Hebu sikieni ninavyowaza!!

Hebu sikieni ninavyowaza!!

Asante wifi....ngoja niende saloon kujiweka sawa....nipendeze ning'ae kama sijawahi kuwa heart broken vile.....(sweet 10).......nasubiri hiyo PM wifi yangu...barikiwa sana!

Sorry michelle ni salon for hair dressing, saloon for other thing like saloon cars n.k
 
Elodii tunaruhusiwa kuifanya chat rum? si sridi imekua klozdi?[/QUO

tehe teheeee tii!!!
Milango imefunguliwaa lakini, leteni application, nafasi ni chache wahini, fasta fasta!!!
 
Sikiliza LD, ninachoelewa mimi ni kuwa ulikuwa mgeni wa mapenzi (First love), kilichotokea si makosa ila ni mafunzo tu.
Kwanza mshukuru Muumba wako kwa yaliyotokea. Pili, acha kujifunga namna hiyo, si lazima uwe na mpenzi wa kushea naye mapenzi kwa sasa. Ila jiachie, kuwa na marafiki wa kike na wa kiume, badilishana mawazo, fanyia kazi na kuchuja ushauri unaopewa. Lakini usijinyime raha hata kidogo, mwenzio hata habari na wewe hana, wewe unaugulia. Songa mbele, usipige makitaim, jipe moyo, ile ilikuwa wrong choice.
Lakini pia usijihakikishie mambo mengine kihivyo miaka hii, ndoa ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu ikitokea shukuru.
Ukimpata mwingine, kaa naye kimtindomtindo, habari ya full kumwamini ipotezee kila mtu ana moyo wake.
Cheaters nowadays wako kibaooo... Fuatilia posts za Mkuu Allien kuhusiana na cheaters, utawatambua asubuhi na mapema. Halafu ni wajanja kama nini, ukiwatilia shaka tu kidogo, haooooooooooooooooooooo........ wanakula mtaa!
Kubwa zaidi mtangulize muumba wako kwa kila jambo, utafanikiwa.

Ameeeeeeni kubwa mtumishi.
Bwana awe upande wako, kwa kila jambo!!!
 
Duuuh kwa ushauri wa buke sina budi kuhamia jukwaa la michezo nika freshmind kdg
 
Mpendwa LD maisha ni mafupi sana mdogo wangu jipe raha wakati bado una meno ya kula nyama, mapenzi hayatabiriki unaweza pata mwingine ukaanza kujuta kwa nini ulijipa hiyo break muda wote huo. nafikiri umepumzika vya kutosha rudi sokoni mpendwa uanze kudate tena
 
Mpendwa LD maisha ni mafupi sana mdogo wangu jipe raha wakati bado una meno ya kula nyama, mapenzi hayatabiriki unaweza pata mwingine ukaanza kujuta kwa nini ulijipa hiyo break muda wote huo. nafikiri umepumzika vya kutosha rudi sokoni mpendwa uanze kudate tena

Asante Dada angu.
Yani ninafuraha, na hasira zote zimeishia hapa kwenye keybod leo.
Nitakuja kuwaambia, matokeo tuuuu!!
 
Kwa hiyo LD umeruhusu kina The Finest waanze kuleta applications au bado waandaa ToRs?
 
Kwa hiyo LD umeruhusu kina The Finest waanze kuleta applications au bado waandaa ToRs?

Nimewaruhusu dada angu, lakini wajue tu wa nadeal na broken heart!!
Kwa hiyo, wasijifanye wajanja sana!!!
 
Gari pesa sina ndio maana nakuuliza mchumba wee wa gari au nyumba ama pesa kwa uchumba.........
 
Back
Top Bottom