Hebu piga picha kama Tundu Lissu asingerudi

Watumishi wote kura ni kwa lissu.Mmeteseka sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu.
 
Walikubali arudi kwa hiari yao? Acha upuuzi Mkuu, kurudi kwa Lissu ni SHINIKIZO kutoka huko duniani.
Mpuuzi ni yule anaedhani mawazo yake ni sawa na maneno ya vitabu vitakatifu wakati sote ni binaadam, jifunze nidhamu .....iko hivi wasingemtaka arudi asingerudi hata wao wanaujua umuhimu wa kumuacha arudi kwenye uchaguzi huu Mbowe hana mambo tena...hizi ni Fikra zangu sikuvuti.
 
Ni kweli, kama walivyo NEC CCM. Watanzania hutuko tayari kuchaguliwa mgomea kwa kigezo za kujenga fly over, huu ni upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom