Hebu piga picha kama Tundu Lissu asingerudi

Hebu piga picha kama Tundu Lissu asingerudi

Kuna baadhi ya vitu majibu yake ni ya kiroho zaidi na hutokea kwa wakati wake nje ya utashi wa binadamu
Unajua bro huwa unanifurahishaga sn yaan kila ki2 kinachotokea in life ww unakitraspend kiroho sitoshangaa siku nikakuta umefungua thread "kula chipsi kuna maana nzito kiroho "
 
Mheshimiwa Rais Magufuli yuko sawa kabisa. Duniani kote wasaliti wa maslahi ya taifa wanachukuliwa hatua kali
Ni kwa zwazwa tu ndiye anaweza kudhani Lissu ni msaliti wa mali ya Taifa while the vice versa is the truth. He stole 2.7 trillions from treasury coffers, he was involved in so many other corruption activities.
 
Ma free mason ndio walimtandika risasi baada ya kuwadhulumu na kutaka kulala mbele na kujitoa .,Pete lao halivai tena angalia pete lake kila akiongea alikuwa akiinyanyua kulenga watu usoni

View attachment 1592731
Eti mafree mason? Nigga are you nuts?
Realy ww ni kutoa aababu ya kitoto kama hii ya kusadikika?
Grow up man.
Halaf hata hivyo una ushahidi
 
Ni kwa ZWAZWA tu ndiye anaweza kudhani lissu ni msaliti wa mali ya Taifa while the vice versa is the truth. He stole 2.7 trillions from treasury coffers, he was involved in so many other corruption activities.
Umesahau la kumpa nyumba awala na kuuzia nyunba nduguze
 
Mgombea wa tume angejipitisha bila kupingwa, waunga juhudi wote wamepewa nafasi ya kupita bila kupingwa, uhuni wa uliofanyika uchaguzi za serikali za mitaa ungejirudia
 
Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Amsterdam anafyatisha mkia madikteta kamili sembuse uchwara.Muulize putin,pia wale waliokuwa wakiuwa waislamu wa Roinga kule Mynmar wanaijuia cv yake.Ngoja amalize kumshughulikia kwanza yule wa Cameroon Paul biya kabla ya kuondoka na mtu wake
 
Mimi na wengine wengi tulishaamua kwamba hatutakwenda vituoni kupiga kura. Nikifikiria zile chaguzi ndogo za marudio na ule uchaguzi wa serekali za mitaa, ukisikia ba kauli za hovyo toka kwa kiba Ndugai na kina kibajaji na Msukuma, unakatishwa tamaa kwa kiwango kikubwa kabisa.
Ila sasa, tumeamua kwenda kupiga kura, tutapiga kura na kuzilinda. Tunahitaji viongozi jasiri wa aina ya lissu. Nakuhakikishieni huku nilipo kura za lissu ni za kumwaga. Shida nayoiona ni kule tume. Watamtangaza?
NEC hawana jinsi zaidi ya kutenda haki.
 
Bossi wa wasiojulikana amekamatika haswaa Hadi kaomba poo aende garage
 
Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Mzee wala kushingekuwa na uchaguzi. Wangeendelea tu na ushetani wao.
 
Ilikuwa lazima arudi. Ndio maana risasi 16 zilizoingia mwilini (na 16 zilizopiga gari tu) hazikumuua. Mungu ana malengo yake.
Hakika. Mungu ni mwema.

Mfalme Daudi alikuwa kijama mdogo kabisa akiweza kupambana na Simba na Chui kwa milono yake ma kuwaua. Ktk akili ya kawaida kila mtu alikuwa anona maajabu.
 
Back
Top Bottom