Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
NAKAZIA 📌🔨Tanzania mambo inayoweza kuyafanya kwa ufanisi na yakakamilika kwa Asilimia 💯 ni
1.Ngono.
2.Ulevi
3.Uongo
4.Chuki
5.Wizi
6.Ufisadi
Haya mambo mtanzania atafanya kwa ukamilifu kabisa pasipo shaka lakini si mambo ya maendeleo ya Taifa
Makamba kaacha legacy ya kununua software India kwa billion sabini1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Alaumiwe nani hapo makamba au mamaShida ya Tanzania tunakosa viongozi wenye vision, wengi wanawaza matumbo yao mama alimpa makamba Trillion 4 na alikuwa anataka 10. Hakuna alichofanya,
Ataleta udini na upwani...Tunduma watu wanao pata umeme wa Zesco hawajawahi kukatiwa umeme kwa miaka mingi. Hawajuikitu kinaitwa Ratiba ya Upungufu wala ukarabati wa mitambo.
Siasa ya kweli ni hii wanayoifanya Zambia
FaizaFoxy njoo tuharibie uzi wetu
Tofauti ya Zambia na Tanzania ni kwamba Zambia walishaachana na chama cha kimapinduzi, wakapita katika development tofauti na tz tumeng'ang'ania chama chenye sera za karne ya 19, ambazo kwa zaidi ya nusu karne zimeprove failure.1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Duh,jamaa wababe hadi kwenye umemeCongo hawana mita!! Umeme ukitoka kwenye nguzo unaingia ndani moja kwa moja
Unaizungumzia Zesco hiyo iliochukuliwa na Wachina au Zesco nyingine?1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Unapofanya uongo unakuwa unataka kumfurahisha nani na Ili iweje?1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

Unaposena sena Serikali Haina Mpango wowote wa vyanzo vinginevyo una maanisha nini?1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Kujua wewe na hao unaowatetea mna upungufu wa akili ni kuendelea kupanga kuwa na vyanzo vya umeme unaotokana na maji, wakati tatizo lililopo sasa la umeme linatokana na mabadiliko ya tabia nchi UHABA WA MVUA sasa unaendeleaje kuweka vyanzo vingine kutoka kwenye tatizo hilo hilo??? makaa ya mawe yaliyopo yamewekwa hapa yafanye nini?? upepo...nkUnapofanya uongo unakuwa unataka kumfurahisha nani na Ili iweje?
Ukiacha miradi ya size ya kati Kuna msululu wa miradi mikubwa ya umeme ambayo itaanza utekelezwaji wake baada ya bwawa kukamilika.
Mfano miradi ya maji mto Ruhudji,
Unaposena sena Serikali Haina Mpango wowote wa vyanzo vinginevyo una maanisha nini?
Yaani Kwa nini unadanganya na Ili iwaje? Kwamba hujui baada ya bwawa kukamilika pesa zitaelwkezwa kwenye kujenga vyanzo vingine vya umeme ambavyo vimeanishwa kama ifuatavyo?
Mto Ruhudji mw 358
Mto Rumakali mw 222
Mto Vikonge mw 321
Mto malagarasi mw 49.5
Mto Kakono mw 87.8
Gas Asilimia Mtwara mw 300
Gas Asilimia Kinyerezi III mw 450
Gas Asilimia Mkuranga& Tegeta 150 mw
Umeme jua 150mw Shinyanga
Hapo sijataja miradi ya joto Ardhi yenye mw 200 .Acheni upotoshaji usio na msingi.
Wewe utakuwa ni mbumbumbu,hoja Yako uliyojenga hapo umetolea mfano Zesco ambao 80% ni vyanzo vya maji Sasa sijui unaongea nini.Kujua wewe na hao unaowatetea mna upungufu wa akili ni kuendelea kupanga kuwa na vyanzo vya umeme unaotokana na maji, wakati tatizo lililopo sasa la umeme linatokana na mabadiliko ya tabia nchi UHABA WA MVUA sasa unaendeleaje kuweka vyanzo vingine kutoka kwenye tatizo hilo hilo??? makaa ya mawe yaliyopo yamewekwa hapa yafanye nini?? upepo...nk
Kwanza ni ni ujinga wetu kuacha makaa ya mawe kuzalisha umeme. Nchi za magharibi wanavunja mioyo nchi changa wasiendeleze mkaa kuzalisha umeme eti kuhifadhi mazingira. Wenyewe wametumia makaa kuzalisha umeme kwa miaka mingi bila kujali mazingira na hadi sasa uchina hawamsikilizi mtu wanazalisha umeme kiasi kikubwa kwa mkaa.1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Full kiyoyozi hata kama gari limepaki na yeye yuko ofisini.viongozi wengine, huku DED/DAS/DC ni mwendo wa V8 GR Sport
Shida ya Tanzania tunakosa viongozi wenye vision, wengi wanawaza matumbo yao mama alimpa makamba Trillion 4 na alikuwa anataka 10. Hakuna alichofanya,
Wapo ajili ya starehe tupu na siyo kutumikia jamiiiFull kiyoyozi hata kama gari limepaki na yeye yuko ofisini.