Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahahahaha,wakati huo wewe una watazama tuMkuu wengi humu ni waongo na wanaogopa kuwa Exposed kwasababu kwenyd Avatar zao wanatumia picha za warembo mitandaoni,hivyo wanaona Aibu wakikutana kwa pamoja na wakifahamiana namna kila mmoja atakavyo mcheka mwenzie namna alivyo mbovu wa sura na umbo!.