NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Armstadam anawazuga tu,aje na yeye huku kwenye vumbi kama kweli awazugi,yeye kajibanza tweeter tu kazi kuandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What a wasted manii...!!!Ma free mason ndio walimtandika risasi baada ya kuwadhulumu na kutaka kulala mbele na kujitoa .,Pete lao halivai tena angalia pete lake kila akiongea alikuwa akiinyanyua kulenga watu usoni
View attachment 1592731
Vijana wa chama cha mapuuzaMatumizi ya Condom 1 tu yangezuia post za kitakataka kama hii.
Lengo lake lilikuwa asije kupata taabu kama anayo ipata sasa!Bado najiuliza aliyempiga Risasi Lissu ni nani na alikuwa na lengo gani?
Alikusudia kumuua Lissu kwa sababu gani?
Hivi kuna binadamu mwenye akili timamu atampigia kura Magufuli ?Siku zote Mungu huwa ana makusudi yake! Hawezi kukiacha kizazi chake kikanyagwa milele ni lazima atamuibua shujaa wa kuwakomboa! Lissu ameletwa na Mungu amini nawambia!
Si kurudi Tanzania tu, mi nafikiri mbali zaidi na kusema je kama Lissu angekufa baada ya lile shambulio..
Yaani hali ingekuwa ni mbaya ziadi ya kile kipindi cha ukoloni.
'Conspiracy theory' zinasema aliyempiga risasi Lissu ni genge la kihalifu lililotumwa na John Magufuli likiwa organized na Paul Makonda !Bado najiuliza aliyempiga Risasi Lissu ni nani na alikuwa na lengo gani?
Alikusudia kumuua Lissu kwa sababu gani?
Kufufuliwa kwa Lissu na Mungu haikuwa kazi ya bure , Mungu alikusudia jambo kuuNajaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Huko kuzuga kwakwe na tweets zake ndio sababu ya ka-utulivu tunakokashuhudia. Nakwambia Polepole angeisha ua mtu kwa miundombinu ya stg, flyover, stigler power, uchumi wa Kati na hiyo Corona!!!Armstadam anawazuga tu,aje na yeye huku kwenye vumbi kama kweli awazugi,yeye kajibanza tweeter tu kazi kuandika.
Tupige na Flash au KavuNajaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?