Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Mkuu kama nilivyosema hapo juu nilitoka huko na kuhajiri nchi nyingine na hela ya huko iko juu sana kwa thamani yaani $3 ndio yao 1

The most valuable currency in the world hiyo mkuu na mpaka sasa

Wala sina elimu kihivyo bali ndio mshahara nilioanzia
Na uzuri ukioa mshahara unaongezeka na ukipata mtoto mshahara unaongezeka
Ukiongeza mke unacheka tu
Kuna jamaa zangu walikuwa na wake 3 watoto dozens

Ningekuwa petroleum engineer kwa sasa ningewekeza kwenye Gas huko kwa mishahara ilivyokuwa minono
Bila ya Shaka ni Arab countries
 
Ila wakati huo nilikuwa bado mdogo ndio naanza kazi
Mimi mwenyewe miaka hiyo nilikuwa mdogo ila tayari nilishapevukq nilikuwa najua kinachondelea ,enzi hizo mji wa Dar iliishia Ubungo ,kimara- mbezi kulikuwa vichaka na vipori pori vingi.Mbezi beach sehemu kubwa ilikuwa vichaka vya kutisha ,wazee wa enzi hizo walikuwa wanawahi viwanja mikocheni na msasani
 
Uongo, Mimi nilianza Kazi 1981 kwa mshahara wa Tshs 650/= hakuna tofauti na mwaka 1980
Unaona akili yako ilivyokuwa na makamasi
Unaniita muongo kwa lipi
Wewe kazi yako na yangu ni sawa? Je nchi niliyokuwa naishi unaijua au umekurupuka bila kusoma majibu yangu yote kwa wadau?

Unajua maana ya strongest currency in the world wewe au hata kimombo kimekupiga chenga

Katafute hela yenye nguvu duniani ndio ujue miaka hiyo nilikuwa huko
Na uwe na adabu maana kuna wazee wengine hamna break

Utasaidiwa kama hujui
 
Back
Top Bottom