jibu hizo hoja zangu nyepesi shehe . Sisi hatujitaji Biblia itajwe na Yesu ili kuihalalisha. Tofauyna nyinyi mnao claim kwamba Quran imeshuka kutoka mbinguni. Mbingu zipi?
Hii Quran ambayo imechapwa miaka 100 iliyopita!!!??!! Sisi wakristo Biblia yetu ni mkusanyiko wa vitabu vya manabii vilivyo andikwa n wanadamu kwa muongozo wa roho mtakatifu. Biblia haikushuka kutoka mbinguni,wala haipo mbinguni.
Wewe ndiye una kazi ya kuleta huo ushahidi w kushuka huko,kuna shahidi zaidi ya Mohamed aliyeomba jibril akiwasiliana na Mohamed? Hakuna.
Yesu alitokewa na Musa na Eliya na wanafunzi wake waliona (Mathayo 17:1-8). Paulo alipotokewa na Yesu wakati anaelekea Damascus kulikua na mashahidi ambao ni watu aliokuwa nao (Mt 9:3-7).
Tukija kwa Mohamed sasa,ni yeye na his helper jibril (hakuna hata mfuasi wake mmoja aliyeweza kuona au kusikia uwepo wa jibril). Kisha wewe unakuja hapa na kuanza kuikandia Biblia wakati kitabu chenu ni utunzi wa mwnadamu.