Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Kikwete anajua vizuli kuzitumia camera na vinasa sauti

Nakumbuka baada ya maneno hayo mbele ya vyombo vya habari huku nyuma alitoa maagizo mazito yaliyo mfanya kagame mpaka leo hawezi kumsahau kikwete na Tanzania kwa ujumla

Nilicho jifunza kupitia hotuba hiyo kuntu ya kikwete nikwamba wakati mwingine sio lazima utangaze kitu sawa na kile unacho fanya au kufikilia kukifanya
 
Binafsi yangu ukiachana na ufisadi na issue ya babu sea mengine ya Kikwete yanavumilika na amekua kiongozi bora ila hizo sekta mbili alizingua, anazingua, na ataendelea kuzingua hasa ufisadi
 
Kikwete anajua vizuli kuzitumia camera na vinasa sauti

Nakumbuka baada ya maneno hayo mbele ya vyombo vya habari huku nyuma alitoa maagizo mazito yaliyo mfanya kagame mpaka leo hawezi kumsahau kikwete na Tanzania kwa ujumla

Nilicho jifunza kupitia hotuba hiyo kuntu ya kikwete nikwamba wakati mwingine sio lazima utangaze kitu sawa na kile unacho fanya au kufikilia kukifanya
Ni kweli alimminya kimya kimya mpaka jamaa akakohoa damu?
 
Utakereka sana. Ulitaka niwe mpagani?

Dini yangu, mdini mimi, wewe unakereka nini? Au Uislam unakukera?
Lazima nikereke na watu kama nyie mnaoleta udini kila sehem maan udini ni sehemu ya kutugawa tubapiga vita ukabila, udini na aina yoyote ya kutugawa. Uislam hauna cha kunikera maan ni sehem ya jamii ninayoishi
 
Udini ni kansa
 
Back
Top Bottom