Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Bado JK yu hai, sidhani kama anaweza kukubali kuona taifa lake linaangamia kwa kukosa maamuzi ya taasisi ya urais. Hivyo In Any case kama Kagame ataonekana tishio kwa usalama au uchumi wetu, ni wazi JK ataingilia kati na kutoa ushauri au maelekezo kwa mamlaka iliyopo.
 
Bado mnaweweseka tu na JK, poleni sana maadui zake maana uzushi mnaozusha mpaka unajirudia.......
 
Hako kademu ukute kameshakandwa hadi kenyewe ndo kakasema siri zote za aliyemtuma
 
Haha imebidi nicheke
 
Sipati picha kama kipindi kile raisi angekua mwamba Magufuli sijui ingekuaje 🙆kagame alivyokua mtu wa hovyo sio wakucheka nae kabisa ni kudili nae kama alivyokuja
 
Sasa lugumi ndio nani si chawa tu...Honestly nataka PK atolewe madarakani tena kwa kupigwa shaba anachafua sana hali ya hewa ya huu ukanda wetu.
 
Kuna sehemu humu humu nimesoma historia ya huu mgogoro, ngoja niilete haoa kidogo...


Ni ngumu sana kupata upande wa kuuamini..
 
Hakuna nchi isiyo na majasusi wa kigeni, hata Amerika na power defence yake, power intelligence yake ina majasusi wengi tena wa nchi ndogo.

Naungana nawe jakaya Kikwete ni mwanadiplomasia mzuri sana na ilisimama vizuri mno kipindi hiko, hata sasa naamini ukihitajika msaada wake utamalizika salama huu mgogoro.
 
Lugumi ni nani kwenye intelligence ya nchi hii?
 
Na ndivyo ilivyo!
Eti sisi huku umatumbini tunajua lugumi yupo na majasusi halafu wenyewe majaji hawajui na hawana cha kufanya!!!
Hahaha, kuna wananchi wa hii nchi wana vituko mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…