Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hapa kwenye uhu uzi uongo mwingi sna ngoja tuone mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah watumish serikali kuu wakiamua kutoboa ni rahisi maana taasisi haiwez kukubali kukaa miez miwili hakuna activities so lazima ulambe km million 2 ambazo ni 4 times ya mshahara..sasa je kufeli mara nyingi starehe site,wilayani n.kMpo vzuri
Fafanua tenaTgs.c
Per diem nimekuta 60k now tunakula 130k/150k
Sawa mkuu nimekuuliza usharudi Dubai?Yeah watumish serikali kuu wakiamua kutoboa ni rahisi maana taasisi haiwez kukubali kukaa miez miwili hakuna activities so lazima ulambe km million 2 ambazo ni 4 times ya mshahara..sasa je kufeli mara nyingi starehe site,wilayani n.k
We umenifafanisha nini dubai ya nyoko??me nchi ya nje niliyoenda maishani ni Mozambique na Kenya basi..tena sio capital citiesSawa mkuu nimekuuliza usharudi Dubai?
[emoji3578]
Angalia vzr huenda ni post ya ndege john tuko wawiliSawa mkuu nimekuuliza usharudi Dubai?
[emoji3578]
Kua bodyguard ulipitia mafunzo yapi?
Mzee kijana uko Unawala tu watoto wa Beverly hills California mkuu 😅🙌🏾Umri umeenda pia
Namshukuru Mungu, Asante
I wishMzee kijana uko Unawala tu watoto wa Beverly hills California mkuu [emoji28][emoji1487]
Niko kwenye nchi ya amani huko sikuwezi babaMzee kijana uko Unawala tu watoto wa Beverly hills California mkuu [emoji28][emoji1487]
Ila wamama single wa kumwaga. Hao mabinti wa kitasha watakuua bure... komaa na mimama ya Kispanyola na kimeksikana ipo ya kumwaga 😅🙌🏾👍🏾I wish
Ushageuka Bongo TZ?! Au nimefananisha ID's?! 🤔Niko kwenye nchi ya amani huko sikuwezi baba
Mpwayungu Village akiona hii atafurahi sanaMzee wangu alikua mwalimu, na yeye ndie alie sababisha nikaichukia sana ile kada aiseeee
Ukienda vibaya umeeingia chakqDaaah, kipimo cha jf ni kigumu mno 😅😅...tuendelee tujue panapovuja ...
LabdaUshageuka Bongo TZ?! Au nimefananisha ID's?! [emoji848]