Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!


Boss mbona unaanza kutuwekea hofu tuogopane wenyewe kwa wenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona analeta usiku[emoji23][emoji23][emoji23].

Nimeshindwa kuelewa jibu lake, nitofautishe nini sasa[emoji23][emoji706]?

Achana naye asikuchoshe, humu hakuna wa kuthibitisha jinsia ya mwenzie wote tunatumia fake id [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ambaye nina uhakika na jinsia yake Mello tu!! Wengine wajishikilie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wengine mawaziri hao wengine TEC wapo hapo. Wengine wabunge wa kike na wa kiume.

Wewe JF fata mada, usifate fulani.

Akili kubwa huongelea maendeleo.

Akili za kawaida huongelea matukio.

Akili mbovu huongelea watu.
Naunga mkono hoja πŸ‘πŸ‘ faiza foxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…