He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Nimesoma hadi sehemu fulani hivi, ila kwa kuanzia ni kuwa hiyo ya qairo ya 1924 sio chapa ya kwanza ya quran but ilikuwa ni chapa kutoka traditional way of preservation to newly way as well to recorrect from Egyptian errors not quranic errors kwa sababu quran has no errors from it first Revelation till end of human life, jaribu kusoma vizuri labda we umeelewa tofauti na makusudio ya article provided.
 
Kweli Allah ndiye alimfundisha binadamu kuandika?

Unajua binadamu aligundua maandishi Karne ya ngapi na Quran iligunduliwa Karne ya ngapi?.

Ok tuachane na hayo Mimi ndiyo naanza kusoma Quran hivyo sijaiva kihivyo sana nipatiwe muda kidogo.
ALLAH ajalie uongofu ktk kusoma kwako kitabu kitakatifu
 
Nimesoma hadi sehemu fulani hivi, ila kwa kuanzia ni kuwa hiyo ya qairo ya 1924 sio chapa ya kwanza ya quran but ilikuwa ni chapa kutoka traditional way of preservation to newly way as well to recorrect from Egyptian errors not quranic errors kwa sababu quran has no errors from it first Revelation till end of human life, jaribu kusoma vizuri labda we umeelewa tofauti na makusudio ya article provided.
Hakuna chapa before hiyo,lakini hata hiyo 1924 edition in edition nyingine mwaka 1936 ili kuiboresha zaidi . Hii inaonyesha kabisa kwamba hiki kitabu hakijatunzika kama mnavyo claim waislam.

Waislam hamjawahi kuwa na kitabu kimoja kabla ya mwaka 1924 chief.
 
Shalom, Salam alaikum.

Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).

Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).

Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.

Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:

1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.

2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.

3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.

Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Ila waliotunga uongo wa vitqbu kushushwa toka mbinguni walituweza sana...
 
Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.

Hapa ni ufafanuzi wa kile kilichofanywa:
Kilichofanywa na Khalifa Uthman:

1. Usawazishaji wa lahaja (qira’at):
Qur’an ilikuwa inasomwa kwa lahaja tofauti tofauti (sababu ya kuruhusiwa kwa "Ahruf Saba’a" – njia saba za kisomaji zilizoruhusiwa na Mtume Muhammad). Uthman alichagua lahaja ya Kikuraishi (lahaja ya Mtume) kama ya msingi, na kuandika Qur’an kulingana na hiyo.
Sio mbaya kijifariji.
 
Hakuna chapa before hiyo,lakini hata hiyo 1924 edition in edition nyingine mwaka 1936 ili kuiboresha zaidi . Hii inaonyesha kabisa kwamba hiki kitabu hakijatunzika kama mnavyo claim waislam.

Waislam hamjawahi kuwa na kitabu kimoja kabla ya mwaka 1924 chief.
Kweli we kilaza, si wamekuandikia hapo kuhusu utunzanji wa Quran wa Uthman, au kichwa chako kipo kama dish isiyo na uwezo wa kung'amua mawimbi vizuri.

We ukisikia kuhusu chapa unaelewa nini???
Tuanzie hapo!
 
dogo una akili sana.
wewe ni muelewa.
mtiririko wa kushushwa kwa quran ni mwepesi na una eleweka
 
Kwa hiyo hajashusha wahyi tena?..nyie jamaa bhana mnachekesha sana.
Mzee wahy ni ujumbe kutoka kwa Allah, na Quran ni moja ya vitabu vya Allah ambavyo ndani yake kuna aina tofauti tofauti za maelezo, mfano masimulizi ya jamii za nyuma ya mtume kuanzia kwa Adam hadi kufikia kizazi kilichkaribu naye mfano masimulizi ya watu wa ndovu (wahabeshi) na mengineyo, kingine kilichomo kwenye quran ni sheria za kiislamu, maelezo ya neema na udhabu na mengineyo mengi.

