Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

Haaaaaa nasikia watu walitoka mbio,Makonda na Chawa wake wakabaki kinywa wazi.

Makanda aka Bashite anataka Mkurugenzi wa hali ta hewa atimuliwe kwakushindwa kuzuia mvua.
Tehetehe
 
Hiyo bajeti ni ya ofisi kuu. Hii mikutano makonda anajigharamia na wale anaowaita wafadhili wake.

Ingekua ile ya Chongolo ungeona viti, Mahema na matrekta ya kusombea watu.
Akili nyepesi sana hyo mkuu JF imekusanya hata watu kma nyie atoe pesa yake kwa faida ya nani ssa kwa mfano?
 
Akili nyepesi sana hyo mkuu JF imekusanya hata watu kma nyie atoe pesa yake kwa faida ya nani ssa kwa mfano?
Shida ya watu wapumbavu na wenye unyafuzi wa akili hukimbilia ku comment kwa kujiona wanajua kumbe kima tu!

We unafikiri katibu mwenezi wa chama tawala hawezi nunuliwa na genge la mafisadi na wahuni ili awasogeze karibu na mwenyekiti wake ambaye ni mamlaka kuu ya nchi?
Kama mtu anatoa maagizo kwa mawaziri unafikiri uwezo wake wa connection kwenye power corridors ukoje?

Mmezoea kula kunya na kulala hii michezo hamuwezi ijua. Wenzio wananunua connection za Rais hadi kwa M500 huko itakua kufadhili mikutano ya mwenezi wa chama tawala? Punguani wahed!!
 
Kuna watu "wataalamu".

Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.

Shikamoo Heche
Bila pic ni unafiki.
 
Back
Top Bottom