Hebu piga picha kama Tundu Lissu asingerudi

Armstadam anawazuga tu,aje na yeye huku kwenye vumbi kama kweli awazugi,yeye kajibanza tweeter tu kazi kuandika.
 
Bajeti ya uchaguzi wa mwaka huu Magufuli angeenda kujengea uwanja wa mpira na hoteli yake ya kitalii Chato.
 
Hapo kuna mtu kaitwa: "PUSSCAT" Mhhh! Jamaa ninamkubali, anajiamini.
 
Yani alivyo na jeur kampain zisingepigwa, wasanii wangelia njaaa maana bashiru alikuwa kashasema hatatumia wasanii. Wale buku 7 nao wangepata pigo kubwa maana posho zingekata.

Haya makundi yote yashukuru tundulisu kurudi
 
Si kurudi Tanzania tu, mi nafikiri mbali zaidi na kusema je kama Lissu angekufa baada ya lile shambulio..

Yaani hali ingekuwa ni mbaya ziadi ya kile kipindi cha ukoloni.

Ila inasikitisha sana..nchi nzima tunamtegemea mwanaume mmoja tu!
 
Bado najiuliza aliyempiga Risasi Lissu ni nani na alikuwa na lengo gani?

Alikusudia kumuua Lissu kwa sababu gani?
'Conspiracy theory' zinasema aliyempiga risasi Lissu ni genge la kihalifu lililotumwa na John Magufuli likiwa organized na Paul Makonda !

Nobody knows!!
 
Tanzania ingekuwa kama ile Zaire ya Mobutu
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea Lissu,hata kama ni peke yake lakini naamini atakuwa chachu ya watu kujiamini na kudai haki
 
Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Kufufuliwa kwa Lissu na Mungu haikuwa kazi ya bure , Mungu alikusudia jambo kuu
 
Armstadam anawazuga tu,aje na yeye huku kwenye vumbi kama kweli awazugi,yeye kajibanza tweeter tu kazi kuandika.
Huko kuzuga kwakwe na tweets zake ndio sababu ya ka-utulivu tunakokashuhudia. Nakwambia Polepole angeisha ua mtu kwa miundombinu ya stg, flyover, stigler power, uchumi wa Kati na hiyo Corona!!!
 
Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Tupige na Flash au Kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…