Tetesi: Heche atakamatwa na Polisi pindi tu Raisi wa Finland akiondoka nchini hapo ni kwenye ijumaa huko

Tetesi: Heche atakamatwa na Polisi pindi tu Raisi wa Finland akiondoka nchini hapo ni kwenye ijumaa huko

Inasikitisha sana Watanganyika kuumiza na kuua Watanganyika wenzao ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika.
 
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Yanaoendelea kwa 90% yanafanana na uongo, fitna na hofu waliyokuwa nayo watawala wa Kiyahudi hadi kumkamata Yesu Kristo na kumhukumu kwa hila!
Uongo hutumia 'lift' kwenda juu bali ukweli hutumia 'ngazi', japo ukweli hufika kwa kuchelewa lakini ndio unatamalaki!
 
Inawezekana hao waliovaa kininja/boko haram/alshabaab siyo polisi bali wanavikundi vya utekaji wanafanya kazi haramu kwa hisani ya polisi.
Kimaadili, polisi wakiwa wanafanya kazi ya kulinda Raia Ni SiSi na Mali zao hawawezi/hawwpaswi kuvaa hivi.
Hii picha imepigwa leo, na hao ni polisi waliokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, John Heche, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Keywords: maadili, polisi.View attachment 3332245
Hawa ni majambazi wanaovaa uniform
 
Wako wapi akina Pius Msekwa, Jakaya Mrisho Kikwete, Frederick Sumaye, Peter Kayanza Pinda, Dr Mohammed Shein, David Mwamnyange, Venance Mabeyo, Anna Makida, Job Ndugai, Dr Kipilimba, Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na wengine wengi, kwa umoja wao wamemshauri nini mtawala na serikali yake?
Hao wote uliowataja ni Wana CCM na wanadhani wajibu wao mkubwa ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.

Bahati mbaya na wao wanafaidika kwa mfumo uliopo!
 
Sidhani! Moja ya mambo ambayo huenda yamemleta Rais wa Finland ni matokeo ya Kikao cha EU kuhusu kinachoendelea kuelekea uchaguzi mkuu 2025!
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Polisi wanaish maisha kama mbuz
 
Hao wote uliowataja ni Wana CCM na wanadhani wajibu wao mkubwa ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.

Bahati mbaya na wao wanafaidika kwa mfumo uliopo!
Wakumbusheni yanayoendelea ni mbegu nchini ni mbegu,
Na mbegu inaweza kuota, ikawa mmea, ikapaliliwa ikatunzwa, ikastawi na mavuno yatakuwa kwa nchi na si kwa kundi fulani fulani,
Maadui wa nchi wanaweza kupitia kwenye hiyo hiyo mbegu wanayoiruhu iendelee, wakaja kutimiza mission zao kwa sababu ya wastaafu fulani kufungua milango.
 
Sasa si kasema atawashughulikia hao polisi, shida iko wapi hata akikamatwa?😁
Sasa ukisema utawashughulika adhabu yake ni kukamatwwa?
Vipi makala aliyesema kuna ebola na mpox itaingizwa na chadema? Alishaitwa na polisi akathibitishe popote?
Yule aliyeandika kushambuliwa kwa kitime kesi yake ipo mahakama gani.
Ukiwa ccm unakuwa mpumbavu tu
 
Back
Top Bottom