He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Kutokujibu hoja ni porojo, ndio maana nimekuuliza maswali ya msingi, lakin naona tayari ushatafuta uchochoro wa kuyakimbia ,nyie simnadai Dini yenu imekamilika ,

Kinachokushinda kujibu hayo maswali ni kipi ?
Huyo Kisai utajiangaisha tu hajui kitu na hajibugi swali , atakuzungusha ata siku tatu
 
Nilichogundua wewe kama mgalatia hata kama ukisoma kilichofanyika hiyo 1924 hauwezi kuelewa
Na ndio maana mnalishana matango poli

Hichi ndicho kilichofanyika mwaka 1924 hakuna aliyeongeza neno Wala kupunguza neno kutoka katika manuscript

King Fu'ad (Cairo) Edition (1924):

Standardization:
The primary goal of this edition was to establish a standardized text for the Quran, particularly in terms of annexes and verse numbering, which had varied in previous printings and manuscripts.

Oral Tradition:
The committee claimed that the text was derived from the oral tradition of recitation (qira'a), rather than solely from existing manuscripts.

Hafs Reading:
This edition is based on the Hafs reading of the Quran, which is the most widely used reading in the Muslim world.

Verse Numbering:
It adopted the Kufan tradition of separating and numbering verses, establishing a standard system.

Napia kabla yapo Quran zilikuwa zinaandikwa Kwa mkono ila Baada ya hapo ndio zikaanza printing

Na hiyo manuscript ipo ambayo ndio Quran aliyoandika Othman na wasomi pia Kuna mda Huwa wanaitumia Kwa study zao mbali mbali

Scholarly Use:
Scholars often use manuscripts to study the history and development of the Quran and to understand the variations in different readings, which can be compared to the 1924 Cairo edition as a reference.

Au labda nyinyi wagalatia hatuelewani sisi waislam tunaposema Quran Haina mabadiriko tunaamanisha kuwa hakuna aliyeongeza neno Wala kupunguza neno katika Aya za Quran
According to orthodox Islam, there’s one version of the Quran. It consists of a series of revelations from the angel Gabriel to Muhammad over a period of twenty-three years. He dictated what he heard (Muhammad was illiterate) to his followers, who wrote them down in their own dialects. The Quran is perfectly preserved. The standard Arabic Quran of today is the 1924 Egyptian version. But there used to be more.

The Rightly Guided Caliph (Rashidun) Uthman ordered all versions and variants of the Quran destroyed, saving only the one in the Quraishi dialect spoken by Muhammad. Uthman, the third Caliph (successors of Muhammad), reigned from 644–656. Our source for this is the Hadith (Collection of Sayings of Muhammad) Sahih Al-Bukhari:

Narrated Anas bin Malik:
 
1. Kama Qur’an haijawahi kubadilika, mbona kuna qira’at (matamshi) tofauti kama Hafs na Warsh? Ni ipi sahihi?
Shida yenu haya mambo hamsomi. Ungekuwa unajua walau hata maana ya Qiraa, usingeuliza hilo swali. Ngoja nikupe faida.

Qiraat ni na aina ya usomaji wa Qur'an ambao umepokelewa Toka kwa Mtume. Ndio maana ukisoma hivyo viraa vyote vinarudi kwa Mtume. Na viko kumi, hapo naona umewataja Maimamu wawili Imaam Hafswi na Warsh. Wapo wengine nane.

Na namna zote hizo za usomaji, Zina maana sawa.
 
2. Kama Qur’an ilihifadhiwa tangu enzi ya Mtume, kwanini Abu Bakr na baadaye Uthman walikusanya upya maandiko hayo?
Unauliza maswali mepesi sana. Haya ni mashauri ambayo walipeana waja wema hao. Wakaona kwa ajili ya vizazi vijavyo wasipate shida na mahufadhi walikuwa wanakufa. Allah akawafunulia wazo la wao waiandike. Ikaandikwa, kipindi cha Abuu Bakr ikawa ni nakala Moja, ikawa imehifadhiwa.

Miaka ya baadae akaichukua swahaba Umar akaitunza, baadae alipokuwa mtawala Uthman akapewa yeye ndio likaja wazo la kujumuisha Saba'a Ahruf zote kwenye msahafu mmoja . Kisha nakala by engine tano zikaandikea backusambazwa kwenye mini mitano ikiwemo Basra, Kufa, Sham, Makkah na Madina.
 