Turudi kwenye wahy, ni niia ya mawasiliano baina ya mwenyezi mungu na mja wake hasa mitume, ko wahy unaweza kuwa ujumbe tu na si sehemu ya Quran

Jaribu kuelewa, maana nahisi kichwa chako ni kigumu, shuleni watu wa aina yenu tunawaita slow learners, unafundishwa leo unakuja kuelewa mwezi mmoja baadae, tatizo lako linasababishwa na mfumo wako wa nerves kuwa na kasoro kadhaa, tena ushukuru kwako shida ni uelewa huenda ungekuwa na tatizo kubwa zaidi ya hilo ambalo ni kuwa response mbaya ya furaha, unachekeshwa leo we unacheka baada ya wiki tatu, ungeishia milembe,,,,!!!

Usiku mwema kaka!!!
 
USHAURI: Ikiwa kama lengo lako n kusoma vitabu vya hizo dini mbili (Bible na Qur-an) na sababu zako ni kutaka kujua ukweli kipi n sawa na kipi sio sawa kusudi uchukue maamuzi, ni vyema zaidi ukawa Neutral. Usiwe shabiki wa upande wowote, kisha ukishamaliza chambua sasa kwa akili yako, na uangalie ukweli uko wapi na unapaswa kuwa upande gani.
Nakwambia hiv maana nakuona unasema unaisoma Quran kutafuta ukweli lakn yaonekana tayari upo upande mwengine na unasoma kwa kukosoa, jambo ambalo unakosea.

Ungekuwa neutral kama nlivyosema basi ungehakikisha unasoma kwanza hadi umalize project yako ndipo ulete mada kama hizi ukiwa na uhakika pamoja na majibu endapo watatokea watakaotaka kukuuliza maswali.
 
Mzee wahy ni ujumbe kutoka kwa Allah, na Quran ni moja ya vitabu vya Allah ambavyo ndani yake kuna aina tofauti tofauti za maelezo, mfano masimulizi ya jamii za nyuma ya mtume kuanzia kwa Adam hadi kufikia kizazi kilichkaribu naye mfano masimulizi ya watu wa ndovu (wahabeshi) na mengineyo, kingine kilichomo kwenye quran ni sheria za kiislamu, maelezo ya neema na udhabu na mengineyo mengi.

Turudi kwenye wahy, ni niia ya mawasiliano baina ya mwenyezi mungu na mja wake hasa mitume, ko wahy unaweza kuwa ujumbe tu na si sehemu ya Quran

Jaribu kuelewa, maana nahisi kichwa chako ni kigumu, shuleni watu wa aina yenu tunawaita slow learners, unafundishwa leo unakuja kuelewa mwezi mmoja baadae, tatizo lako linasababishwa na mfumo wako wa nerves kuwa na kasoro kadhaa, tena ushukuru kwako shida ni uelewa huenda ungekuwa na tatizo kubwa zaidi ya hilo ambalo ni kuwa response mbaya ya furaha, unachekeshwa leo we unacheka baada ya wiki tatu, ungeishia milembe,,,,!!!

Usiku mwema kaka!!!
Kwa hiyo Allah alishusha Wahyi au kitabu cha quran?
 
Kweli we kilaza, si wamekuandikia hapo kuhusu utunzanji wa Quran wa Uthman, au kichwa chako kipo kama dish isiyo na uwezo wa kung'amua mawimbi vizuri.

We ukisikia kuhusu chapa unaelewa nini???
Tuanzie hapo!
Quran ya Uthman imetunzwa wapi? Manuscript za kale za Quran ni zinazojulikana ni Topkapi,Yemen na Birmingham. Hakuna ya uthman dunia nzima.

Maajabu zaidi nchi yenye chimbuko la uislamu haina nakala za kale za Quran,haina artefacts za kale. Medina na Mecca archaeologists wamechimba miaka hawajawahi pata masalia ya kale yenye historia ya uislamu wala Quran.

