Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Ngoja niendelee kufikiria hapa, yani nataka nihakikishe 5m yote namaliza mimi😂😂Me naagiza Hennessy tu moet, kazi kwenu wanywa juice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niendelee kufikiria hapa, yani nataka nihakikishe 5m yote namaliza mimi😂😂Me naagiza Hennessy tu moet, kazi kwenu wanywa juice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wengi humu ni waongo na wanaogopa kuwa Exposed kwasababu kwenyd Avatar zao wanatumia picha za warembo mitandaoni,hivyo wanaona Aibu wakikutana kwa pamoja na wakifahamiana namna kila mmoja atakavyo mcheka mwenzie namna alivyo mbovu wa sura na umbo!.
Bibie au umemaindi ujapewa muhaliko NnKichaa huanza polepole na baada ya muda hukomaa! Hujachelewa wahi hospitalini!
Pesa ya Saloon haipo kwenye bajeti ya Kesho!
Kwani hujiamini?,wewe si pisi kali?Boss mbona unaanza kutuwekea hofu tuogopane wenyewe kwa wenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa yani 😂👊Ashindwe yeye boss na mipesa yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia PM unipe ratiba yako
We cheka tu ila msipotekea kesho nawaandikieni uzi hapa!
Wanaofanya hivyo ni matapeli wa mjini,walala hoi na wasiokuwa na uhakika wa maisha!Nimecheka kwa sauti jamani khaa😂😂😂😂😂😂.... ntakuja kumuandikia bonge la uzii kumchambaa😃🤣🤣🤣🙌
Ila nenda omba Mungu akupe raha uendako kale kanywe sherekea bestNimecheka kwa sauti jamani khaa😂😂😂😂😂😂.... ntakuja kumuandikia bonge la uzii kumchambaa😃🤣🤣🤣🙌
"Na aione kwenye nakala hii komenti yako,,si dhambi na wala si vibaya akalifanyia kazi pia!!"
Sioni hata mmoja pm mnipe ratiba zenu ila mmekalia kukomenti tu!Kabisa yani 😂👊
Naona analeta usiku[emoji23][emoji23][emoji23].
Nimeshindwa kuelewa jibu lake, nitofautishe nini sasa[emoji23][emoji706]?
dahAchana naye asikuchoshe, humu hakuna wa kuthibitisha jinsia ya mwenzie wote tunatumia fake id [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ambaye nina uhakika na jinsia yake Mello tu!! Wengine wajishikilie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nenda omba Mungu akupe raha uendako kale kanywe sherekea best
View: https://youtu.be/9bIj_t3YChE?si=eE4TUnpaisdeuG9L dedication hiyo msweety
Hapo sawaWanaofanya hivyo ni matapeli wa mjini,walala hoi na wasiokuwa na uhakika wa maisha!
Naunga mkono hoja 👍👏 faiza foxyWengine mawaziri hao wengine TEC wapo hapo. Wengine wabunge wa kike na wa kiume.
Wewe JF fata mada, usifate fulani.
Akili kubwa huongelea maendeleo.
Akili za kawaida huongelea matukio.
Akili mbovu huongelea watu.