kuwa kitabu kimoja .katika dini ya kikristo

adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Rabbon Malaria 2 Bwana Utam
Hapo kwenye msahafu ulimaanisha KITABU kile?
 
Allah anasema wenye hekima wanajua utamu wa pombe

Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
Ko unaleta tafsir ya kimombo ili unichanganye, mi sio wa la saba D, matamko ya pombe kwenye quran yapo katika makundi mawili, ila nini nimechoka kuandika nitakurudia baadae!!!
 
Shalom, Salam alaikum.

Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).

Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).

Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.

Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:

1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.

2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.

3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.

Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
👿
 
Back
Top Bottom