Bila Lissu waliobaki wote ni mawakala wa Chama Tawala, hakuna ambaye angeguswa kama ilivyo sasa. Unaona wanaguswa ? Labda ACT - Wazalendo kidogooo.Bila Lissu manyanyaso kwa wapinzani yangekuwa ya kutisha zaidi ya tunavyoshuhudia kwa sasa.
Kampeni pia zingekuwa zimepoa Sana.
Shida ya Tanzania, akili maiti ni nyingi mno...hata akina kalamaganda, pamoja na upolofesa wake, ni akili maiti tu.Najaribu kufikiria kwa yale tuliyoyapitia miaka hii mitano kuna mtu mwenye akili timamu kweli anaweza kumpigia kura Magufuli ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mpaka wana ccm wenyewe hawakuwa na amani na Magufuli kiasi cha kuishi kwa tabu sana kwenye shughuli zao za kila siku.Shida ya Tanzania, akili maiti ni nyingi mno...hata akina kalamaganda, pamoja na upolofesa wake, ni akili maiti tu.
Kwa akili yako, amesaidia nini? Ana nini kutusaidia watanzania?Si kurudi Tanzania tu, mi nafikiri mbali zaidi na kusema je kama Lissu angekufa baada ya lile shambulio..
Yaani hali ingekuwa ni mbaya ziadi ya kile kipindi cha ukoloni.
ccmchanelNapiga picha.. nawona hasingepata pesa za beberuz.. na picha zaidi anafurahia pesa.. zaidi ya cheo.. anachojuwa hatakipata..
Hata mimi huwa ninajiuliza sana swali hilo.Bado najiuliza aliyempiga Risasi Lissu ni nani na alikuwa na lengo gani?
Alikusudia kumuua Lissu kwa sababu gani?
CCM wametuingiza kwenye 18 🤔[emoji3577][emoji3577][emoji3577] View attachment 1592734
Ndondocha za mtaa wa LumumbaHivi kuna binadamu mwenye akili timamu atampigia kura Magufuli ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ma free mason ndio walimtandika risasi baada ya kuwadhulumu na kutaka kulala mbele na kujitoa .,Pete lao halivai tena angalia pete lake kila akiongea alikuwa akiinyanyua kulenga watu usoni
View attachment 1592731
Hahaaa msiyempenda kaja kuoa kwenu mtabinuka mbonaHakuna Lisu cha mtoto ona Nyalandu alivyokuwa kajiandaa na hakuna mtu alimsumbua
Dikteta jiwe must go, no way outNapiga picha.. nawona hasingepata pesa za beberuz.. na picha zaidi anafurahia pesa.. zaidi ya cheo.. anachojuwa hatakipata..
Walikubali arudi kwa hiari yao? Acha upuuzi Mkuu, kurudi kwa Lissu ni SHINIKIZO kutoka huko duniani.Na ndio maana wakamuacha arudi wangeweza kumzia kutokurudi ila walijua uchaguzi ungepoa mno.
Ukweli mchungu wasomi wetu wengi ni waoga na wanafki . Wengi ni kujikomba kwa ajili ya vyeo na madaraka.Shida ya Tanzania, akili maiti ni nyingi mno...hata akina kalamaganda, pamoja na upolofesa wake, ni akili maiti tu.
Bado najiuliza aliyempiga Risasi Lissu ni nani na alikuwa na lengo gani?
Alikusudia kumuua Lissu kwa sababu gani?