Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Kwangu binafsi nilisimama na Kikwete asilimia zote na kwa wakati wake alilinda mipaka yetu kwa umakini sana
Hotuba yake ilikuwa sahihi kabisa
Ali deal na COW vizuri sana bila pressure
Alisambaratisha ule mtandao kule misituni Geita na kagera 🙏🙏🙏
 
Ni kweli kikwete ana mapungufu yake,lakini nafikiri ni mtu muhimu sana kwenye nchi yetu anayeweza kudeal vizuri sana na Hawa warwanda.
Imekuwaje kijana wake Lugumi akanasa kwenye penzi la sleeper agent kutoka Rwanda?

Acha kumpamba mzee wa Msoga hawezi pambana na yule kimbaumbau wa Rwanda maana PK kasambaza majasusi wa kike wengi sana bongo Lugumi kanaswa sasa ataropoka kila kitu kwa huyo demu.
 
Lugumi ni nani kwenye usalama wa hii nchi mpaka awe na taarifa nyeti za kumsaidia adui
 
Tatizo lako bado u mgeni katika siasa za mzee wa Msoga japo unajifanya unamjua na huku humjui.

Ikiwa humjui Lugumi wewe ni mhamiaji tu kutoka Kivu ila PK anajua anamjua Lugumi kuwa ni mtu muhimu katika kufanikisha harakati zake....

Kale kademu kutoka Rwanda katamaliza misheni soon.
 
Sema intellijensia ya Kagame sio ya mchezo kabisa
 
Imekuwaje kijana wake Lugumi akanasa kwenye penzi la sleeper agent kutoka Rwanda?

Acha kumpamba mzee wa Msoga hawezi pambana na yule kimbaumbau wa Rwanda maana PK kasambaza majasusi wa kike wengi sana bongo Lugumi kanaswa sasa ataropoka kila kitu kwa huyo demu.
Huwezi fanikisha hizi kazi za ki usalama bila ku interact na hao unaoona ni adui halafu jua pia sio Kila mtusi ana mkubali PK
Hata pale US Kuna warusi wengi TU sawa na pale urusi Kuna wa US wengi sana
Huu mchezo unachezwa pande zote sema wenzetu wananufaika maana PK yuko madarakani mda wote ila JK aliingia na kutoka na ujue nguvu ya mamba ni maji
Ila kwa usmati jk alipambana vizuri sana na PK
 
PK yuko madarakani mda wote ila JK aliingia na kutoka
Yaani huyo mzee aliyesimamia kuvunja katiba ya CCM pale Dodoma ndio unasema alishatoka madarakani?

Usidanganywe ndugu JK hajatoka madarakani, baada ya kuua 'mchawi' mzee wa Msoga alirudi madarakani so hana tofauti na PK.

Pale Dodoma alijimwambafu kwamba "wachawi walishakufa" sijui kama ulimuelewa 😂
 
Bado hawezi kuwa na nguvu kama ilivyokuwa akiwa Rais
Kilichotokea dodoma hakimfanyi kuwa na nguvu kiasi hicho
 
Bila shaka utasema pia hana uwezo wa kumpa wizara mwanaye Ridhiwani ilihali dogo kapewa wizara wakati hana uwezo wa kusimamia wizara, hivi unadhani JK angekuwa sio mroho wa kutawala muda mrefu wangegawana madaraka watu wa familia moja?

Bibi Titi ni kama pazia tu katika kuiongoza serikali ila kiongozi ni huyo mzee wa Msoga ambaye ndoto yake ni kuongoza muda mrefu kwa mlango wa nyuma.

Kamata hii hii mkuu.
 
Bibi Titi Mohamed
 
Mambo ya Rwanda na DRC yanahitaji utulivu kuyaelewa.
 
Sun Tzu...."Art of War"

  • Appear weak when you are strong, .............
  • The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting
  • The greatest victory is that which requires no battle
  • To know your Enemy, you must become your Enemy.
  • There is no instance of a nation benefitting from prolonged warfare.
  • If you wait by the river long enough, the bodies of your enemies will float by
  • The wise warrior avoids the battle
  • Build your opponent a golden bridge to retreat across
  • If you know the enemy and know yourself you need not fear the results of a hundred battles

Back
Top Bottom