Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

Kalemani je!?kaendeleza mradi upi?
 

Kam mipango tunayo tangu 1961 ..umeme bado ni changamoto ni dhahiri Kuna kundi linatakiwa kutatua tatizo hili limeshindwa kazi.Mbaya zaidi sekta hii imehusisha ufisadi wa kutisha Kwa kipindi Cha miaka 30 iliyopita ...Ilianza kwa Mkapa wale Makaburu Net Group Solution,ikaja Richmond,mara Downs ,mara Symbion ,Escrow namadudu mengine kibao ...bado tu huoni kuwa Kuna tatizo!
 
Wapi nimeandika ZESCO?? hiyo mito 5 kati ya vyanzo hivyo ulivyotaja inatiririsha mkojo wako? upumbavu niliokuambia unao ni kuacha kutumia vyanzo vingine vilivyopo kwa wingi kama coal, jua na upepo na kurudia kutaka kutumia maji wakati tatizo lililopo sasa linatokana na uwepo wa vyanzo vingi vinavyotumia maji..
 
Acha uongo wako wewe ndugu. Hizo sio bei za umeme Tz
 
Mm narudia tena kulalamika kua. Nchi yetu haina dira.wanasiasa wanafanya wanavyotaka, kila Rais anaeshika madalaka anafanya anavyotaka na timu yake.yaani yuko tayali avuruge utalatibu ote wa mtangulizi ili ajinufaishe yeye na kundi lake jipya.
Kipindi kikwete anaingia pamoja kulikua na dosari lakini hakuvuruga mifumo ya mkapa, akaiendeleza ile na yeye akaongezea alipoweza.ila wimbi jipya linaingia na kutukana waliotangulia. ukishafumua mfumo wa mwanzo kufuma mfumo mpya utachukua miaka mingi. Hiki ndicho kinachotuumiza watanzania.
Kwahiyo hata hivyo vyanzo vipya ni hadisi tu.itachukua miaka 50 mbele.na hiyo mito uliotaja itakua ishakauka.
Watu wanasiasa wanakwamisha makusudi baadhi ya miladi ili wajinufaishe wao na familia zao.
 
Inawezekana Zambia iko sayari ya Pluto ambako hakuna ukame kama wasemavyo chawa hawa CM 1774858 Lucas mwashambwa na wenzao kibao.

Hakuna cha ukame wala baba yake ukame!!

Shida ya nchi hii ni ukosefu wa siasa safi na uongozi bora na hivyo kuzaliwa kwa matatizo mengine kama Rushwa, ufisadi, nepotism, Ubinafsi na viongozi kutumia ofisi za umma kujinufausha wao na rafiki na familia zao.

Kubwa na baya zaidi ni kukosekana kwa mipango dhabiti ya namna njema ya kutumia rasrimali za asili na rasrimali fedha za nchi kwa ajili ya manufaa ya watu wote
 
Nadhani Tanzania kuna tamaa ya kufikiria kupata majawabu ya haraka kwenye shida ya muda mrefu.Viongozi (nadhani) wanahisi wakiwekeza kwenye projects lets says miaka mitano mbele wanahisi watachelewa. Matokeo yake vya muda mchache hatuvipati na hivyo vya mbali ni ndoto pia.
 
Unafahamu kuwa ZESCO ni kampuni ya kichini inayofanya Biashara ya Umeme ZAMBIA?
 
Mkuu JET SALLI kinachokosekana hapo ni Uzalendo au ufahamu (Elimu ndogo)?
 
Shida ni nyoka wa kijani anatuvuta kwenye shimo la umaskini
 
hivi wewe hali ya tanesco unaijua au unajambajamba tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uongo,weka uhalisia wa bei mimi nimeenda zambia umeme ni ghali na watu wanazima umeme kwa nyakati ili kuzuia gharama isiwe kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikupe nyingine hii ndogo kabisa,,,,,ukiwa tunduma kusaga debe la unga ni tsh 1000 lakini ukienda nakonde zambia debe ni 500,,,,tafsri yake nikwamba wametupiga mara 2 ya gharama,,,,tukiwaambia hii nchi watu wapishe ziingie fikira mpya mnatuletea sera za kisenge eti wapinzani wataleta Vita,,,,,Malawi anaongoza mpinzani,,zambia,,Kenya,, South Africa,,,,nk.......mbona hatuoni Vita????amkeni manyumbu nyinyi tunachelewa
 

Mungu Anisamehe ila natamani wote waage dunia ili tuanze upya kama Taifa, kuanzia kule Juu na wote Top layer.
Tunapitia magumu kwa sababu yao.
Kila siku kama Taifa majuto yanaongezeka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…