Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ila wakati huo nilikuwa bado mdogo ndio naanza kaziHizo zilikuwa nyingi sana Mkuu, maana kipindi hicho ardhi hekta moja ilipatikana kwa shs 10,000 ambapo kwa Sasa sehemu hizo zinauzwa kwa m80 - m 200