Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Chimbo gani hapo Kigamboni linafaa kwa utulivu mkuu kama tukipanga tuonane tubadilishane mawazo.

Kuwe na muziki wa taratibu(Slow Jams),Kusiwe na na Vurugu na Vurumai kama za Sinza na washirika wenzie!.
Liquid bar
 
Gomz - kkoo via nyerere road, si unajua shughuli yake asubuhi na jioni?[emoji23]
Tafuta pesa mkuu ujenge utoke kwenye Upangaji,Mimi nilijenga kwangu nikiwa nina miaka 27,leo nina miaka 34,unaona namna ninavyofurahia maisha!

Na siyo kujenga tu,bali ujenge nyumba kali ya viwango!.

Huu ni ushauri nakupatia mkuu!
 
Na sisi tunaoshea account na waume zetu mnatuweka kundi gani?
 
Hapa tunajichosha tunajibizana na id moja imeshindwa imeamua kulog in kwa id nyingine afu wote wale wa rangi rangi za kuwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lgbtq?? Cocastic alete list nyingine[emoji23]
 
Thibitisha? 😂😂😂
Ila wewe uhakika unajitongezesha hapo na umempa mpk location ya kwenda akakufumue solo, eti king’amboniii 🤣🤣😀
Unauza kilejaleja dah!!
Haya ndiyo matatizo ya kuishi uswahilini,ukiamka cha kwanza unashika simu unaangalia Mange kapost nini na kuna umbeya gani mpya mjini!.

Wenzio wanapoamka waanza na Sala kisha wanafikiria kufukuzana na Muda lakini wewe ni kushinda mitandaoni na kutukana watu kwenye komenti!


Haya ndiyo madhara yake!
 
Back
Top Bottom