Shida yenu haya mambo hamsomi. Ungekuwa unajua walau hata maana ya Qiraa, usingeuliza hilo swali. Ngoja nikupe faida.

Qiraat ni na aina ya usomaji wa Qur'an ambao umepokelewa Toka kwa Mtume. Ndio maana ukisoma hivyo viraa vyote vinarudi kwa Mtume. Na viko kumi, hapo naona umewataja Maimamu wawili Imaam Hafswi na Warsh. Wapo wengine nane.

Na namna zote hizo za usomaji, Zina maana sawa.
Shida yenu haya mambo hamsomi. Ungekuwa unajua walau hata maana ya Qiraa, usingeuliza hilo swali. Ngoja nikupe faida.

Qiraat ni na aina ya usomaji wa Qur'an ambao umepokelewa Toka kwa Mtume. Ndio maana ukisoma hivyo viraa vyote vinarudi kwa Mtume. Na viko kumi, hapo naona umewataja Maimamu wawili Imaam Hafswi na Warsh. Wapo wengine nane.

Na namna zote hizo za usomaji, Zina maana sawa.
Nikisema unaleta porojo unakataa ,
,

Kama qirā’at zote ni sahihi, kwanini ziwe tofauti katika maneno? Natoka Mfano,katika

Surat Al-Baqarah 2:125 Qirā’a ya Hafs: "وَاتَّخِذُوا" (na chukueni)

Qirā’a ya Warsh: "وَاتَّخَذُوا" (na walichukua)
Tofauti ya matamshi hapa inaleta tofauti ya maana moja ni amri, nyingine ni taarifa ya kihistoria. Je, maneno ya Mungu yanaweza kubeba tafsiri mbili tofauti katika sehemu moja?

Kama qirā’at zote zimerudi kwa Mtume, kwanini yeye hakusema kuwa ziko njia 10 za sahihi za kusoma Qur’an?

Kwa nini mpaka leo baadhi ya Waislamu wanaona qirā’at fulani si sahihi, na madhehebu fulani hutumia qirā’a tofauti na nyingine? Kama zote ni sahihi, kwanini kuna tofauti ya matumizi?

Na kama kweli zote zina maana moja kama ulivyosema, kwa nini tafsiri za Qur’an hutofautiana kulingana na qirā’a iliyotumika?
 
. Kama Qur’an haijawahi kuwa na toleo moja tu kabla ya 1924, kwanini al-Fuad aliamua kuchoma nakala nyingine na kubakiza moja tu?
Kwanza unajua unachokiandika ? Usichanganye kati ya Hati na Qur'an.

Wewe Sasa ndio utujibie hili swali, sababu Qur'an ipo na hakijawahi kutokuwepo mpaka Leo hii.
 
Nikisema unaleta porojo unakataa ,
,

Kama qirā’at zote ni sahihi, kwanini ziwe tofauti katika maneno? Natoka Mfano,katika

Surat Al-Baqarah 2:125 Qirā’a ya Hafs: "وَاتَّخِذُوا" (na chukueni)

Qirā’a ya Warsh: "وَاتَّخَذُوا" (na walichukua)
Tofauti ya matamshi hapa inaleta tofauti ya maana moja ni amri, nyingine ni taarifa ya kihistoria. Je, maneno ya Mungu yanaweza kubeba tafsiri mbili tofauti katika sehemu moja?

Kama qirā’at zote zimerudi kwa Mtume, kwanini yeye hakusema kuwa ziko njia 10 za sahihi za kusoma Qur’an?

Kwa nini mpaka leo baadhi ya Waislamu wanaona qirā’at fulani si sahihi, na madhehebu fulani hutumia qirā’a tofauti na nyingine? Kama zote ni sahihi, kwanini kuna tofauti ya matumizi?

Na kama kweli zote zina maana moja kama ulivyosema, kwa nini tafsiri za Qur’an hutofautiana kulingana na qirā’a iliyotumika?
Nimecheka sana, ndio maana nikasema hujui unachokijadili. Vimekuwa viraa sababu vina utofauti kijana, ila maana ni Moja. Hili nimelisema huko juu. Unakuta katika kiraa fulani Aya inasomeka "ta" nyingine kwa "tha", usomaji ni tofauti lakini maana ni Moja. Hii ipo hivyo tangu zama za Mtume.

