He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Qur’an ambayo ilikusanywa na kusambazwa wakati wa Khalifa Uthman bin Affan (RA), ile Qur’an kamili aliyoiamuru iandikwe na kusambazwa kwa miji mikuu ya Kiislamu je, mojawapo ya nakala zile bado ipo hadi leo? Na kama ipo, iko wapi hasa?
Sijui ipo wapi. Lakini kuwepo kwake na kutokuwepo kwake hakudhuru sababu, ukisoma hivyo viraa vyote kumi vina sanad (chain) inayo fika mpaka kwa Mtume. Sababu katika masharti ya Qiraa kiwe sahihi na kikubalike Kuna masharti matatu, hapa nayakumbuka mawili.

1. Lazima Qiraa chain yake iwe imeungana pasi na kukatika mpaka kwa Mtume.
2. Qiraa lazima kiafikiane na kanuni za Lugha ya Kiarabu.
 
Sasa kijana, umefanya nicheke sana. Kwanza maana uliyo ileta huikuti katika hiyo Aya husika. Ukifasiri tamko hakikisha unazingatia muktadha na mtiririko wa habari husika. Mfano tukichukua hiyo maana ya "Chukueni" na "na walichukua" maana hizi mbili hazikai zikaleta maana kwenye hiyo Aya husika. Kwa maana nyingine umeiweka maana ya uongo.

Hapo sahihi "pafanyeni" na "walifanya". Hapa maana bado ni Ile Ile sababu walipewq kwanza amri waka tii ndio maana kwa kiraa kingine inasomeka "walifanya", yaani baada ya kupewa amri na Allah.

Ndio maana tunasema hivi, Qiraa ni usomaji wa Qur'an kwa matamshi tofauti ila maana ni Ile Ile. Mifano Iko mingi sana na hili kwetu tunalijua. Bali watu wanasomea hivi viraa vyote kumi na kuvifanyia kazi.

Kipindi cha Mtume hapakuwa na haja hiyo ya kusema idadi, ila alihakikisha ya kuwa visomo vyote hivyo vipo. Mtume Kuna mengi hajayaweka katika idadi, ila ni juhudi za Wanazuoni walio kuja mbeleni katika kurahisisha mambo, na halidhuru chochote, mfano Leo hii tunaambiwa nguzo za sala ni 17, Mtume hakusema ni 17 bali amezifunza na zipo. Kwahiyo hii sio hoja.

Hizo Tafsiri ni zipi ambazo zimetofautiana kulingana na viraa ? Tuwekee. Mfano Kuna inasoma "Thabatu" kwa riwaya nyingine na "Bayanu" kwenye kisomo Cha Hafs, Thabatu ni kumakinika au na Bayanu kupambaukiwa.
Kwa mfano, katika Surah Al-Baqarah 2:125:

Riwaya ya Hafs: "وَاتَّخِذُوا" – maana yake "chukueni", ni amri kwa Waislamu.

Riwaya ya Warsh: "وَاتَّخَذُوا" – maana yake "walichukua", ni taarifa ya kilichopita.

Hapa kuna tofauti ya maana, si lafudhi tu. Moja inawataka watu wafanye jambo, nyingine inasimulia kuwa lilishafanywa. Hii inaonyesha kuwa qirā’at zinaweza kubeba maana tofauti, si lafudhi tu.
 
Ruka ruka tu
Tofauti za qirā’at kama “وَاتَّخِذُوا” (chukueni) na “وَاتَّخَذُوا” (walichukua) zinaonyesha tofauti ya maana – moja ni amri, nyingine ni taarifa. Hii si tofauti ya matamshi tu, bali ya muktadha pia. Hivyo kusema maana ni ile ile si sahihi kila wakati
Ndio maana nilacheka sana, chukua haya maneno uyaweke kwenye Aya kisha utuwekee hapa maana ya hiyo Aya, tusome wote kwa pamoja.

Kwanza hakuna maana hiyo kwenye Aya, hukuto hilo popote. Inaonekana hata elimu ya lugha na kufasiri maana za maneno hujui.

Kijana Aya Iko wazi sana, ngoja nikuwekee hapa :

125. Na Tulipoifanya Nyumba (Al-Ka’bah) kuwa ni mahali pa kurejewa na watu na pa amani, na fanyeni mahali pa kusimama Ibraahiym kuwa ni pahala pa kuswalia. Na Tulichukua ahadi kwa Ibraahiym na Ismaa’iyl kwamba: Itakaseni Nyumba Yangu kwa wanaotufu na wanaokaa i’tikaaf, na wanaorukuu na kusujudu. (Al Baqatah : 125)

Haya tuwekee hilo tamko lako la "Chukueni" na "Walichukua".
Inaonekana hata Lugha ya Kiarabu huijui au huko uliko chukua umechukua kwa Mtu asiye jua Kiarabu.
 
