Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Dogo utateseka sana, nakuambia ukweli. Kuwa muwaziacha tu bro,
hebu tuishie hapa kwa leo
Unamuogopa vipi unayempenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo utateseka sana, nakuambia ukweli. Kuwa muwaziacha tu bro,
hebu tuishie hapa kwa leo
Akikwambia namtaka lamomy utamsaidia kupiga debe? 😂😂😂Tatizo dogo muoga sana, leo nataka awe serious aseme ni yupi[emoji23][emoji23]
Mara ms eyes, mara joana, mara wizo, mara to yeye, Mara faiza, mara antonnia. Dogo haeleweki kabisa, yaani anataka yoyote mradi awe anapumua tu.
Leo Nampa chance amtaje, mm nitasaidia upande wa kuwezesha. Wewe kupiga debe( hii angle upo vizuri sana hujawahi kufeli)
Anachat mwenyew huyo na anajitekenya na kucheka mwenyewe 🤣🤣🤣popoma ni muhuni sanaPopoma na Ma-gay wenzie!🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo nimekukubali, hata sasa hivi fresh tu.Kesho yote mbali aseme ss hivi yuko wapi niende akaangalie km dada au kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unacheka??[emoji1787]
Na nyie wenzetu kumbe tuko pamoja mbona sasa mnajificha ficha kila siku? 😂😂😂Anachat mwenyew huyo na anajitekenya na kucheka mwenyewe 🤣🤣🤣popoma ni muhuni sana
Nyumba hana,akaunti anayo ila ina tu-hela twa kushikizia akaunti,ndo ashindwe kugombania daladala?Makubwa kantry anagombania daladala 😂😂😂😂
My love and my role model, asichukulie watu poaWewe tena chawa wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana nimekwambia uwahi kulala,kesho uamke ufue tusinglendi twako uanike tukauke ili J'tatu purukushani za daladala zianze!Mbona unacheka??
Upo pamoja na nani weweNa nyie wenzetu kumbe tuko pamoja mbona sasa mnajificha ficha kila siku? 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu huyu si ndio huwa unamkubaligi sana? Leo kajichanganya wapi[emoji23][emoji23]Bora nishinde nakupa mpk ukose nguvu upungue kilo kuliko kujichosha na mzee wa visungura [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Charles kilian Uko Dar es salaam?Id ya popoma nyingine hiyo
Ndio kigamboniMkuu Charles kilian Uko Dar es salaam?
Mm daladala kweli nagombania na kuna muda natembea kwa miguu mdogo mdogo, Wala sio utani.Kijana hebu lala bana ili J'tatu ifike uanze kugombania daladala!
Huo muda wa kuwa na Multiple Id naupata wapi?Tukana acha kutumia id mbili kwa wakati mmoja, ko ulitaka tuonane ukajua sie wenzio wa rangi rangi za kuwaka? 😂😂😂
Gomz - kkoo via nyerere road, si unajua shughuli yake asubuhi na jioni?[emoji23]Makubwa kantry anagombania daladala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo muda wa kuwa na Multiple Id naupata wapi?
Nyie msikuwa na kazi za kufanya ndo shughuli yenu!
Chimbo gani hapo Kigamboni linafaa kwa utulivu mkuu kama tukipanga tuonane tubadilishane mawazo.Ndio kigamboni
Wewe anasema ni dada yake na shem wake, ndio maana hanaga noma. Huyo au tumuweke.kwa cocastic[emoji23][emoji23]Akikwambia namtaka lamomy utamsaidia kupiga debe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakuelewa!Hiyo id yako bana 😂😂😂
Chale na tukana zote zako