Sasa usinipe tuhuma za porojo katika jambo ambalo huna elimu nalo.
 
Shida yenu haya mambo hamsomi. Ungekuwa unajua walau hata maana ya Qiraa, usingeuliza hilo swali. Ngoja nikupe faida.

Qiraat ni na aina ya usomaji wa Qur'an ambao umepokelewa Toka kwa Mtume. Ndio maana ukisoma hivyo viraa vyote vinarudi kwa Mtume. Na viko kumi, hapo naona umewataja Maimamu wawili Imaam Hafswi na Warsh. Wapo wengine nane.

Na namna zote hizo za usomaji, Zina maana sawa.
Hafs alikuwa haaminiki (muongo)kwenye uhifadhi wa hadithi ila leo kwenye Quran mnaishika kama ndiyo ya Mohamed.
 
Kutokujibu hoja ni porojo, ndio maana nimekuuliza maswali ya msingi, lakin naona tayari ushatafuta uchochoro wa kuyakimbia ,nyie simnadai Dini yenu imekamilika ,

Kinachokushinda kujibu hayo maswali ni kipi ?
Ndio ulitakiwa uonyeshe wapi sijajibu swali lako. Maana ya porojo ni kwamba sijajibu swali lako.
Kingine hakikisha hili jambo unalijua.
 
Unauliza maswali mepesi sana. Haya ni mashauri ambayo walipeana waja wema hao. Wakaona kwa ajili ya vizazi vijavyo wasipate shida na mahufadhi walikuwa wanakufa. Allah akawafunulia wazo la wao waiandike. Ikaandikwa, kipindi cha Abuu Bakr ikawa ni nakala Moja, ikawa imehifadhiwa.

Miaka ya baadae akaichukua swahaba Umar akaitunza, baadae alipokuwa mtawala Uthman akapewa yeye ndio likaja wazo la kujumuisha Saba'a Ahruf zote kwenye msahafu mmoja . Kisha nakala by engine tano zikaandikea backusambazwa kwenye mini mitano ikiwemo Basra, Kufa, Sham, Makkah na Madina.
haya hayaondoi hoja yangu ya msingi.
Kama Qur’an ilihifadhiwa tangu enzi ya Mtume na ilikuwa tayari iko kamili, kwanini zifanyike juhudi za "kukusanya" tena?

1. Kama ilikuwa tayari kamili, Abu Bakr alikusanya nini tena? Kwa nini kazi hiyo haikufanyika wakati wa Mtume?
2. Kama nakala ya Abu Bakr ilikuwa ya kutosha, kwanini Uthman afanye kazi mpya tena ya kuchoma nakala zote tofauti na kueneza nyingine?
3. Na kama kweli walikuwa wanakusanya tu kwa ajili ya “vizazi vijavyo,” mbona kulikuwa na tafauti za kusoma (Saba’a Ahruf), kiasi cha kushawishi kuchoma misahafu mingine?

Hapa inaonyesha kuwa kulikuwa na tafauti ambazo zilihitaji “kurekebishwa” na kuletwa Qur’an moja ya standard. Hii inapingana na wazo la Qur’an kuwa haijawahi kubadilika au kupatwa na tafauti yoyote.
 
According to orthodox Islam, there’s one version of the Quran. It consists of a series of revelations from the angel Gabriel to Muhammad over a period of twenty-three years. He dictated what he heard (Muhammad was illiterate) to his followers, who wrote them down in their own dialects. The Quran is perfectly preserved. The standard Arabic Quran of today is the 1924 Egyptian version. But there used to be more.

The Rightly Guided Caliph (Rashidun) Uthman ordered all versions and variants of the Quran destroyed, saving only the one in the Quraishi dialect spoken by Muhammad. Uthman, the third Caliph (successors of Muhammad), reigned from 644–656. Our source for this is the Hadith (Collection of Sayings of Muhammad) Sahih Al-Bukhari:

Narrated Anas bin Malik:
Shida ni kwamba hivi vitu vipo nje ya upeo wenu Ili uvijue unatakiwa ukae chini ufundishwe

Ila kwakuwa Mimi ni mualimu wa kufundisha wajinga kama wewe utanielewa tu

Scholar Ibin Kathiri alitafsiri Quran karine ya 13 it means Ibin Kathiri alitumia Quran iliyoandikwa na Othman

