Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

[emoji23][emoji23] sema umechangia ile thread kufungwa, ulikua unasepa na kijiji kila siku

Akuuu me sijawapa watu sate wala yutiai sasa nahusika vipi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu emu tuachane nayo hayo yashapita
 
Mimi ni ME ila naomba ku-join na nitajilipia mwenyewe.
 
Niletee 5M nijiajiriii,
[emoji120][emoji120]
Mkipewa pesa mnaenda kununua iPhone. Tena ww una usongo sana na hii iliyotoka iPhone 15

Tukuweke pale kwa lamomy dukani kwake kkoo upige winga ukiweza ndio upate mtaji
 
TUKANA UONE umeandaa na mabodigadi wa kutosha kukuepusha na shari?

Be careful, this is bongo daresalama ukipatwa na kipondoo hakuna wa kukuokoa zaidi ya kupigwa picha, [emoji16]
 
Unahangaika.....unafananiaha jf na Facebook???? Waache shughuli zao wamfuate mwehu mmoja ambae hajielewa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…