Sijui ipo wapi. Lakini kuwepo kwake na kutokuwepo kwake hakudhuru sababu, ukisoma hivyo viraa vyote kumi vina sanad (chain) inayo fika mpaka kwa Mtume. Sababu katika masharti ya Qiraa kiwe sahihi na kikubalike Kuna masharti matatu, hapa nayakumbuka mawili.

1. Lazima Qiraa chain yake iwe imeungana pasi na kukatika mpaka kwa Mtume.
2. Qiraa lazima kiafikiane na kanuni za Lugha ya Kiarabu.
Unaulizwa Hiki unajibu hiki ,

Unaulizwa hivi unajibu vingine kabisa

Ni kweli kuwa qirā’at sahihi lazima ziwe na sanad ya kuaminika hadi kwa Mtume (saw), lakini swali langu lilikuwa tofauti.

Nilitaka kujua kama nakala ya Qur’an aliyokusanya na kusambaza Khalifa Uthman (RA) ile rasmi bado ipo leo hii kama ilivyo.

Hii si swali la sanad wala qirā’at, bali ni swali la kihistoria

Je, mojawapo ya zile nakala rasmi alizotuma Uthman (RA) kama ile ya Makka, Kufa au Sham ipo hadi leo, na iko wapi?
 
Kwa mfano, katika Surah Al-Baqarah 2:125:

Riwaya ya Hafs: "وَاتَّخِذُوا" – maana yake "chukueni", ni amri kwa Waislamu.

Riwaya ya Warsh: "وَاتَّخَذُوا" – maana yake "walichukua", ni taarifa ya kilichopita.

Hapa kuna tofauti ya maana, si lafudhi tu. Moja inawataka watu wafanye jambo, nyingine inasimulia kuwa lilishafanywa. Hii inaonyesha kuwa qirā’at zinaweza kubeba maana tofauti, si lafudhi tu.
Kwanza maana hii haipo, tamko hilo umelichukua kama lilipo pasi na kuangalia Muktadha. Sasa rekebisha hilo.

Pili, angalia siyaki ya Aya ilikuwaje. Ndio maana maana ya Aya inabaki kuwa ni Ile Ile japo matamshi ni tofauti.

Viraa huwa na matamshi tofauti ila maana ni Ile Ile.
 
Unaulizwa Hiki unajibu hiki ,

Unaulizwa hivi unajibu vingine kabisa

Ni kweli kuwa qirā’at sahihi lazima ziwe na sanad ya kuaminika hadi kwa Mtume (saw), lakini swali langu lilikuwa tofauti.

Nilitaka kujua kama nakala ya Qur’an aliyokusanya na kusambaza Khalifa Uthman (RA) ile rasmi bado ipo leo hii kama ilivyo.

Hii si swali la sanad wala qirā’at, bali ni swali la kihistoria

Je, mojawapo ya zile nakala rasmi alizotuma Uthman (RA) kama ile ya Makka, Kufa au Sham ipo hadi leo, na iko wapi?
Swali lako nimekujibu kwa usahihi kabisa kwamba Sijui.

Kisha nikakupa ziada ya maneno kwamba hiyo sio hoja, sababu Viraa vyote vimedhibitiwa na vina sanadi, Sasa usitake nijibu kama unavyotaka wewe, bali nachotakiwa Mimi kufanya ni kutoa majibu sahihi.

Hizo nakala sijui zipo wapi.
 
Unaulizwa Hiki unajibu hiki ,

Unaulizwa hivi unajibu vingine kabisa

Ni kweli kuwa qirā’at sahihi lazima ziwe na sanad ya kuaminika hadi kwa Mtume (saw), lakini swali langu lilikuwa tofauti.

Nilitaka kujua kama nakala ya Qur’an aliyokusanya na kusambaza Khalifa Uthman (RA) ile rasmi bado ipo leo hii kama ilivyo.

Hii si swali la sanad wala qirā’at, bali ni swali la kihistoria

Je, mojawapo ya zile nakala rasmi alizotuma Uthman (RA) kama ile ya Makka, Kufa au Sham ipo hadi leo, na iko wapi?
Kuna nukta zako fulani hivi niliziona huko nyuma nataka nizijibu, maana uliandika uongo na kuwazulia Waislamu. Niliziona nitakujibu.
 
Hongera endelea kusoma au kusomeshwa zaidi utapata mengi mno yenye faida
Tumuombee tu asije shambuliwa na majini wasiotaka ukweli uwekwe hadharani kuficha uovu na uongo uliokithiri ndani ya Qur'an.
 
