Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Tgs.c

Per diem nimekuta 60k now tunakula 130k/150k
Fafanua tena
Screenshot_20230718-115325.png

✍️
 
Yeah watumish serikali kuu wakiamua kutoboa ni rahisi maana taasisi haiwez kukubali kukaa miez miwili hakuna activities so lazima ulambe km million 2 ambazo ni 4 times ya mshahara..sasa je kufeli mara nyingi starehe site,wilayani n.k
Sawa mkuu nimekuuliza usharudi Dubai?
✍️
 
Back
Top Bottom