antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwa nini usiruhusu ambao ni wanaume kwenye hilo kundi waje na bebi zao (wapenzi wao wa kike)?1. @Jemima Mrembo
2. @cocastic
3. @MZURI SANA
4. @Lamomy
5. @Demi
6. @To yeye
7. @Leejay49
8. @Carleen
9. @recho Jr
10. @Hornet
Vile vidagaa vipo? Niwekee nakuja fastaWali maharage upo,karibu.
Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!
Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.
Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!
Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.
MALENGO
Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.
Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.
1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet
Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!
ENEO
Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.
Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.
Nia na Lengo ni kunuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.
Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasinisikie vibaya).
Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!
Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.
Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.
Nawasilisha!
Mkuu pesa za kulitoa Dume Out zinazoka wapi?,Lengo ni kukutana na hao wenye hizo Id ili kujiridhisha kama kweli ni KE!.Kwa nini usiruhusu ambao ni wanaume kwenye hilo kundi waje na bebi zao (wapenzi wao wa kike)?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa nini usiruhusu ambao ni wanaume kwenye hilo kundi waje na bebi zao (wapenzi wao wa kike)?
Ahsante kwa kusema ukweli!Mi ni mwanaume bwana niacheni
Kwani hiyo list ina mwanaume? Mbn mnawafananisha warembo na MIDUME ?Kwa nini usiruhusu ambao ni wanaume kwenye hilo kundi waje na bebi zao (wapenzi wao wa kike)?
Dagaa nyasa??Vile vidagaa vipo? Niwekee nakuja fasta
Mkuu siyo lengo,Lengo ni kukutana na hao wenye hizo Id ili kujiridhisha kama kweli ni KE!.
Mpaka sasa naona kimya,yawezekana Mashaka yangu yakazidi kuongezeka!
ILYSM❤I love you
[emoji3] wengn wasagaji hpo kwa uliowatajaMimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!
Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.
Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!
Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.
MALENGO
Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.
Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.
1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet
Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!
ENEO
Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.
Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.
Nia na Lengo ni kunuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.
Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasinisikie vibaya).
Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!
Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.
Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.
Nawasilisha!
Mkuu usiwasemee wewe,kama wako huko Bujumbura hao niliowatag inapaswa waseme wao!Yaani mtu uko Dar tu unataka kila mtu ajue 😄
Na king'eng"e kidogo ila unashindwa kujua kuna wengine umewataja wapo bujumbura na Islamabad
Kweli kua uyaone
Mkuu wewe siumesema ni ME,sasa haya yote ya kuacha kazi zako yanatoka wapi?Yaani nikaache Kazi zangu na familia yangu Ili nikaprove kwa mtu kwamba mie ni mwanamke?!!!
Yeah ,hao haoDagaa nyasa??
demi nataka nikuone siku mojaUmetumia vigezo gani kujua kwamba wote tunaishi dar?
Nipo huku kantalamba nikipata ticket ya ndege kesho mapema nitakuwa hapo mkuu. Nasubiri utekelezaji.
Yawezekana mkuu ukawa dume au usipokuwa dume basi wewe ni Kikongwe,umechokaa,umechakaa na huna mvuto ndiyo maana mnakwepa mzee mzima TUKANA UONE nisiwaone!.Yaani nikaache Kazi zangu na familia yangu Ili nikaprove kwa mtu kwamba mie ni mwanamke?!!!
Msimu wao huu,wapo wa kumwaga,Yeah ,hao hao
Hahahahahaha,Rafiki umemaliza, ila wenzio wanaitaka ofa hiyo😂Yaani nikaache Kazi zangu na familia yangu Ili nikaprove kwa mtu kwamba mie ni mwanamke?!!!