Fungua pm nitumie liteni HiloππMaboss wengi humu Wanatafuta ajira
Ukimwinua mtu hata na liten akaja kukumention jukwaani
Tsunami unaikuta PM
π π π π
Utajua kwanini hata ID za kiume tumefunga PM
Shikamoo babu πKwanini?
Sijawahi kudanganya
Mwaka 78 niliondoka Tz na kwenda kutafuta maisha
Tuna utofauti sana na nyie
Sisi wengine raha tumeziona tangu udogo
Wala sijisifii ila leo niko London mwaka wa 33
Why should I lie [emoji848]
Huo mshahara ulikuwa ni mashariki ya kati kwenye mafuta na sio Bongo mjukuu wangu
Mimi nakumbuka tenaulituma full ukaziba usoThank you very much [emoji4]
Bora umenikumbuka wewe
Yeye labda hapendi wembamba [emoji1] [emoji1787]
Just kidding [emoji23]
MarahabaShikamoo babu [emoji41]
hapo sawa mzee,Usijali mkuu hata wewe unaweza kufika ulipoandikiwa
Pambana sana na uwe na malengo utastaafu kwa raha sana
Kama una watoto wekeza kwao sana hata ukiwawekea hela bank kila mwezi tupia choxhote wakifika 18 wanaweza kujilipia Uni kwa hela uliziwawekea
Unajiwekea akiba yao baadae wasihangaike
Mimi kila mwaka naenda kutalii nchi mbili
Hata iwe siku 5 I don't mind
Nasubiri kupanda meli kubwa duniani inayotarajiwa kuanza safari mwakami ni kubwa mara 5 kuliko Titanic
Hapo vipi
Uko vizuri kwa kumbukumbuMimi nakumbuka tenaulituma full ukaziba uso
Inawezekana pia65 kwangu babu kabisa mama yangu ana umri wa kua binti yake[emoji23]
ShukraniUko vizuri kwa kumbukumbu
Hivi umejiuliza huyo mtu atakuwa na umri gani?Naamini kwasasa utakua umefanya mengi makubwa mkuu, hongera sana..π
Magari ya kuosha hamna ngoja waje weekend ntakupgiaaFu
Fungua pm nitumie liteni Hiloππ
Mzee alishakuniambia...sikuhizi Bora mishahara inaeleweka...anasema anashangaa unapata mshahara unaweza kununua hata tv au redio...anasema mshahara wake...alikuwa akipata aBaba yako kwahiyo alikuwa anapika kwa wahindi mshahara 50k?
Twende ikarudiwe basi ππ€£Thank you very much [emoji4]
Bora umenikumbuka wewe
Yeye labda hapendi wembamba [emoji1] [emoji1787]
Just kidding [emoji23]
MwenzanguπππMbona kasahwahi kuselfika unashau sana ndugu
Huo ndio uhalisia wa miaka iyoMzee alishakuniambia...sikuhizi Bora mishahara inaeleweka...anasema anashangaa unapata mshahara unaweza kununua hata tv au redio...anasema mshahara wake...alikuwa akipata a
Hawezi hata kununua redio...
Sasa hvi si utakuw unachota tu mamilioni ya hadhina30-03-2006.....Nasaini Cont yangu ya kwanza kwa Hr...Gross salary ya 410,214... Nett pay ikigota 330k monthly .....
Marahaba hujambo mjukuu wangu; gunia la mchele lenye kilo mia, lina punje ngapi za mchele mjukuu wangu?shkamoo babuππΎ
babu ushalewa kamnywesoMarahaba hujambo mjukuu wangu; gunia la mchele lenye kilo mia, lina punje ngapi za mchele mjukuu wangu?
Hii ilikuwa noti ndefu sana kwa wakati huo. Mimi mwaka 2006 nilianza na mshahara wa Tsh 117,000/=. Nakumbuka nilienda kuitoa kwenye ATM za NMB Clocktower kisha nikapitia Jogoo House kujipongeza. Nafika Jogoo House na jamaa yangu tukakaa meza moja na jimama fulani lililoonekana lina mpunga mrefu.. yule mama akaongea kwa dharau "leo Jogoo House imejaa kutokana na hivi viwalimu vimepokea vimishahara vyao vinakuja kusumbua, angalia chini ya meza utaona mifuko ya plastic wamebeba vitu baada ya kupitia soko kuu"..Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.