Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Sipati picha kama kipindi kile raisi angekua mwamba Magufuli sijui ingekuaje 🙆kagame alivyokua mtu wa hovyo sio wakucheka nae kabisa ni kudili nae kama alivyokuja
Issues kama hizi hazihitaji watu wakali, zinahitaji watu smart. Magufuli hakuwa smart kiasi cha kuweza kuonesha umahiri kwenye mambo yanayohusiana na vita, angepuyanga sana na angeweza hata kuzimwa mapema tu tena kizembe.

Btw, Magufuli katika awamu yake ndio aliwekwa mfukoni kabisa na PK hadi kufikia kupewa walinzi kutoka Rwanda (ilisemekana), japo baadaye naona walichengana maana PK hata msibani hakuja kabisa.
 
Imekuwaje kijana wake Lugumi akanasa kwenye penzi la sleeper agent kutoka Rwanda?

Acha kumpamba mzee wa Msoga hawezi pambana na yule kimbaumbau wa Rwanda maana PK kasambaza majasusi wa kike wengi sana bongo Lugumi kanaswa sasa ataropoka kila kitu kwa huyo demu.
Wewe ni wale watu mnakaa vijiwe vya kahawa mnabishana kuhusu simba na yanga... Membe, jiwe,. Wote walikuwa na mademu wa Rwanda,????
 
Hakuna nchi isiyo na majasusi wa kigeni, hata Amerika na power defence yake, power intelligence yake ina majasusi wengi tena wa nchi ndogo.

Naungana nawe jakaya Kikwete ni mwanadiplomasia mzuri sana na ilisimama vizuri mno kipindi hiko, hata sasa naamini ukihitajika msaada wake utamalizika salama huu mgogoro.
Kweli kabisa sema baadhi ya watawala hutaka kujenga legacy zao hivyo ku ignore watangulizi
 
Ni kweli kikwete ana mapungufu yake,lakini nafikiri ni mtu muhimu sana kwenye nchi yetu anayeweza kudeal vizuri sana na Hawa warwanda.
nafikiri tulipata mwana diplomasia mzuri kwa wakati wake.
 
Sawa. Hivi huyo mama aliye bungeni alipelekwa na nani? Ni jk kweli?!!!!!
Mumewe ndiye aliagiza apelekwe bungeni kula posho za bure maana huyo mama hata hajui wajibu wake huko bungeni ni nini zaidi ya kupokea mgao wake tu..

Hata kwa dogo kupewa uwaziri ni baba ndiye aliamuru ili afuje mali za nchi.
 
Mumewe ndiye aliagiza apelekwe bungeni kula posho za bure maana huyo mama hata hajui wajibu wake huko bungeni ni nini zaidi ya kupokea mgao wake tu..

Hata kwa dogo kupewa uwaziri ni baba ndiye aliamuru ili afuje mali za nchi.
Nikitaka tu ufike hapa Ili watu waone bila chenga ni kwa kiasi gani haters wa jk mmekwama Kwakweli. Poleni sana. Mkewe aliingia bungeni wakati wa JPM, je, mnataka kusema kuwa jk alikuwa pia anaongoza kipindi Cha JPM?!! Si ndiyo nyie mnatuambia Kila siku kuwa jk aliufyata kimyaaa wakati JPM?!! Leo mnatumia hilo kuhalalisha hisia zenu. Hovyo kabisa nyie watu. Hv ukijilinganisha wewe na ridhiwani katika usomi na uelewa wa mambo, unamkaribia hata kidogo kweli?!!!
 
Kikiwete japo kiungwana, ila alilalamika sana sana sana, na hotuba hii japo hajionyeshi ila alikasirishwa sana. Na kuna kaul hapo akasema "jambo hili si sawa HATA KIDOGO". kwa kifupi kwa kauli hii maana yake hakukia na namna angeweza kuacha hili suala lipite bila kumfundisha adabu.

Anyway, kwenye ulinzi na usala.awa mipaka yetu, akitoka nyerere basi kikwete anafuata.
 
Mzee
Sun Tzu...."Art of War"

  • Appear weak when you are strong, .............
  • The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting
  • The greatest victory is that which requires no battle
  • To know your Enemy, you must become your Enemy.
  • There is no instance of a nation benefitting from prolonged warfare.
  • If you wait by the river long enough, the bodies of your enemies will float by
  • The wise warrior avoids the battle
  • Build your opponent a golden bridge to retreat across
  • If you know the enemy and know yourself you need not fear the results of a hundred battles

Mkuu samahan naomba unidhamini nipate japo soft copy ya hicho kitabu
 
Mkuu mambo mengine tusiyakuze sana, wewe na mimi usomi wetu umetusaidia nini kaka???
Ikiwa wewe hujasaidiwa na usomi wako imekuwaje yule dogo akatoboa kwenye nyadhifa ziwafaazo wasomi ilhali ni looser kielimu?

Ukisikia baba kumbeba mwana basi ujue baba alimbeba mwana na kumpa cheo kwa mgongo wa bibi Titi ila kwa cheo alichopewa hakuna kiongozi pale.
 
Ikiwa wewe hujasaidiwa na usomi wako imekuwaje yule dogo akatoboa kwenye nyadhifa ziwafaazo wasomi ilhali ni looser kielimu?
Ndio maana nimeuliza, mimi na weqe wasomi tupo, sasa imekuaje hatupo hapo walipo wao kama suala ni usomi??
Ukisikia baba kumbeba mwana basi ujue baba alimbeba mwana na kumpa cheo kwa mgongo wa bibi Titi ila kwa cheo alichopewa hakuna kiongozi pale.
Mtu chake kaka ,tukubali tukatae ,hata wewe ungefanya hayo hayo. Tuwe wa kwel. Hata mimi nitafanya hivyo hivyo nikipata fursa
 
Back
Top Bottom