Mpaka Leo hi tafsiri ya Ibin Kathiri inatumika na waislam kote Duniani Kwa sababu Quran ya karine ya 13 ndio hiyo hiyo Quran iliyopo Leo

Yani surati Bakara aliyoitafsiri Ibin Kathiri na kupablishi katika kitabu chake karine ya 13 ndio hiyo hiyo surat Bakara iliyopo katika Quran ya Cairo ya 1922

Mambo ya vashion na kuedit maandiko ya Mungu yapo katika Bibilia

1) King James Version

2) English Standard Version

3) New International Version

4) New American Standard Bible

5) Catholic bible

6) New Revised Standard Version
7)
8)
9)
10)

Na Kila Bibilia hapo Lina Idadi tofauti ya vitabu na Aya

Na bado Kuna vitabu vingine wajanja wenu walioanzisha ukristo wameificha Ili nyinyi wagalatia msivisome muendelee kuwa misukule yao

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Hizo ndio version na hao akina Luka ndio waliozitengeneza hizo version tena huyo Luka ni mpagani

Yani mpagani akuandikie wewe kitabu Cha kumjua Mungu?
 
Sifananishi Quran na Biblia,shida iliyopo ni kwamba hamna manuscript ya Uthman sehemu yoyote ile kwenye nchi za kiislam. Kitabu ambacho kilitumwa kwenye miji yote mikubwa ya wakati huo (Baghdad, Mecca, Medina na Damascus).

Gospel yetu wakristo sio ya miaka ya 1800 chief ,lete ushahidi kama ni kweli.
Niambie kama yes aliacha kitabu cha biblia hii munayoitumia.
 
Kwanini manuscript zisiwepo shehe? Hii ni document muhimu sana na ndiyo maana ilitumwa kwenye miji yote mikubwa ya wakati huo (Baghdad, Mecca, Medina na Damascus).

Leo hii hakuna hata traces (masalia) ya kitabu hiki cha muhimu sana🤔.Hapa usisingizie mila b tamaduni,kuna kitu hakipo sawa kuhusiana na historia ya Quran.

Ottoman empire dola ya kiislamu ( miaka 600 kuanzia mwaka 1300)ilishindwa kuwa na kitabu kimoja mpaka mwanzoni mwa karne ya ishirini chief. Hata wao hakuziona hizo manuscript za Quran ya Uthman!!??!!
Kuna wakati nilikupa majibu sahihi ya hoja yako ila we unataka majibu ukiyonayo kichwani, ko minakuacha na majibu yako, utajijibu mwenyewe
 
Nikisema unaleta porojo unakataa ,
,

Kama qirā’at zote ni sahihi, kwanini ziwe tofauti katika maneno? Natoka Mfano,katika

Surat Al-Baqarah 2:125 Qirā’a ya Hafs: "وَاتَّخِذُوا" (na chukueni)

Qirā’a ya Warsh: "وَاتَّخَذُوا" (na walichukua)
Tofauti ya matamshi hapa inaleta tofauti ya maana moja ni amri, nyingine ni taarifa ya kihistoria. Je, maneno ya Mungu yanaweza kubeba tafsiri mbili tofauti katika sehemu moja?

Kama qirā’at zote zimerudi kwa Mtume, kwanini yeye hakusema kuwa ziko njia 10 za sahihi za kusoma Qur’an?

Kwa nini mpaka leo baadhi ya Waislamu wanaona qirā’at fulani si sahihi, na madhehebu fulani hutumia qirā’a tofauti na nyingine? Kama zote ni sahihi, kwanini kuna tofauti ya matumizi?

Na kama kweli zote zina maana moja kama ulivyosema, kwa nini tafsiri za Qur’an hutofautiana kulingana na qirā’a iliyotumika?
Sasa kijana, umefanya nicheke sana. Kwanza maana uliyo ileta huikuti katika hiyo Aya husika. Ukifasiri tamko hakikisha unazingatia muktadha na mtiririko wa habari husika. Mfano tukichukua hiyo maana ya "Chukueni" na "na walichukua" maana hizi mbili hazikai zikaleta maana kwenye hiyo Aya husika. Kwa maana nyingine umeiweka maana ya uongo.

Hapo sahihi "pafanyeni" na "walifanya". Hapa maana bado ni Ile Ile sababu walipewq kwanza amri waka tii ndio maana kwa kiraa kingine inasomeka "walifanya", yaani baada ya kupewa amri na Allah.

