hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Ahaaaa ahaaaaa kuna ile GIN and JUICE ya Dr Dre na Snoop
sasa zichanganye halafu kunywa.....l.o.l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaa ahaaaaa kuna ile GIN and JUICE ya Dr Dre na Snoop
Asante wifi....ngoja niende saloon kujiweka sawa....nipendeze ning'ae kama sijawahi kuwa heart broken vile.....(sweet 10).......nasubiri hiyo PM wifi yangu...barikiwa sana!
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:hujaelewa?....leo utaniaga...wise lady kanipa kaka yake tunaenda dinner jioni!!!!
Maisha matamu jamani.....hela ni sabuni ya roho yangu....
Sasa wewe unamuangalia tu unajua kuwa hiyo haitoshi....at least do something l.o.lHalafu we mkwe nakuangalia ujue toka wiki imeanza
elodii tunaruhusiwa kuifanya chat rum? Si sridi imekua klozdi?[/quo
tehe teheeee tii!!!
Milango imefunguliwaa lakini, leteni application, nafasi ni chache wahini, fasta fasta!!!
right here waiting...
Shiiiiiiiiiiiiiii usiseme kwa sauti bana..!!Halafu we mkwe nakuangalia ujue toka wiki imeanza
Sikiliza LD, ninachoelewa mimi ni kuwa ulikuwa mgeni wa mapenzi (First love), kilichotokea si makosa ila ni mafunzo tu.
Kwanza mshukuru Muumba wako kwa yaliyotokea. Pili, acha kujifunga namna hiyo, si lazima uwe na mpenzi wa kushea naye mapenzi kwa sasa. Ila jiachie, kuwa na marafiki wa kike na wa kiume, badilishana mawazo, fanyia kazi na kuchuja ushauri unaopewa. Lakini usijinyime raha hata kidogo, mwenzio hata habari na wewe hana, wewe unaugulia. Songa mbele, usipige makitaim, jipe moyo, ile ilikuwa wrong choice.
Lakini pia usijihakikishie mambo mengine kihivyo miaka hii, ndoa ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu ikitokea shukuru.
Ukimpata mwingine, kaa naye kimtindomtindo, habari ya full kumwamini ipotezee kila mtu ana moyo wake.
Cheaters nowadays wako kibaooo... Fuatilia posts za Mkuu Allien kuhusiana na cheaters, utawatambua asubuhi na mapema. Halafu ni wajanja kama nini, ukiwatilia shaka tu kidogo, haooooooooooooooooooooo........ wanakula mtaa!
Kubwa zaidi mtangulize muumba wako kwa kila jambo, utafanikiwa.
Mpendwa LD maisha ni mafupi sana mdogo wangu jipe raha wakati bado una meno ya kula nyama, mapenzi hayatabiriki unaweza pata mwingine ukaanza kujuta kwa nini ulijipa hiyo break muda wote huo. nafikiri umepumzika vya kutosha rudi sokoni mpendwa uanze kudate tena
Ameeeeeeni kubwa mtumishi.
Bwana awe upande wako, kwa kila jambo!!!
Nadhani PM yake ishakua over loaded saa hizi..lolKwa hiyo LD umeruhusu kina The Finest waanze kuleta applications au bado waandaa ToRs?
Nimewaruhusu dada angu, lakini wajue tu wa nadeal na broken heart!!
Kwa hiyo, wasijifanye wajanja sana!!!