Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Huwezi fanikisha hizi kazi za ki usalama bila ku interact na hao unaoona ni adui halafu jua pia sio Kila mtusi ana mkubali PK
Hata pale US Kuna warusi wengi TU sawa na pale urusi Kuna wa US wengi sana
Huu mchezo unachezwa pande zote sema wenzetu wananufaika maana PK yuko madarakani mda wote ila JK aliingia na kutoka na ujue nguvu ya mamba ni maji
Ila kwa usmati jk alipambana vizuri sana na PK
Bado JK yu hai, sidhani kama anaweza kukubali kuona taifa lake linaangamia kwa kukosa maamuzi ya taasisi ya urais. Hivyo In Any case kama Kagame ataonekana tishio kwa usalama au uchumi wetu, ni wazi JK ataingilia kati na kutoa ushauri au maelekezo kwa mamlaka iliyopo.
 
Bila shaka utasema pia hana uwezo wa kumpa wizara mwanaye Ridhiwani ilihali dogo kapewa wizara wakati hana uwezo wa kusimamia wizara, hivi unadhani JK angekuwa sio mroho wa kutawala muda mrefu wangegawana madaraka watu wa familia moja?

Bibi Titi ni kama pazia tu katika kuiongoza serikali ila kiongozi ni huyo mzee wa Msoga ambaye ndoto yake ni kuongoza muda mrefu kwa mlango wa nyuma.

Kamata hii hii mkuu.
Bado mnaweweseka tu na JK, poleni sana maadui zake maana uzushi mnaozusha mpaka unajirudia.......
 
Tatizo lako bado u mgeni katika siasa za mzee wa Msoga japo unajifanya unamjua na huku humjui.

Ikiwa humjui Lugumi wewe ni mhamiaji tu kutoka Kivu ila PK anajua anamjua Lugumi kuwa ni mtu muhimu katika kufanikisha harakati zake....

Kale kademu kutoka Rwanda katamaliza misheni soon.
Hako kademu ukute kameshakandwa hadi kenyewe ndo kakasema siri zote za aliyemtuma
 
Imekuwaje kijana wake Lugumi akanasa kwenye penzi la sleeper agent kutoka Rwanda?

Acha kumpamba mzee wa Msoga hawezi pambana na yule kimbaumbau wa Rwanda maana PK kasambaza majasusi wa kike wengi sana bongo Lugumi kanaswa sasa ataropoka kila kitu kwa huyo demu.
Haha imebidi nicheke
 
Sipati picha kama kipindi kile raisi angekua mwamba Magufuli sijui ingekuaje 🙆kagame alivyokua mtu wa hovyo sio wakucheka nae kabisa ni kudili nae kama alivyokuja
 
Imekuwaje kijana wake Lugumi akanasa kwenye penzi la sleeper agent kutoka Rwanda?

Acha kumpamba mzee wa Msoga hawezi pambana na yule kimbaumbau wa Rwanda maana PK kasambaza majasusi wa kike wengi sana bongo Lugumi kanaswa sasa ataropoka kila kitu kwa huyo demu.
Sasa lugumi ndio nani si chawa tu...Honestly nataka PK atolewe madarakani tena kwa kupigwa shaba anachafua sana hali ya hewa ya huu ukanda wetu.
 
Kuna sehemu humu humu nimesoma historia ya huu mgogoro, ngoja niilete haoa kidogo...

Ni ngumu sana kupata upande wa kuuamini..
 
Huwezi fanikisha hizi kazi za ki usalama bila ku interact na hao unaoona ni adui halafu jua pia sio Kila mtusi ana mkubali PK
Hata pale US Kuna warusi wengi TU sawa na pale urusi Kuna wa US wengi sana
Huu mchezo unachezwa pande zote sema wenzetu wananufaika maana PK yuko madarakani mda wote ila JK aliingia na kutoka na ujue nguvu ya mamba ni maji
Ila kwa usmati jk alipambana vizuri sana na PK
Hakuna nchi isiyo na majasusi wa kigeni, hata Amerika na power defence yake, power intelligence yake ina majasusi wengi tena wa nchi ndogo.

Naungana nawe jakaya Kikwete ni mwanadiplomasia mzuri sana na ilisimama vizuri mno kipindi hiko, hata sasa naamini ukihitajika msaada wake utamalizika salama huu mgogoro.
 
Imekuwaje kijana wake Lugumi akanasa kwenye penzi la sleeper agent kutoka Rwanda?

Acha kumpamba mzee wa Msoga hawezi pambana na yule kimbaumbau wa Rwanda maana PK kasambaza majasusi wa kike wengi sana bongo Lugumi kanaswa sasa ataropoka kila kitu kwa huyo demu.
Lugumi ni nani kwenye intelligence ya nchi hii?
 
Na ndivyo ilivyo!
Eti sisi huku umatumbini tunajua lugumi yupo na majasusi halafu wenyewe majaji hawajui na hawana cha kufanya!!!
Hahaha, kuna wananchi wa hii nchi wana vituko mno.
 
Back
Top Bottom