Punguza ubishi, Cairo edition Quran sio ya Uthman, Quran ya uthman haijawahi kuonekana hata page 1 . Zaidi ya story ya kwamba kuna copy zilisambazwa kwenye miji ya Medina, Makka, Baghdad na Damascus ni hakuna kitu .

Kukusaidia zaidi ni kwamba kabla ya Cairo edition kuna Quran nyingine zilichapwa na wazungu ambazo ni
Venice 1537, Hamburg (1694 ya Abraham Hinkelman),kisha ikaja kuchapwa nyingine mwaka 1834.

Quran ya mwaka 1834 ilichapishwa na msomi wa kijerumani Gustav Leberecht Flugel . Hii ilikuwa Quran rasmi kwa wasomi wa ulaya kwa miaka karibia 100 kwa ajili ya kujifunza na kuuchunguza uislamu.

Baada ya hizo 3 ndipo mfalme Fuad naye akatoa amri mwaka 1907 kwamba itengenezwe Quran moja kwa ajili ya waislam wote kwenye himaya ya ottomans. Qur'an hiyo ilikamilika mwaka 1924,kisha likaja toleo lililo boreshwa zaidi mwaka 1936.

Wewe acha ubishi wa kamba hii Cairo edition ni ya Uthman,ukitaka kujua story nzima ya ukusanyaji wa Cairo edition mpaka kukamilika kwake nitakuletea😊.
 
Mzee wahy ni ujumbe kutoka kwa Allah, na Quran ni moja ya vitabu vya Allah ambavyo ndani yake kuna aina tofauti tofauti za maelezo, mfano masimulizi ya jamii za nyuma ya mtume kuanzia kwa Adam hadi kufikia kizazi kilichkaribu naye mfano masimulizi ya watu wa ndovu (wahabeshi) na mengineyo, kingine kilichomo kwenye quran ni sheria za kiislamu, maelezo ya neema na udhabu na mengineyo mengi.

Turudi kwenye wahy, ni niia ya mawasiliano baina ya mwenyezi mungu na mja wake hasa mitume, ko wahy unaweza kuwa ujumbe tu na si sehemu ya Quran

Jaribu kuelewa, maana nahisi kichwa chako ni kigumu, shuleni watu wa aina yenu tunawaita slow learners, unafundishwa leo unakuja kuelewa mwezi mmoja baadae, tatizo lako linasababishwa na mfumo wako wa nerves kuwa na kasoro kadhaa, tena ushukuru kwako shida ni uelewa huenda ungekuwa na tatizo kubwa zaidi ya hilo ambalo ni kuwa response mbaya ya furaha, unachekeshwa leo we unacheka baada ya wiki tatu, ungeishia milembe,,,,!!!

Usiku mwema kaka!!!
Unaweza ukadhani unanitukana mimi kumbe unamtukana muislamu mwenzako anayesema Allah alishusha kitabu cha Quran..kabla hujatoa comments zako ,soma uelewe kinachojadiliwa.Narudia tena ,Mtume mpaka anakufa hakuacha kitabu kinachoitwa Quran.
 
Nashukuru umeweza kuona hayo.
Cha kutakafarisha iweje nakala zingine zilizoshushwa na Mungu zikachomwa moto?

Inakuwaje wafuasi wa mtu mmoja wauane wao kwa wao?

Ukiangalia kwa makini unaoma kina mushkeli katika Qur'an.

Ukiangalia Biblia- ndiyo, walikusanya vitabu na kuweka vigezo vya vitabu vinavyokubalika.
Kwenye Agano la Kale Wayahudi ndiyo walihusika na ilikuwapo miaka mingi kabla ya mtume Muhamad au ya Uislamu.
Agano jipya vitabu vilivyokusanywa na kukubalika na wale walioshi pamoja na Yesu au wale walikuwepo pamoja wafuasi wa Yesu, ukimwondoa Paulo ambaye Mungu alimshukia kwa namna yake na kuitwa mtume
Vitabu vilivyokubalika vilikuwepo hata kabla ya mtume Muhamad kuzaliwa na tayari vilikuwa vinatumika. Hata Qur'an haijawahi kiponga kuwa vina makosa, bali husema wanapotosha wanaoelezea..
Sehemu nyingine waulize watu wa kitabu (Al' Kitabu).
Haswa, nimepatwa na maswali mengi mno...🤔🤔🤔🤔
 
