Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Things fall apart na No longer at easyKuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Things fall apart na No longer at easyKuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Wanafikiri ni sifa lakini itawagharimu sanaKanchi kanabomoka taratiiibu
Mitanzania sisi ni mijitu mijing sanaNimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
It should be "Things no longer at ease".Kuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Kweli kabisa! Ili mtu akikuletea ujinga wewe unabonyeza kiwambo tu! Pumbavu kabisa hawa jamaa!Tunapoelekea ilifaa kila mwananchi amiliki mguu wa kuku
Na Things fall apartKuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Ni kitabu gani hicho!? Au ulimaanisha 'Things fall apart' au 'No longer at easy'Kuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
HatujasikiaNo reforms no election
Mbona wamechelewa sawa, agenda ya NO REFORMS NO ELECTION imeshafika mioyoni watu wameipokeaNimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Police wa CCM walivyo Wajinga nao wakakubali. Pumbavu zaoNimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Literature in English form two 1973No longer at ease!!