Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Kwanza wifi yako alikua anakuumizia juzi kwamba umetoweka majnun tangu ulipo jeruhiwa...😊
Mie nikamwambia kwamba kwasasa moyo wako ulisha sawajika na umejaa amani tele..☺
Amina amina kubwaaa kakangu kipenzi asanteni kwa kunikumbuka Mbarikiwe sana!... Msalimie sana wifi yangu na nimewamiss kupita Maelezo.. mwambie asiwe na wasiwasi kabisa God has been so good to me saivi nipo akili imetulia nipi njema sana na ninafuraha isio kifani!
 
.......huu uzi ulikuwa ni mzuri kwa kujifanyia tathmini ulipotoka hadi sasa, lakini cha ajabu watu wataleta masihara, utani na ujinga mwingi tu........
Upo sahihi mkuu, na hapa ilifaa sana tulio kosea tutiririke ili wanao fuata wajifunze kupitia sisi.
Nitaweka mifano yangu mimi binafsi jinsi nikivyo yatinyanga ili vijana wasije rudia makosa
 
Mwaka 2008, Ofisi ilikuwa Posta Mpya jengo la Haidery Plaza Salary TZS.500k nje ya kamisheni kutegemeana na ulichoingiza kuna watu upepo ukienda vizuri wanaondoka na 2M. ILE KAMPUNI ILISHAFUNGA SHUGHUL ZAKE BONGO ilinitoaga sana.
Mwaka 2010 nikazama Serikalini mshahara 440,000. TAKE HOME 360,000🤣🤣🤣🤣 hapo hakuna posho ya kila mwezi, EDA inatoka mara moja kwa miezi 3, unapata 120,000.
 
Kazi yangu ni hii.
mikopo.. laki 2, riba elfu 10 kila siku🙌🙌

ila nakopesha kwa wiki riba 20%
Screenshot_20230718-112753.png
 
Dadadeki haya maisha ni nyoko nilikuwa napata mshahara ambao sikuwa na impact Kwa masela , nilianza take home 250 siwezi kwenda sebene ngwasuma twice per month, nilikuwa siwezi kumiliki demu mkali, dharau za masela, kuajiriwa ni utumwa kudadeki sasa hivi wale mbwa nawakimbiza Kila wakinicheki niko bize. Acha tule maisha tumepitia magumu mengi kusoma nae wala ujirani hakufanyi awe rafiki wa maisha Yako yote.
 
Back
Top Bottom