Ndio maana tunasema hivi, Qiraa ni usomaji wa Qur'an kwa matamshi tofauti ila maana ni Ile Ile. Mifano Iko mingi sana na hili kwetu tunalijua. Bali watu wanasomea hivi viraa vyote kumi na kuvifanyia kazi.

Kipindi cha Mtume hapakuwa na haja hiyo ya kusema idadi, ila alihakikisha ya kuwa visomo vyote hivyo vipo. Mtume Kuna mengi hajayaweka katika idadi, ila ni juhudi za Wanazuoni walio kuja mbeleni katika kurahisisha mambo, na halidhuru chochote, mfano Leo hii tunaambiwa nguzo za sala ni 17, Mtume hakusema ni 17 bali amezifunza na zipo. Kwahiyo hii sio hoja.

Hizo Tafsiri ni zipi ambazo zimetofautiana kulingana na viraa ? Tuwekee. Mfano Kuna inasoma "Thabatu" kwa riwaya nyingine na "Bayanu" kwenye kisomo Cha Hafs, Thabatu ni kumakinika au na Bayanu kupambaukiwa.
 
Swali lako sijalielewa.
Qur’an ambayo ilikusanywa na kusambazwa wakati wa Khalifa Uthman bin Affan (RA), ile Qur’an kamili aliyoiamuru iandikwe na kusambazwa kwa miji mikuu ya Kiislamu je, mojawapo ya nakala zile bado ipo hadi leo? Na kama ipo, iko wapi hasa?
 
Sasa kijana, umefanya nicheke sana. Kwanza maana uliyo ileta huikuti katika hiyo Aya husika. Ukifasiri tamko hakikisha unazingatia muktadha na mtiririko wa habari husika. Mfano tukichukua hiyo maana ya "Chukueni" na "na walichukua" maana hizi mbili hazikai zikaleta maana kwenye hiyo Aya husika. Kwa maana nyingine umeiweka maana ya uongo.

Hapo sahihi "pafanyeni" na "walifanya". Hapa maana bado ni Ile Ile sababu walipewq kwanza amri waka tii ndio maana kwa kiraa kingine inasomeka "walifanya", yaani baada ya kupewa amri na Allah.

Ndio maana tunasema hivi, Qiraa ni usomaji wa Qur'an kwa matamshi tofauti ila maana ni Ile Ile. Mifano Iko mingi sana na hili kwetu tunalijua. Bali watu wanasomea hivi viraa vyote kumi na kuvifanyia kazi.

Kipindi cha Mtume hapakuwa na haja hiyo ya kusema idadi, ila alihakikisha ya kuwa visomo vyote hivyo vipo. Mtume Kuna mengi hajayaweka katika idadi, ila ni juhudi za Wanazuoni walio kuja mbeleni katika kurahisisha mambo, na halidhuru chochote, mfano Leo hii tunaambiwa nguzo za sala ni 17, Mtume hakusema ni 17 bali amezifunza na zipo. Kwahiyo hii sio hoja.

Hizo Tafsiri ni zipi ambazo zimetofautiana kulingana na viraa ? Tuwekee. Mfano Kuna inasoma "Thabatu" kwa riwaya nyingine na "Bayanu" kwenye kisomo Cha Hafs, Thabatu ni kumakinika au na Bayanu kupambaukiwa.
Ruka ruka tu
Tofauti za qirā’at kama “وَاتَّخِذُوا” (chukueni) na “وَاتَّخَذُوا” (walichukua) zinaonyesha tofauti ya maana – moja ni amri, nyingine ni taarifa. Hii si tofauti ya matamshi tu, bali ya muktadha pia. Hivyo kusema maana ni ile ile si sahihi kila wakati.

Ingawa qirā’at zote zimepokelewa kwa njia ya mapokezi (riwaya), Mtume hakutaja idadi yake wazi, na haijulikani kwa hakika kuwa zote zilitamkwa naye kwa mitindo hiyo 10 au zaidi.

Kutofautiana kwa matumizi ya qirā’a na tafsiri pia kunaonyesha kuwa hizi si tofauti ndogo tu, bali zenye athari katika kuelewa baadhi ya aya.

Je, kama zote ni sahihi kwa nini ziwe tofauti?
 
Back
Top Bottom