Unaweza ukadhani unanitukana mimi kumbe unamtukana muislamu mwenzako anayesema Allah alishusha kitabu cha Quran..kabla hujatoa comments zako ,soma uelewe kinachojadiliwa.Narudia tena ,Mtume mpaka anakufa hakuacha kitabu kinachoitwa Quran.
Acha kujitoa ufahamu, we ndo uliuliza na kusema kuwa Allah baada ya kuteremsha Quran hakuteremsha tena wahy, mi nimekujibu kwa kukupa maana ya wahy na Quran na tofauti zilizopo baina ya vitu hivyo viwili.

Na kingine mtume alipofariki aliacha litabu kinachoitwa Quran "nimekuachieni vitu viwili hamtapotea kamwe kama mkivishika(mkivifuata) kitabu cha mwenyezi mungu (Quran) na sunnah"

Naomba uniletee ushahidi kuhusu hoja yako ya mtume kutoiacha Quran wakati anafariki.
 
Quran ya Uthman imetunzwa wapi? Manuscript za kale za Quran ni zinazojulikana ni Topkapi,Yemen na Birmingham. Hakuna ya uthman dunia nzima.

Maajabu zaidi nchi yenye chimbuko la uislamu haina nakala za kale za Quran,haina artefacts za kale. Medina na Mecca archaeologists wamechimba miaka hawajawahi pata masalia ya kale yenye historia ya uislamu wala Quran.

Punguza ubishi, Cairo edition Quran sio ya Uthman, Quran ya uthman haijawahi kuonekana hata page 1 . Zaidi ya story ya kwamba kuna copy zilisambazwa kwenye miji ya Medina, Makka, Baghdad na Damascus ni hakuna kitu .

Kukusaidia zaidi ni kwamba kabla ya Cairo edition kuna Quran nyingine zilichapwa na wazungu ambazo ni
Venice 1537, Hamburg (1694 ya Abraham Hinkelman),kisha ikaja kuchapwa nyingine mwaka 1834.

Quran ya mwaka 1834 ilichapishwa na msomi wa kijerumani Gustav Leberecht Flugel . Hii ilikuwa Quran rasmi kwa wasomi wa ulaya kwa miaka karibia 100 kwa ajili ya kujifunza na kuuchunguza uislamu.

Baada ya hizo 3 ndipo mfalme Fuad naye akatoa amri mwaka 1907 kwamba itengenezwe Quran moja kwa ajili ya waislam wote kwenye himaya ya ottomans. Qur'an hiyo ilikamilika mwaka 1924,kisha likaja toleo lililo boreshwa zaidi mwaka 1936.

Wewe acha ubishi wa kamba hii Cairo edition ni ya Uthman,ukitaka kujua story nzima ya ukusanyaji wa Cairo edition mpaka kukamilika kwake nitakuletea😊.
Mzee nahisi kama shule ulienda kuzuga tu, kuna baadhi ya vitu vinadecay na kupotea mazima kama magome ya miti na material yanayofana nayo, ko ni ngumu kuihifadhi vitu namna hiyo hasa kwa jamii za wakati huo na kingine hiyo Quran inashauriwa kuzika aina yoyote ya material yaliyotumika kuhifadhia Quran kimaandishi ili isije kudhalilishwa kwa kukanygwa, kutapakaa mitaani na mwishowe ikapatwa na uchafu.

We endelea kugoogle maelezo kutoka kwenye vyanzo vyako, mi nipo tayari kupoteza mida kudibunk hoja zako za kitoto mpaka utakapomaliza kugoogle.
 
Back
Top Bottom