Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
 
Katibu wa CCM Mkoa wa Mara alishindwa kuandaa mahema na Viti Ili wananchi wake kumsikiliza Makonda?
 
Makonda hadi a wasilishe vyeti vyake watu Hawana imani naye!

Ni mtumishi Mwenye vyeti hewa!
 
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
Picha
 
Katika msafara wa makonda, Kwa speed magari yanavyokimbizwa mapema tutarajie yaliyompata Sokoine!!!
 
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
Anazo pesa za kuchezea ataurudia tena kesho.
 
Katibu wa CCM Mkoa wa Mara alishindwa kuandaa mahema na Viti Ili wananchi wake kumsikiliza Makonda?
Hiyo bajeti ni ya ofisi kuu. Hii mikutano makonda anajigharamia na wale anaowaita wafadhili wake.

Ingekua ile ya Chongolo ungeona viti, Mahema na matrekta ya kusombea watu.
 
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
Kwahiyo mkutano wa huyo muhalifu umeshindwa kufanyika? Hivyo amekosa nafasi ya kujisafisha?
 
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
Haaaaaa nasikia watu walitoka mbio,Makonda na Chawa wake wakabaki kinywa wazi.

Makanda aka Bashite anataka Mkurugenzi wa hali ta hewa atimuliwe kwakushindwa kuzuia mvua.
 
Back
Top Bottom