Sijui ipo wapi. Lakini kuwepo kwake na kutokuwepo kwake hakudhuru sababu, ukisoma hivyo viraa vyote kumi vina sanad (chain) inayo fika mpaka kwa Mtume. Sababu katika masharti ya Qiraa kiwe sahihi na kikubalike Kuna masharti matatu, hapa nayakumbuka mawili.

1. Lazima Qiraa chain yake iwe imeungana pasi na kukatika mpaka kwa Mtume.
2. Qiraa lazima kiafikiane na kanuni za Lugha ya Kiarabu.
Kama hujui basi elewa sasa mmepigwa ,
 
Kijana tuliza akili, swali lako nimejibu kwamba Sijui. Kisha nikakupa ziada ya elimu.

Sasa wapi sijajibu swali lako au wapi nimejibu vingine.
Kama kitu hujui umekiri,unatoaje elimu kwa kitu hujui kama sio porojo
 
Kwanza maana hii haipo, tamko hilo umelichukua kama lilipo pasi na kuangalia Muktadha. Sasa rekebisha hilo.

Pili, angalia siyaki ya Aya ilikuwaje. Ndio maana maana ya Aya inabaki kuwa ni Ile Ile japo matamshi ni tofauti.

Viraa huwa na matamshi tofauti ila maana ni Ile Ile.
Nimekuwekea hapo Aya ,maana ni mbili tofauti moja ni amri ,nyingine historia

Wewe umekazania KUTETEA udini kuwa ni sawa
 
Kama hujui basi elewa sasa mmepigwa ,
Uliloandikwa halifanywi unalo dai liwe kweli.

Ndio maana nimekwambia kuwepo kwake na kutokuwepo kwake hakudhuru kwa maana ni sawa tu, ndio maana Viraa vyote vina sanadi inayo fika mpaka kwa Mtume.

Kijana hakikisha unakijua unachokijadili.
 
Kama kitu hujui umekiri,unatoaje elimu kwa kitu hujui kama sio porojo
Kijana usohamishe goli na usilete utoto. Kutokujua kwangu Mimi ni jambo lingine, Wala hakuna uhusiano na uwepo wa Viraa hivyo kumi. Sababu mapokezi ya viraa hivyo kumi yapo, na yamedhibitiwa vitabuni, bali wapo Waislamu wanasomea hiyo fani ya viraa.

Sasa jikite kwenye mjadala, na usilete habari za mitandaoni ambazo hujawahi kupatia muda wa kuzihakiki.

Kingine, hakikisha unajibu maswali ninayo kuuliza.
 
Nimekuwekea hapo Aya ,maana ni mbili tofauti moja ni amri ,nyingine historia

Wewe umekazania KUTETEA udini kuwa ni sawa

Kijana nilikupa tahadhari huko juu ya kuwa, hakikisha unachokijadili unakijua. Kama upo hapa kwa ajili ya kupoteza muda, ni wewe Mimi nipo hapa kwa ajili ya ukweli na kuueneza.

Nimekupa ufafanuzi na kukosoa juu ya maana unayoileta wewe, maana ambayo haipo na nikakupa kazi, uziweke katika Aya maana hiyo, uone kama inaleta maana.

Lakini ajabu mpaka muda huu unaruka ruka. Hili huwezi.

Aya Moja kuwa amri na nyingine na nyingine kuwa ni historia, hili nalo ni uongo, nimekuwekea Aya husika hapo, onyesha hilo, una kimbia. Na nilikwambia lazima utaukimbia huu mjadala.
 
Kwamba na wewe uliamini Mungu alikamata kalamu na karatasi akaanza kumwaga wino?
Kwamba kwa kutumia akili ya kawaida tu ile ya kuvaa nguo na kuvukia barabara, kwamba Mungu alifanya utafiti akaona kiarabu ndiyo lugha ambayo akiandika ulimwengu mzima utaielewa na sio kiswahili, kichina ama kifaransa?
Kwa kuchagua lugha moja kuweka ujumbe wake huoni kwamba aliwabagua mataifa mengine yasiyo na ufahamu na hiyo lugha na kuifanya lugha hiyo ionekane bora kuliko nyingine zote ulimwenguni?
Unafahamu kuwa fasihi simulizi ni kongwe kuliko fasihi andishi? Huoni kwa kuamua kuandika aliwabagua wasio jua kusoma na kuandika?
Hicho kizazi kilicho letewa hicho kitabu inamaana kilikuwa bora sana kuliko kizazi kilichopita na hiki cha sasa ambacho hakikuletewa kitabu chochote kile?
Kwa hakika uongo ukisemwa mara nyingi huonekana kuwa ndiyo ukweli
Hakika umewaza. 🤔🤔🤔
 
Sijui unakitambua ulichokiandika jitahidi ujipambanue zaidi kwa hadhira
 
Back
Top Bottom