Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikua pesa mingi kipindi hiyo...kilo ya Nyama ilikuwa 2500 huku niliko .....leo hii kilo 9000!....imagine?! 3+times today rate!...Haikua haba kwa miaka hiyo chief...😊
Baba yako kwahiyo alikuwa anapika kwa wahindi mshahara 50k?Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Kama kumbukumbu yangu ipo sawa, miaka hiyo nilikua nanunua mfuko wa cement kwa shilingi 4800Ilikua pesa mingi kipindi hiyo...kilo ya Nyama ilikuwa 2500 huku niliko .....leo hii kilo 9000!....imagine?! 3+times today rate!...
Na bado watu wanalipwa hii hela KWA sasa na maisha yanaendelea!
Shikamoo kaka!✋Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000,