Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Na nyie mliotajwa hebu muondoleeni utata huyo mwenzenu. Mnaonekana ni wanawake kindakindaki, mpaka maandiko yenu yanashadidia kuwa nyie ni wanawake, kwa kuongeza mimi nyie ni wanawake warembo pisi kali. Nawaona mnavyogongeana mikono mkihimizana muwahi kwa huyo jamaa mkalewe, na mi ntakuwepo huko mlikoalikwa kukutana niwaone mkipigishwa bia na huyo jamaa ila mtanichanganya sitajua leejay, cocastic, demi na hao wengine ni yupi. Tuendeleeni kurefusha uzi huu wakuu wangu
 
Mkuu lengo la JF ni kufahamiana!

Kwani hapa JF inakuongezea Value gani?,sana sana unatumia bando kufuatilia mambo ya kijinga naya kipumbavu!.

lakini kuonana na watu ambao kila siku mnachati Jf itakuongezea kitu na hutobaki kama ulivyo!,Utapata Exposure na kukutana na watu wapya!.

Wewe sema huwezi kuja kwasababu

1.Dume
2.Umechoka
3.Umechakaa
4.Umedhohofika
5.Mbaya wa sura na Umbo

haya mambo ni hakika ndiyo yatafanya usitokee!.

Mwanamke mzuri na anayejiamini ataachaje mtoko wa kukutana na Marafiki wapya?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Back
Top Bottom