Khaaaaa!! ππππNimekwambia ni-pm ili nijue ratiba yako!
Kuni-pm maana yake utaweka na namba ya simu ili iwe rahisi kupigiwa simu,pia kufahamu tunaonana saa ngapi!
Mbona Imekuwa ngumu kunielewa?
Mkuu hawa watu wanafurahisha sana,tangu asubuhi nimewaambia wani-pm ili tuweze kupanga ratiba ya kila mmoja kwa ajili ya kuonana kesho,Huwezi amini wanakijomentisha hapa lakini hakuna hata mmoja aliyekja Pm,hapa ndipo ninapopata mashaka!.Usikubali bro mpaka aje huyo, shikilia hapo hapo. Asikutanie
Unikome sina pesa, hapa nasubiria za boss T uone ππππMm pesa sina, Ila lamomy anayo sema ndio mpaka maelezo ya kutosha
πππ
Asa si uniongeze n Mimi niwe kweny listππMueleze Huyo mumeo kila mwanamke atakayekuja,Atakula na kunywa chochote atakacho na kupewa Cash Tsh 200,0000/=
Unajua hii JF kuna watu wanadharau sana,nataka mtakaokuja muwasimulie mashosti zenu mashambenga wa humu JF!
Ni kina bro...niaje broooKwahiyo sisi ambao haujatutaja kwenye list unatuona ni wanaume? Aisee
πππ Mpe namba yako ili iwe rahisi kukutana nayeUsikubali bro mpaka aje huyo, shikilia hapo hapo. Asikutanie
Twende tukalewe me nabeba pochi ya cloeβ ili vingine nibebe shosti πππππππ
Hahaa bro Missy?πSisi
Ni kina bro...niaje brooo
Wewe ushaingia moja kwa moja nyoosha nguo za kesho kabla Tanesco hawajakata umeme πππAsa si uniongeze n Mimi niwe kweny listππ
Bff umeanza kuwaka πππSisi
Ni kina bro...niaje brooo
Nilichokinoti ni kwamba Mademu wa humu wengi ni wabovu,mmechoka,mmechakaa,nyuso zimewafubaa na miili yenu imetofautina kama miarobaini,hamna mivuto!.Khaaaaa!! ππππ
Hapo chacha jamani mwenye namba karibu aniazime basi
kwahiyo uliimbisha weeeπMkiwa rahisi thamani yenu inashuka ndio mwisho wake mnakuja kudhalilishwa.
Inapaswa hadi mje kuonana jasho limemtoka kweli
Wachukue notes kwa Lamomy
Huyo anazo namba zangu mwambie akutumie πππMkuu hawa watu wanafurahisha sana,tangu asubuhi nimewaambia wani-pm ili tuweze kupanga ratiba ya kila mmoja kwa ajili ya kuonana kesho,Huwezi amini wanakijomentisha hapa lakini hakuna hata mmoja aliyekja Pm,hapa ndipo ninapopata mashaka!.
Sielewi kwanini wanajishitukia!
Unanipigania shostππWewe ushaingia moja kwa moja nyoosha nguo za kesho kabla Tanesco hawajakata umeme πππ
Hao nilowatag kila mmoja kaingia mitini,no pm,no contacts!,na wewe ndo walewale mademu wa JF,Juu umetuna kama umepigwa jeki halafu chini ni Mswaki!Asa si uniongeze n Mimi niwe kweny listππ
Muhudumu sijui kachanganya na nini π€£π€£π€£π€£Bff umeanza kuwaka πππ
Mi sihitaji namba zako by the way,nilitaka mawasiliano yenu ili nitoe oda ya viti pamoja na meza lakini nyote mmeingia mitini!Huyo anazo namba zangu mwambie akutumie πππ
πππππππππ khaaaaaaa!!Nilichokinoti ni kwamba Mademu wa humu wengi ni wabovu,mmechoka,mmechakaa,nyuso zimewafubaa na miili yenu imetofautina kama miarobaini,hamna mivuto!.
Haiwezekani nitoe offer halafu kila mmoja kaingia mitini!
Kila mmoja anabaki kujichekesha chekesha hapa kwa kutumia Emojis ili kujipa moyo!.
Sasa kama mtaikosa offer kutoka kwa mtu makini kama mimi mtaipata wapi? Au mlishazoea kwenda kujazana Kitambaa cheupe kwa vibaka?
Shame on you!